Iran ni balaaa. Netanyahu na Trump wameishakutana mara 8 achilia mbali kuongea na simu kila siku๐Iranian wameshinda Vita๐
Lkn Marekani na Israel kwasasa wanatafuta njia ya mazungumzo ya Amani kuficha Aibu yao kimewaramba โ๏ธ
Ni hasara kubwa kwa Amerika.. ๐๐๐คฃ ๐ฎ๐ท๐บ๐ธ
View: https://x.com/rusia_hd/status/2084037721081663995?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kulingana na Fars News, vyanzo vya habari vya Iran vimekana ripoti za makubaliano yoyote ya kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz, vikiviita vya uongo.Marekani uwezo mdogo kwenye Technology wataumbuka sanaโ๏ธ
Nzuri sana hii.๐จ Jeshi la Iran latangaza kwa mara ya kwanza maandalizi ya makombora 500 ya masafa marefu ya bara ili kukabiliana na shambulio lijalo la Marekani.
Rasmi, ikiwa Iran itashambuliwa, ardhi ya Marekani yenyewe itashambuliwa, ikiwa ni pamoja na Washington, D.C., na Jiji la New York. ๐ฅ๐
View: https://x.com/tvir_x/status/2083616830065639804?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
๐จ Jeshi la Iran latangaza kwa mara ya kwanza maandalizi ya makombora 500 ya masafa marefu ya bara ili kukabiliana na shambulio lijalo la Marekani.
Rasmi, ikiwa Iran itashambuliwa, ardhi ya Marekani yenyewe itashambuliwa, ikiwa ni pamoja na Washington, D.C., na Jiji la New York. ๐ฅ๐
View: https://x.com/tvir_x/status/2083616830065639804?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mambo yameiva kwasasa Marekani ipo kikaangoni
Ninachoamini Kombora la kwanza kutua uko Marekani matokea yake yatakuwa aya
wazayuni FAKE watakimbia wenyewe Mashariki ya kati ๐ค โ๏ธ