Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Si bora alopigana miaka nane kuliko yule mpuuzi alopigana miaka 20Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si bora alopigana miaka nane kuliko yule mpuuzi alopigana miaka 20Hamna jeshi hapo, utapiganaje vita miaka minane.
Mkumbushe tu Americant na shoga zake imepigana na Taleban miaka 20 na bado ikashindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kaka embu kuwa serious.
Kwani vita ina kikomo cha muda?
Na ukumbuke Iran ndio kwanza ilikua na jeshi changa la mapinduzi toka 1979,na aliyevamia ni Iraq na US alitumia nafasi ya kuiunga mkono Iraq ili afanye regime change ila wakafeli.
Walikuta jeshi lege lege kama lililo sasa pale Americant wakalipiga msasa likawa bora hapa ulimwenguniKwa hiyo walipoingia hao matapeli akina Ayatollah walikuta Iran haina kabisa jeshi ndio wakaunda upya au unataka kutudanganyaje wewe.
Allah ameshindwa kumshughulikia gaidi bidenKamuulize gaidi Biden
Gaidi Biden kashashuhulikiwa zamani sanaaaaaaaaAllah ameshindwa kumshughulikia gaidi biden
Msingeendelea kumlalamikiaGaidi Biden kashashuhulikiwa zamani sanaaaaaaaa
Hakuna anaelalamikiwaMsingeendelea kumlalamikia