Iran yasema inamsubiri huyo atakayejaribu kuishambulia kwa kutumia kisingizio chochote

Mkumbushe tu Americant na shoga zake imepigana na Taleban miaka 20 na bado ikashindwa
Ila iran imepigana miaka nane na bado ikashinda tena dhidi ya iraq na shogaze kina Americant
 
Kwa hiyo walipoingia hao matapeli akina Ayatollah walikuta Iran haina kabisa jeshi ndio wakaunda upya au unataka kutudanganyaje wewe.
Walikuta jeshi lege lege kama lililo sasa pale Americant wakalipiga msasa likawa bora hapa ulimwenguni
Ndio maana akiamua kumchapa yeyote pale popote anamchapa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…