Iran yapitisha mswada wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

Iran yapitisha mswada wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

Chini ya kifungu kilichoambatanishwa, ukiukaji wowote wa sheria utazingatiwa kuwa uhalifu unaoadhibiwa na adhabu ya hiari ya daraja la sita.
Kizimukazi anasemaje kuhusu ili jambo?
 
Wasitishe tu kwa information ni kwamba huyo Rafael grossi ni agent wa Israel kwahiyo hamna jipya
 
Wasitishe tu kwa information ni kwamba huyo Rafael grossi ni agent wa Israel kwahiyo hamna jipya
Ali Khezrian, mwakilishi wa Tehran, aliishutumu IAEA kwa "ujasusi" na kusema shirika hilo lilihamisha habari za Irani kwa Israeli.

Sheria pia inataka kuendelea kurutubishwa uranium bila ufuatiliaji wa kimataifa.
 
Back
Top Bottom