Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

Hamatan

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2020
Posts
7,840
Reaction score
18,115
Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba Iran inawakaribisha wawekezaji makini toka Marekani kuwekeza nchini Iran. Iran imesema inaikaribisha Marekani kuwekeza kwenye sekta ya mafuta na Madini, lakini haitayatoa moja kwa moja kwa Marekani, bali Marekani itakuwa mshirika, na Iran itabakia kuwa ndiye mmiliki.

Mtazamo huu mpya wa Iran, ukifanikiwa, huenda tutaiona Iran ikipaa kiuchumi, na kugeuka kuwa mshirika mkuu wa Marekani na Israel kiuchumi na kwente vita dhidi ya ugaidi, kama ilivyokuwa kabla ya mapinduzi ya kiislam ya 1979. Kwa upande mwingine, tutazidi kushuhudia Marekani ikizidi kupaa na kubakia kuwa kiongozi mkuu wa uchumi wa Dunia. Fikiria kwa sasa Marekani ndiye rafiki mkuu wa Serikali ya Venezuela, Saudi Arabia, Kuwait, Qatar, Nigeria. Hii inamaanisha uwepo wa makampuni makubwa ya mafuta ya Marekani katika mataifa hayo yote.

TRump akitaka kuinyong'onyesha Urusi, China na North Korea, aichukue offer hii ya Iran. Ikumbukwe kuwa mataifa kama China, Urusi, Pakistan na North Korea, yamekuwa yakitumia shida za kiuchumi za Iran, kupata mafuta ya dezo toka Iran. Iran ikiacha ufadhili wa makundi ya kigaidi, ugaidi utapotea Duniani au kupungua sana.

Je, Marekani itaikubali offer hii au itaendelea na msimamo wake dhidi ya utawala wa Ayatollah, tuendelee kufuatilia.

Iranian authorities have said that a diplomatic solution delivers economic benefits for both Tehran and Washington.
"Within the economic package under negotiation, the United States has also been offered opportunities for serious investment and tangible economic interests in Iran’s oil industry," the official said.
However, he said Tehran will not hand over control of its oil and mineral resources.
"Ultimately, the U.S. can be an economic partner for Iran, nothing more.
 
Wewe unaonaje?kipi Bora? Wakristo mnapenda watu wafe? Mungu wenu anapenda umwagaji wa damu sana
 
Hata kama una chuki na Ukristo, ni vema kuzificha chuki zako.

Mafundisho sahihi ya ukristo ni upendo usio na mipaka, na msamaha. Ukristo hauruhusu kisasi, ndiyo maana mara nyingi unasikia kuwa waislam wenye misimamo mikali wamewavamia wakristo makanisani na kuwaua, lakini husikii wakristo wamejikusanya kwenda kuua waislam misikitini.

Wakati inaonekana ni kawaida muislam kuuawa eti kwa sababu amebadili dini kutoka kuwa muislam na kuwa mkristo, huwezi kusikia mkristo ameuawa kwa kubadili dini kuwa muislam.

Wakristo tumeaswa kuthamini kazi ya uumbaji ya Mwenyezi Mungu. Kumwua binadamu mwenzako ni kufuru mbele za Mungu kwa sababu unaifuta kazi ya uumbaji ya Mungu.

Iran ikiachana na mauaji hovyo ya wanadamu, na kujua thamani ya uhai wa mwanadamu, siamini kuna Taifa au jamii itakayojitenga nayo. Kinachoiumiza Dunia, na wote wenye kuthamini uhai wa mwanadamu, ni utawala wa Iran usioona thamani ya uhai, tena siyo wa wasio waislam bali ni wa wanadamu wote. Fuatilia ujue mauaji yaliyofanywa na utawala wa kidini wa Ayatollah tangu mwaka 1979.
 
Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba Iran inawakaribisha wawekezaji makini toka Marekani kuwekeza nchini Iran. Iran imesema inaikaribisha Marekani kuwekeza kwenye sekta ya mafuta na Madini, lakini haitayatoa moja kwa moja kwa Marekani, bali Marekani itakuwa mshirika, na Iran itabakia kuwa ndiye mmiliki.

Mtazamo huu mpya wa Iran, ukifanikiwa, huenda tutaiona Iran ikipaa kiuchumi, na kugeuka kuwa mshirika mkuu wa Marekani na Israel kiuchumi na kwente vita dhidi ya ugaidi, kama ilivyokuwa kabla ya mapinduzi ya kiislam ya 1979. Kwa upande mwingine, tutazidi kushuhudia Marekani ikizidi kupaa na kubakia kuwa kiongozi mkuu wa uchumi wa Dunia. Fikiria kwa sasa Marekani ndiye rafiki mkuu wa Serikali ya Venezuela, Saudi Arabia, Kuwait, Qatar, Nigeria. Hii inamaanisha uwepo wa makampuni makubwa ya mafuta ya Marekani katika mataifa hayo yote.

TRump akitaka kuinyong'onyesha Urusi, China na North Korea, aichukue offer hii ya Iran. Ikumbukwe kuwa mataifa kama China, Urusi, Pakistan na North Korea, yamekuwa yakitumia shida za kiuchumi za Iran, kupata mafuta ya dezo toka Iran. Iran ikiacha ufadhili wa makundi ya kigaidi, ugaidi utapotea Duniani au kupungua sana.

Je, Marekani itaikubali offer hii au itaendelea na msimamo wake dhidi ya utawala wa Ayatollah, tuendelee kufuatilia.

Iranian authorities have said that a diplomatic solution delivers economic benefits for both Tehran and Washington.
"Within the economic package under negotiation, the United States has also been offered opportunities for serious investment and tangible economic interests in Iran’s oil industry," the official said.
However, he said Tehran will not hand over control of its oil and mineral resources.
"Ultimately, the U.S. can be an economic partner for Iran, nothing more.
Njia PEKEE ya kusalimika Iran ni kumuondoa huyo Mzee wa Lemba na utawala wake mbovu
 
Wewe unaonaje?kipi Bora? Wakristo mnapenda watu wafe? Mungu wenu anapenda umwagaji wa damu sana

Heeeeh.... Leo umewageuzia kibao hilo jambo🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka nimecheka. Maana najua hilo ni jambo la imani yetu sisi waislamu jicho kwa jicho.
 
Njia PEKEE ya kusalimika Iran ni kumuondoa huyo Mzee wa Lemba na utawala wake mbovu
Hi mitazamo nyinyi wagalatia juu ya Irani na Marekani ni akili zenu tu hau huwa mnadanganywa huko makanisani kwenu maana wagalatia wote mtazamo wenu ni Mmoja

Marekani na Irani vita Yao ni ya kiuchumi na technologia Kwa sababu Marekani wanataka wao ndio wawe juu Kwa Kila kitu

Sasa Cha kushangaza nyinyi wagalatia mnaingiza chuki za kidini katika hili

Ebu niambie katika vita zote alizopigana Marekani ni vita gani alipigana Kwa kuutetea Ukristo?

Anacho taka Marekani Irani ni Mafuta, gasi na Uranium Ili aikomoe china maana Kwa Sasa China ndio ananufaoka na hivyo vitu na ndio maana China yupo pamoja na Irani katika hili

Na Marekani Alisha Fanya hivyo Iraq, quweit na Libya na juzi tu hapa Venezuela

Pia anataka aharibu technologia ya Irani ya kutengeneza missile ballistic Ili Israel awe mtawala wa nguvu za kijeshi pale mashariki ya kati Kwa sababu Israel ni base ya Marekani

Nyinyi wagalatia kama mnachuki zenu na utawala wa Irani wekeni tu wazi

Lakini Kwa mgogoro uliyopo Sasa Hauna chembe ya udini.hata kidogo
 
Agano la kale la waislam au wakristo?
AGANO LA KALE NI LA WAYAHUDI. WAKRISTO HAWAKUWEPO. NA WAISLAMU HAWAKUWEPO. NA WAO WALIKUJA WAKAIGA YA AGANO LA KALE. AGANO JIPYA YESU ANAHUBIRI UPENDO HAKUNA KUMWAGA DAMU. NDO MAANA YEYE HAKUUA WALA KUMJERUHI MTU.

Mzee wa VITA NIUHAMAD huyu ndo tunajua aliishi kwa upanga, kuteka, kupora n.k unataka vifungu sheikh wangu?
 
Agano la kale la waislam au wakristo?

Halafu umesema la kale. Unaona mwenyewe. La kale. Jipya linasemaje? Maana hata kama ingekuwa shule tungesema Mtaala wa kale na Mtaala mpya. Wanafunzi wana fanyishwa mtihani kwa mtaala wa sasa/mpya.
 
Wagalatia hamna akili , ndiomaana mnatapeliwa Kila siku mazuzu nyie....na sasaivi mazwazwa wenzio wanapendekeza Benjamin Netanyau jina lake liingizwe pia kweny agano jipya! Umepata habari hizo? Iyo sio dini ni kikundi cha mazuzu..... kiboko ya wachawi kajipigia pesa za mazwazwa kasepa! Mdogo wangu wakujiita IPM nae sasaivi kashaanzq kuwa tajiri kwa hela za matahila ya kigalatia.. nyie mlivyo wapumbavu mmebakia na kuwasimanga waislam,mara sijui Kobazi,mara sijui bikira 72, mara midevu..... mazwazwa kweli nyie!
 
Wagalatia hamna akili , ndiomaana mnatapeliwa Kila siku mazuzu nyie....na sasaivi mazwazwa wenzio wanapendekeza Benjamin Netanyau jina lake liingizwe pia kweny agano jipya! Umepata habari hizo? Iyo sio dini ni kikundi cha mazuzu..... kiboko ya wachawi kanipigia pesa za mazuzu kasepa! Mdogo wangu wakujiita IPM nae sasaivi kashaanzq kuwa tajiri kwa hela za matahila ya kigalatia..

Umeshapaniki. Muddy aliwapiga sana waislamu acha na wengine wapigwe.

Muddy alikuwa
1. Malaya/Kicheche
2. Alillelewa na jimama tajiri
3. Alipaka wanja
4. Alibaka kitoto kidogo
5. Aliua
6. Tapeli
7. Alifumaniwa akizini na dada wa kazi
8.
 
Unaona jinsi mlivyo hamna akili!? Sisi tunawaona sasaivi mnavyotapeliwa mazwazwa nyie! We unazungumzia ya huyo mtu wakuitwa sijui Muddy,we ulimuona huyo muddy? Sisi tunawaona kina MWWAMPOOSA,kuwani muSa,IPM, KIBOKO YA WACHAWI, PROPHET RICHARD, hao wote wanawapiga pesa mazwazwa nyie,jitu unakuta Lina degree holder linatapeliwa kifala!
 
JE, HIZI SIFA ZA AJABU ZA MUHAMMAD NI ZA KITUME?

1. Muhammad alizini na kijakazi
2. Muhammad alikuwa na changu doa
3. Muhammad alinyonya ulimi wa mwenzake
4. Muhammad alikuwa Mlevi
5. Muhammad alikuwa amerogwa
Wengi wenu labda hamkuwa mnazifahamu hizi siri ambazo Waislam wanazificha kila siku. Naam, naziita siri kwasababu huwa hawasemi huu ukweli wa Muhammad Mtume wa Allah.
MTUME MUHAMMAD ALIFUMANIWA NA KIJAKAZI WA MKEWE
Siku moja mtume (s.a.w) Alikuwa Nyumbani kwa Mkewe Hafsa bint Umar, Hafsa akaenda kwa Baba yake kumjulia hali, Mtume (s.a.w) alimwita Mjakazi wake bibi Mariya Alqbitiyya, akawa nae Chumbani, Aliporudi Hafsa Akasema Maneno makali kwa Mtume juu ya tendo hilo (s.a.w) Mtume akasema nakuhakikishia Kuwa: Kuanzia Leo Sitamwingilia tena, mjakazi wako.
(Tafsir Ibn Kathir J. 6 Uk. 367)
Je, huku kufumaniwa ndio sifa za kitume?
MTUME MUHAMAMD ALIKUWA NA CHANGU DOA
Sunan Abu-Dawud, Kitabu 38, Namba 4458: Amehadithia Ali ibn AbuTalib: "Mtumwa wa Kisichana ambaye alikuwa mali ya nyumba ya Mtume wa Allah aligawa Uroda kwa Rafiki ya Muhammad. Basi Nabii wa Allah akasema kwa Ali: Nenda na ukampe adhabu Muasherati wangu kwa kufanya Ngono bila ya ruhusa yangu. Ali akaharakisha kwenda alipo yule Mtumwa wa Kisichana wa Muhammad na kuona damu ilikuwa inatiririka kutoka kwake, na bila kuacha. Hivyo Muhammad alikwenda kwake na akasema: Mwache damu iendelee kutiririka mpaka itakopo simama; kisha mpe adhabu kwa mujibu wa dhambi yake".
Je, kuwa na chagu doa ni sifa ya kiutume?
MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikula denda na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chahe mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Je, Muhammad kunyonya ulimi watu wa jinsia yake, ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA
Je, kula ulabu ni sifa ya kitume?
MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWA
Pia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.
Je, kurogwa ni sifa ya utume?
MASWALI:
(a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?
Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake si za kitume na hazifanani na mitume walio tangulia kbala yake?
Unaona wivu mwenzio kuliwa denda, unataka na wewe uliwe?..muone dudubaya
 
Hao waliokuzidi akili na kukudanya Ili uendelee kuwa msukule wao hawakuwa kukuambia sifa mzuri za mtume Muhammad s.a.w?

Mtume aliyetumwa na Mungu Kwa ajili ya ulimwengu wote

Pia ndio mtume wa mwisho

Yani Mungu hatoleta tena mtume Hadi Dunia inaisha
 
Back
Top Bottom