ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Iran ndio mwanaume pekee pale mashariki ya mbaliTaifa la Iran kwa mara ya mwanzo limetoa kauli kufuatia vitisho vya Marekani kuwa inakusudia kulipiza kisasi kwa nguvu kubwa dhidi ya wale walioongoza mashambulizi kwenye vikosi vyake nchini Jordan ambavyo vilisababisha vifa vya askari wake watatu hapo majuzi.
Onyo hilo limetolewa na balozi wa Iran katika umoja wa mataifa Amir Saeid Iravan alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari hapo jana.
Kwa kauli hiyo Iran imenuia kujibu uchokozi huo kwa nguvu kubwa kadri ilizonazo.
View attachment 2889872
Target sio Pakistan , adui namba moja ni Israel na US, kwanini umalize nguvu kwa Pakistani?Pakistan juzi tu kamgwaya mpaka kaenda kuomba yaishe
Na umesahau kumwambia tusisikie oooh cease fire cease fireMtoa mada huna tofauti na wale wanawake wa uswahili
Wanavaa dela bila nguo za ndaniWanawake wa uswahili wana nini ?
Amjibu kwa kosa Gani [emoji3]Amjibu mpakistani kwanza marekani si size yake
Kwani mimi ndo nmekuambia wew ni mwanamke wa uswahilini? Fatilia mtiriliko wa comments here in above.Sasa mimi umeniona nimevaa kama hivyo
Iran siyo waarabu,acha ujingaKila nikifikiria mikwara aliyopiga Iraq enzi zile na akachakaa mpaka rais wao kukamatwa kama kuku tu, sijawahi waamini waarabu ni viongo na vioga ila kwa uchokozi sasa
Ndivyo unavyojidanganya Pakistan ammudu Iran??Iran kama waswahili tu hamna kabisa tofauti. Watapewa tu Pakistan wawanyooshe na kelele zote zitaisha. Eti hiyo ndio inajiita serikali ya kidini, usanii mtupu.
Acha uongo we pimbi.Pakistan juzi tu kamgwaya mpaka kaenda kuomba yaishe
Bro unabishana na kijana alie puberty atakupa shida.Mbona iran hakumuondosha balozi wake kule Pakistan na mbona Pakistan aliamua kuregesha balozi wake iran
Iran alijua kupigana na Pakistan sio kwa faida ya Pakistan wala Iran ndio maana akatumia akili kubwa
Amjibu mpakistani kwanza marekani si size yake
Nchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazobaPakistan hana sababu ya kushambuliwa na Iran.
Hakukuwa na sababu ya kujibizana maana mambo yangemalizika kidiplomasia.
Iran na Pakistan hawana uhasama na ndio maana Pakistan ikaitisha kikao kumaliza mzozo,aliyeitisha kikao sio Iran.
Sijui kama masuala ya diplomasia unayajua wewe.
Hamudu kivip nawakati alijibu mapigoNdivyo unavyojidanganya Pakistan ammudu Iran??
Kwani huyo Pakistan hajitaki mpaka akubali full confrontation na Iran?
Ulifuatilia nani aliyeitisha kikao kati ya Iran na Pakistan??Nchi yako ishambuliwe mara mbili alafu ikae kimya acha ujinga ndo maana walijibu mapigo wale sio mazoba
Iran kama ni mwanaume angeendelea kumshambulia pakistan yeye ndo alianza mbona kaomba poo
KICHWA CHA HABARI KINAKUUMBUA.Hamudu kivip nawakati alijibu mapigo
Iraq ndo hammudu iran ndo hakujibu mapigo
Soma hapa kama hammudu
Pakistan missiles strike Iran in retaliatory bombing as tensions soar
Islamabad says it targeted hideouts of armed groups in Iran in a series of attacks a day after Iran struck Pakistan.www.aljazeera.com
Pia unatakiwa utambua Iran geopolitically ipo katika situation gani sasa hivi.Hamudu kivip nawakati alijibu mapigo
Iraq ndo hammudu iran ndo hakujibu mapigo
Soma hapa kama hammudu
Pakistan missiles strike Iran in retaliatory bombing as tensions soar
Islamabad says it targeted hideouts of armed groups in Iran in a series of attacks a day after Iran struck Pakistan.www.aljazeera.com
Kwamba iran alivyoitisha kikao na pakistan walikutaarifu kinachooenda kujadiliwa we kama naniPia unatakiwa utambua Iran geopolitically ipo katika situation gani sasa hivi.
Iran ni taifa linalowindwa kiintelijensia,kijeshi na kivikwazo na mataifa makubwa.
Akisema ajichanganye kidogo anapotea,hivyo hawezi kuendekeza vita hata kidogo zisizo na maana.
USA,UK ,Israel wanamuwinda akae aendekeze vita na Pakistan??
πππIran was Leo sio wa jana, ndiyo maana Marekani wanemtumia email zaidi ya mia mbili kumuomba akimshambulia asijibu malipizi coz hana nia ya kupigana naye.