Kama ule ulofanywa na mossad hata mimi naweza kufanya yaaanikuna ujasusi unafanyika iran alafu unaweza kucheka hata tanzania inaweza kujifunzia hapo iran .ni kama wanasubiria bikra 72
UKIWA MUISLAMU WA ITIKADI WAO AU MPINZANI USA NA NCHI ZA MUUNGA MKONO USA ,UNAWACHUNGUZA MPAKA KIMAKONDE CHAOKama ule ulofanywa na mossad hata mimi naweza kufanya yaaani
We subili atajaa kwenye mfumo yule .Iran kama waswahili tu hamna kabisa tofauti. Watapewa tu Pakistan wawanyooshe na kelele zote zitaisha. Eti hiyo ndio inajiita serikali ya kidini, usanii mtupu.
labda kwenye vijiwe vyako huko.tulishawa wafukuza kipindi cha nyerere na kipindi cha kibiti na pwani wakaja kujifanya wanasaidia walivofanyiwa usishangae ndugu zako wa singinda na wenye itikadi zako kupoteaWe subili atajaa kwenye mfumo yule .
Wewe habari zako sijui unazitoa wapiTaifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.
Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.
Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo
View attachment 2889872
Sawa ofsa kutoka white house tawi la tandale kwa mkunduge,,,Iran kama waswahili tu hamna kabisa tofauti. Watapewa tu Pakistan wawanyooshe na kelele zote zitaisha. Eti hiyo ndio inajiita serikali ya kidini, usanii mtupu.
Wewe habari zako sijui unazitoa wapi
View: https://twitter.com/Osint613/status/1752678054919336154?t=huF_Ff2IIJwYtwIgUlDORg&s=19
uziri wa irani kama manzeseSawa ofsa kutoka white house tawi la tandale kwa mkunduge,,,
SijakuelewaUKIWA MUISLAMU WA ITIKADI WAO AU MPINZANI USA NA NCHI ZA MUUNGA MKONO USA ,UNAWACHUNGUZA MPAKA KIMAKONDE CHAO
Tokea nijue kua hujui kwamba wairan sio waarabu halaf unaona ni waarabu nimeacha tuKila nikifikiria mikwara aliyopiga Iraq enzi zile na akachakaa mpaka rais wao kukamatwa kama kuku tu, sijawahi waamini waarabu ni viongo na vioga ila kwa uchokozi sasa
uziri wa irani kama manzese
Pakistan juzi tu kamgwaya mpaka kaenda kuomba yaisheTokea nijue kua hujui kwamba wairan sio waarabu halaf unaona ni waarabu nimeacha tu
iran unaijua kwenye id yako
Kwani kuzungumza shingapi? πTaifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.
Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.
Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo
View attachment 2889872
Ndio ujue kama iran akili kubwa kuliko mnavyodhaniaPakistan juzi tu kamgwaya mpaka kaenda kuomba yaishe