Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

🇮🇷 Televisheni ya Serikali ya Iran:

"Seneta wa Marekani anayepinga Iran, Lindsey Graham, alifariki baada ya kuona kwamba hangeweza kupindua taifa la Iran.

Alikuwa shoga na hajaoa, bila kuacha mtoto yeyote wa kuchafua ulimwengu."

View: https://x.com/megatron_ron/status/2076275973818097961?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
 
Baada ya Iran kutangaza kwamba Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa tena, jeshi la Marekani linasema Mlango-Bahari uko wazi kwa meli zote zinazotaka kusafirisha kihalali

Meli ilijaribu kupita na ikagongwa mara moja na ndege isiyo na rubani ya Iran.
 
IRGC ya Iran inasema "imeharibu kabisa" matangi ya mafuta na mifumo ya ulinzi wa anga ya Patriot na mfumo wa kimkakati wa rada ya FPS katika vituo viwili vya anga vya Kuwait, na ililenga vituo kadhaa katika Kituo cha Anga cha Sheikh Isa huko Bahrain.

🔴 Masasisho ya MOJA KWA MOJA: aje.news/01ry75

View: https://x.com/ajenglish/status/2076504221524894032?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

NAKALA KWA MZEE WA UHARO

Iran iendelee tu kuzishambulia nchi za Wanyonge za kiarabu wakati Israel inawasubili warushe hata kipande cho koko tu ndani ya Israel ili waone kilichomfanya kuku asikojoe!!

Iran inashambulia nchi kote Mashariki ya Kati, lakini inaepuka kushambulia Israeli moja kwa moja.

Kwa nini? Kwa sababu inajua jibu litakuwa la haraka na la gharama kubwa ambalo litawafanya wajute maisha yao yote!!
 
Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
***** mwenzako kauli zake😂
Sen. Lindsey Graham (R, S.C.) said the goal of the Iran operation "is to change the threat, not the regime," adding that the U.S. won't pick Iran's next leader.

"When this operation's over, no matter who takes over in Iran, they will not have ballistic missiles to hurt us, Israel, or the region. They will not have the capability to be the largest state sponsor of terrorism," the President Trump ally said
 
Iran iendelee tu kuzishambulia nchi za Wanyonge za kiarabu wakati Israel inawasubili warushe hata kipande cho koko tu ndani ya Israel ili waone kilichomfanya kuku asikojoe!!

Iran inashambulia nchi kote Mashariki ya Kati, lakini inaepuka kushambulia Israeli moja kwa moja.

Kwa nini? Kwa sababu inajua jibu litakuwa la haraka na la gharama kubwa ambalo litawafanya wajute maisha yao yote!!
Anachofanya Iran yeye anapiga kambi za Marekani ndiyo maana unaona viangozi wao wanaenda kila siku Iran.

Iran, kaishapiga sana Israel😂
 
***** mwenzako kauli zake😂
Sen. Lindsey Graham (R, S.C.) said the goal of the Iran operation "is to change the threat, not the regime," adding that the U.S. won't pick Iran's next leader.

"When this operation's over, no matter who takes over in Iran, they will not have ballistic missiles to hurt us, Israel, or the region. They will not have the capability to be the largest state sponsor of terrorism," the President Trump ally said
Endeleeni ku jambajamba tu na kuongea Wafuga Midevu na Majini wenzenu tu Israel iko hapo Waambie Iran warushe hata Kokomo moja tu waone cha moto!!!
 
Attachments

  • 2198933272113048292.mp4
    6.8 MB
  • 4250807528676081668.mp4
    2.8 MB
  • 2338609978020662226.mp4
    1.6 MB
  • IMG_5610.jpeg
    IMG_5610.jpeg
    107.3 KB · Views: 16
  • 8429392735835291970.mp4
    4.6 MB
Anachofanya Iran yeye anapiga kambi za Marekani ndiyo maana unaona viangozi wao wanaenda kila siku Iran.

Iran, kaishapiga sana Israel😂
Iran alishasema Israel ikiipiga Hezbollah basi nayo itaisha built Israel cha ajabu Hezbollah wanapigwa na Iran hata hawezi hata kuipiga Israel anapiga wanyonge wake tu waarabu waache ujinga wa shambulio Israel waone kilichomuua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na jopo lake!!
 
Wanaukumbi.

Iran imeanzisha mashambulizi dhidi ya mataifa ya Ghuba na kutangaza Mlango-Bahari wa Hormuz kufungwa baada ya Marekani kufanya mashambulizi yake ya tatu katika wiki moja, katika ongezeko kubwa huku mzozo unaoendelea ukiendelea.

Tehran siku ya Jumapili ilidai mashambulizi dhidi ya Bahrain, Kuwait, Jordan, Qatar na Oman, ikiyaita majibu yake kwa mabomu mapya ya Marekani dhidi ya miji iliyoko pwani yake ya kusini.

Mashambulizi hayo makubwa ya Marekani yalikuja baada ya Iran kufunga Mlango-Bahari wa Hormuz - njia muhimu ya maji na mojawapo ya maeneo muhimu zaidi katika mzozo huo - ikiishutumu Washington kwa kukiuka mkataba wa makubaliano (MoU) uliosainiwa kati ya pande hizo mbili mwezi uliopita.

===============
Iran has mounted attacks on Gulf states
and declared the Strait of Hormuz closed after the United States conducted its third round of strikes in a week, in a serious escalation as the ongoing conflict spirals.
Tehran on Sunday claimed attacks on
Bahrain, Kuwait, Jordan, Qatar and Oman, calling them its response to renewed US bombings on cities along its southern coast.
👇🏽 SOURCE

View: https://www.instagram.com/reel/DZbuSTVoX-C/?igsh=cjY1MmtsMmduMWs1
 
Kuna vita ya waarabu wenyewe kwa wenyewe inanukia. Sijui watakuwa wanauana kwa jina la nani? Myahudi nyoko sana...kashawazidi maarifa anataka washikame makoo kwa faida yake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Ila vita ikianza, sisi tutakutuma wewe utuwakilishe. Utaenda na jambia lako ulilofungia ndoa😂😂😂😂 😂

Mapanga shaa shaa hakuna mchezo
 
🚨KUVUNJIKA: Trump mwenye mashaka anavunjika moyo baada ya kuulizwa kuhusu Mlango-Bahari wa Hormuz KUFUNGWA:

"Iko wazi, na sitaki kuizungumzia kwa sababu nataka kuheshimu maisha ya Lindsey Graham... Nilikuambia hilo kabla ya simu."

View: https://x.com/calltoactivism/status/2076308693096755438?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Uongo mtupu unakusumbua Mzee wa Uharo Msikilize Trump akiongea ili akili zikurudie!!!
 
Attachments

  • telegram-cloud-document-1-5091678648461690405.mp4
    2.7 MB
ran imeripotiwa kuharibu hangars nyingi ambazo zina ndege zisizo na rubani za ufuatiliaji za MQ-9 muhimu kwa shughuli za Marekani Mashariki ya Kati ambazo ziligharimu zaidi ya dola milioni 30 kwa kila kitengo na kituo muhimu cha amri katika Kituo cha Anga cha Prince Hassan huko Jordan kulingana na Shirika la Habari la Mehr.

View: https://x.com/jacksonhinkle/status/2076191782983860252?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Iranian wapo mbali sana kitechnology ukweli Marekani inazidi kupata aibu siku baada ya siku👈
 
Kuna vita ya waarabu wenyewe kwa wenyewe inanukia. Sijui watakuwa wanauana kwa jina la nani? Myahudi nyoko sana...kashawazidi maarifa anataka washikame makoo kwa faida yake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Ila vita ikianza, sisi tutakutuma wewe utuwakilishe. Utaenda na jambia lako ulilofungia ndoa😂😂😂😂 😂

Mapanga shaa shaa hakuna mchezo

Mzee tunaongelea Iranian au
Waraabu tena!!!

Mwamba mwenye kupasuana na Marekani pamoja na Israel pamoja na Waarabu wote kufikia kutafuta kurusha taulo Baba yao Trump uyo ni❗️ Iranian tu mwamba wa Mashariki ya kati✍️
 
Iran anawapiga waarabu kama hana akili nzuri. Watamshughulikia ujue.

Ila pia tupeleke mwakilishi wetu kule. Hii ya kusimuliana tokea kwenye mapango ya Amboni haina tija
 
Iranian hajawai kuogopa kupigana na Mataifa zaidi ya 10 + Marekani na Israel !!!!

Mwisho niwao ndio wataomba pooo !!!!
 
Back
Top Bottom