Irgc watulie wao sio viongozi TenaMuda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao.
Imedai kauli ya Trump iko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kama njia ya kupata muda wa kutekeleza mipango yake ya kijeshi.
Soma pia Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo
===========
Iran has denied any dialogue with Washington, dismissing President Donald Trump’s claims as an attempt to lower energy prices and buy time for military plans, several Iranian state-affiliated media outlets reported citing the foreign ministry.
Iranian Foreign Ministry: There is no dialogue between Tehran and Washington. The US President's statements are within the framework of efforts to reduce energy prices and gain time to implement his military plans.Yes, there are initiatives by regional countries to reduce tensions, and our response to all of them is clear: We are not the party that started this war, and all these requests should be referred to Washington.
Mbona nimeona kama waziri wa mambo ya nje wa iran amekiri kweli kulikuwa na mazungumzo, na akasema mazungumzo yalienda vizuri.
Kama Muajemi wa bongo mimi hili sijalifurahia. Iran inatakiwa iendelee kukaza. Haswa pale Hormuz, miguno ishakuwa mingi na mikubwa. Ilikuwa ni swala la muda tu.
Trump haaminiki alishasema Iran hakuna kiongozi aliyebaki wa kufanya nae mazungumzo wote wamekufa🤣. Sasa Hawa wa sasa kawatoa wapi?Trump kashasema wamefanya mazungumzo na *RESPECTED LEADERS OF IRAN. Viongozi wa kuheshimiwa 😆
Pole sana endelea kujipa matumaini .🤣Hizi ni mbinu tu za kivita, lengo la US halijatimia, Iran itabondwa tu
Echolima1 kidogo nasikia utapata nafuu ya kusafisha vyoo wengine waisrael wanakimbia huko Takataka Aviv Iran ni balaa aisay kuna wayahudi wengome mpaa wanatembea huku wakisema Allahu AkbariiAlianzisha vita sasa aendeleee aache mbwembwe
Echolima1 kidogo nasikia utapata nafuu ya kusafisha vyoo wengine wanakimbia Iran ni balaa aisay kuna wayahufi wengome mpaa wanatembea huku wakisema Allahu Akbarii
View: https://youtube.com/shorts/r9ien4rH73Y?si=4cyYguZszkv6Naso
Hahaha hata waziri wa nje wa Iran kamjibu Trump unataka tuongee nini unasema hatuna viongozi, hatuna Nuclear umeisha zipiga, silaha umeisha zipiga kila kitu umekipiga sa tuongee nini tenaTrump haaminiki alishasema Iran hakuna kiongozi aliyebaki wa kufanya nae mazungumzo wote wamekufa🤣. Sasa Hawa wa sasa kawatoa wapi?