Kizimukazi anasemaje kuhusu ili jambo?Chini ya kifungu kilichoambatanishwa, ukiukaji wowote wa sheria utazingatiwa kuwa uhalifu unaoadhibiwa na adhabu ya hiari ya daraja la sita.
Anasema Israel wanauza vyuma chakavu.Kizimukazi anasemaje kuhusu ili jambo?
Ali Khezrian, mwakilishi wa Tehran, aliishutumu IAEA kwa "ujasusi" na kusema shirika hilo lilihamisha habari za Irani kwa Israeli.Wasitishe tu kwa information ni kwamba huyo Rafael grossi ni agent wa Israel kwahiyo hamna jipya
Kiduku hamna kitu,nguvu aliyonayo haifikii hata ya IranHuyu mnampamba tu ila hana madhara.