Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

Asante!!! Vipi Iron Domes haziwezi kudetect drones kabla hazijaleta madhara.
 
Kabla hajamalizana na Iran au Hizbolah,atambie Iron Dome ilikuwa wapi wakati hayo makombora yanamtembelea hapo kwake.
Wanavyodai wataalamu. Drone ikitembea chinichini ni ngumu kunaswa na mitambo. Ile drone ilikuwa inaonekana kama mwewe tu watu wakaipuuza
 
Irani inakataa kuhusika and Hezbollah nao wamekomaa wamekaa kimya nadhani na wao wanataka kuiuza Iran kama Iran ilivyowauza kwa Nasrallah.. ubaya ubwela
 
Just kasema tu waliowatuma. Wamejitaja. Wanajua kabisa Ayatola analindwa na Mossad under cover
Netanyahu hajawataja, kwa nini Iran wanakimbilia kujibu kuwa siyo wao?
 
Je ya makombora ipo na kama ipo tuwaulize zile kambi zao ilikuaje israhell ya kawaida sanaaa
 
Adiosamigo huyu ngeli haipandi mtafsirieni na Ritz mpaka wapewe maelekezo na Sheikh Kitinku
 
hata kifo cha raisi wa iran kilipotokea haraka sana israeli ilijitetea kutohusika hapo tunaweza sema nini mzee...mzayuni alijitetea au alijimwambafai
 
PIGENI IRAN MSITUZUNGUSHE HAPA. TUSHACHOKA NA MIKELELE KILA SIKU
Thubutu!Unadhani Iran 🇮🇷 kama Lebanon atapeleka kumwaga mabomu kama Boss anavyopeleka gari za mchanga na kokoto kumwaga kwenye site yake ya ujenzi?
 
Lazima wajitetee sababu mwamba akianza wote wanafutika
Ameshindwa kwa Assad Syria ambaye silaha ananunua ataweza kwa AYATOLLAH anayetengeneza silaha mwenyewe?Israel 🇮🇱 anahangaika sana ataifuta vipi aibu ya kipigo alichopata,halafu kashaambiwa ukijibu tunakuchapa tena.Sasa mtu alikuahidi mara mbili na akatekeleza atashindwaje kutimiza ahadi mara ya 3?
 
Subiri
 
Sawa mkuu ngoja tusubiri
Unajua ukiwa mtu mzima kuna vitu vidogo tu inabidi uwe rahisi kuvielewa,choko choko zote ni mafuta na gesi ya Iran 🇮🇷 ila wanalazimisha tuamini kama wanavyooamini wao.Vita vikianza kitakachofuatia wewe utakuwa miongoni na watu wa kwanza kujuta
 
Iran hatishiwi nyau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…