Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

Iran yasema hakuna mazungumzo kati yake na Marekani, yadai ni njama za Trump

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Muda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao.

Imedai kauli ya Trump iko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kama njia ya kupata muda wa kutekeleza mipango yake ya kijeshi.

Soma pia Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo

===========

Iran has denied any dialogue with Washington, dismissing President Donald Trump’s claims as an attempt to lower energy prices and buy time for military plans, several Iranian state-affiliated media outlets reported citing the foreign ministry.

Iranian Foreign Ministry: There is no dialogue between Tehran and Washington. The US President's statements are within the framework of efforts to reduce energy prices and gain time to implement his military plans.Yes, there are initiatives by regional countries to reduce tensions, and our response to all of them is clear: We are not the party that started this war, and all these requests should be referred to Washington.
 
Irgc watulie wao sio viongozi Tena
Kuna new leadership's regime
 
Trump kashasema wamefanya mazungumzo na *RESPECTED LEADERS OF IRAN. Viongozi wa kuheshimiwa 😆
 
Nafikiri mambo ya financial stocks and kupunguza presha za mambo ya mafuta...Ndio maana baadhi yetu tulisema humu kitambo kuwa hii vita US kaingizwa na Israel kama zilivyo vita nyingine za middle east Mathalani za Iraq, Syria nk...US anapigana Kwa niaba ya Israel, Kila Rais Marekani lazima aingie mkenge au mtego wa Israel, Powerful Israel Lobby in US ndo wanaamua nini US ifanye middle east Kwa gharama ya US na wananchi wake... Ukiwa na nguvu ya pesa chochote kile in terms of domination unaweza Fanya chochote kile.
 
Mbona nimeona kama waziri wa mambo ya nje wa iran amekiri kweli kulikuwa na mazungumzo, na akasema mazungumzo yalienda vizuri.
Kama Muajemi wa bongo mimi hili sijalifurahia. Iran inatakiwa iendelee kukaza. Haswa pale Hormuz, miguno ishakuwa mingi na mikubwa. Ilikuwa ni swala la muda tu.
 
Marekani bila nyukilia ni hamna kitu.
Marekani ni supapawa wa mchongo.
Marekani ni punching bag.
Mzee wa kuuchezea.
Anauchezea Kila siku,madogo wanajipigia TU.
 
Irani shikilia hapo hapo, shusha mzigo wa kutosha Tel Aviv mpaka tuone majivu dadeq
 
Trump haaminiki alishasema Iran hakuna kiongozi aliyebaki wa kufanya nae mazungumzo wote wamekufa🤣. Sasa Hawa wa sasa kawatoa wapi?
Hahaha hata waziri wa nje wa Iran kamjibu Trump unataka tuongee nini unasema hatuna viongozi, hatuna Nuclear umeisha zipiga, silaha umeisha zipiga kila kitu umekipiga sa tuongee nini tena
 
Back
Top Bottom