Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

Iran yasema haikuhusika kwenye jaribio dhidi ya makazi ya Netanyahu, yalaumu Hezbollah

Nyie kama mitoto eeh asa asa ulitaka waseme ni wao ?
Hawajafika kuchukua crdt ambayo si kazi waliofanya .
Iran Mara ngapi wamerusha mabomu na mpk leo netanyau yuko kwenye vikao tuh
 
Ayatollah alishasema Hezbollah inazo silaha za kutosha kuichapa Israel
Na Hezbollah hawaitaji msaada wa Iran kuwachapa waisrael
Sasa mmechapwa na Hezbollah mnaanza tena kumsingizia Iran ivi mnajielewa kweli
 
Back
Top Bottom