Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Blockade iko palepale iran ndiyo anakosa biashara!!
Hahahaha Yahudi mweusi Zee la Uharo. Kama Iran anakosa biashara Trump analazimisha mazungumzo ya nini? Vipi Horumuz inapitika?
 
Waambie iran wakatae hayo mazungumzo waone kipondo cha mbwa-koko!!
Mzee wa Uharo.
🚨: IRGC: 🇮🇷
Hakuna kusitisha mapigano; hiyo ni mbinu tu ya Trump ya kununua muda.🇺🇸

🇮🇷 Iran inafuatilia mienendo ya vituo vya ujasusi vya Marekani katika eneo la Ghuba dakika baada ya dakika, na inalenga viwanda vya kusafisha mafuta na vituo vingine vinavyomilikiwa na wale wanaounga mkono Marekani 🇺🇸.

View: https://x.com/lassegaf_1/status/2084329515485172185?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Watachapika tu mana Beberu kwa Iranian ni kitoeo tu cha kila siku👈

Wizi wa rasilimali kwa Iranian umebuma na sasa wanapoteza vitegauchumi vyao muhimu kwenye Gulf States mavuno yanakwama !!

Iranian inajua fika Hormuz ikifungwa Marekani ndio mwasirika mkuu

mana kawekeza pakubwa uko sasa njia ya kutoa rasilimali
imefungwa🔒🔒
 
Trump kavurugwa hajui hatatokaje kwenye hii vita😀
 
Nchi za Ghuba zinajua vyema zaidi—haziwezi kumudu gharama ya vita hivi.🔥

🇺🇸 Trump: "Karibu wote (viongozi wa Kiarabu) walituomba tusishambulie Iran. Wote walitaka kuipa nafasi hii ya mwisho."

🇮🇷 IRGC: "Mataifa yote ya Kiarabu yanajua kwamba athari ya shambulio dhidi ya Iran itakuwa mbaya kwao."

Kwa hivyo usidanganye ulimwengu. 🔥

View: https://x.com/24_70xu/status/2084450492789428624?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Trump kavugwa hajui hatatokaje kwenye hii vita😀

Netanyahu ndio jinamizi lake tukienda ivi ivi mpaka November Trump na republican yao wanaenda lipia kwenye Uchaguzi wao🤠🤠
 
Netanyahu ndio jinamizi lake tukienda ivi ivi mpaka November Trump na republican yao wanaenda lipia kwenye Uchaguzi wao🤠🤠
MPYA: 🇺🇸🇮🇷🇴🇲 Ingawa Trump anadai kwamba Iran itafungua Mlango-Bahari wa Hormuz, Iran na Oman zimesaini makubaliano ya kudhibiti kwa pamoja na kukusanya ushuru.

Chini ya makubaliano ya sasa kati ya Iran na Oman, Iran ingedhibiti trafiki yote inayoingia kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz, ikitumia korido ndani ya maji ya Iran, huku ikitoza ada za huduma za baharini

Trafiki inayotoka ingetumia njia iliyo karibu na Oman, lakini Iran bado ingesimamia upitaji wa meli na kubaki na haki ya kuingilia kati ikiwa ni lazima. – New York Times
 
Hahahaha Yahudi mweusi Zee la Uharo. Kama Iran anakosa biashara Trump analazimisha mazungumzo ya nini? Vipi Horumuz inapitika?
Mzee wa Uharo usijitoe ufahamu hujui maana ya Blockade hata kuuliza uharo huo? Kaulize sheikhe wako utakueleza maana yake!!
 
Mzee wa Uharo usijitoe ufahamu hujui maana ya Blockade hata kuuliza uharo huo? Kaulize sheikhe wako utakueleza maana yake!!
Mbona umekasirika mzee wa uharo😅

Unadhani ukikasirika Hormuz ndiyo itafunguliwa😀

Shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ya Marekani kaskazini mwa Kuwait

Milipuko kadhaa ilisikika katika kambi ya kijeshi ya Marekani huko Doha (huenda ikawa Kambi ya Buehring), kulingana na ripoti za vyombo vya habari, kutokana na shambulio la ndege zisizo na rubani tatu za IRGC.

Angalau ndege moja isiyo na rubani ilifanikiwa kugonga shabaha yake, na sauti za milipuko zilisikika hata katika maeneo ya mpakani mwa Iraq.

View: https://x.com/sprinterpress/status/2084568411992908081?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hormuz kuna American Blockade!! Usijidanganye kuwa kuwapiga kitu bila idhini ya kiranja wa dunia!!
 
Attachments

  • IMG_5680.jpeg
    IMG_5680.jpeg
    113.4 KB · Views: 6
Hormuz kuna American Blockade!! Usijidanganye kuwa kuwapiga kitu bila idhini ya kiranja wa dunia!!

Sasa Marekani nayeye kajiwekea mlango wake uko mbali!!!

Wanajifraisha tu lkn mlango muhimu ni eneo la Hormuz ambapo Iranian wamefunga ndio Sababu ya wewe kuona maisha magumu👈
 
Sasa Marekani nayeye kajiwekea mlango wake uko mbali!!!

Wanajifraisha tu lkn mlango muhimu ni eneo la Hormuz ambapo Iranian wamefunga ndio Sababu ya wewe kuona maisha magumu👈
Safari hii mtanyooka tu maana Blockade ya marekani inafanya kazi vizuri sana!!
 
Hormuz kuna American Blockade!! Usijidanganye kuwa kuwapiga kitu bila idhini ya kiranja wa dunia!!
Hahaha Mzee wa Uharo hiyo Blockade aina hathari yeyoye kwa Iran.

Iran, anatumia reli hadi china pia anatumia bahari ya Caspian😀

Trump, hata Wamarekani wenyewe wamemchoka kwa uongo.
China Yampinga Trump Hadharani 🇨🇳🇺🇸

Trump: "Tunahitaji dola bilioni mbili kwa siku ili kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz."

Waziri wa Mambo ya Nje wa China: "Mlango-Bahari ulikuwa wazi kabla ya vita. Mzizi wa tatizo upo katika vitendo vyako haramu dhidi ya Iran; umesababisha mgogoro wa kimataifa kutokana na kutokuwa na kitu.

View: https://x.com/sprinterpress/status/2084602356382011591?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Safari hii mtanyooka tu maana Blockade ya marekani inafanya kazi vizuri sana!!
Mzee wa Uharo unajiliwaza na kujifariji😀

Taco moja zaidi inapakia 🤡😂

🇺🇸 Trump: "Tunazungumzia kuhusu kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz ifikapo kesho. Jeshi letu la Wanamaji litailinda."

🇮🇷 Iran: "Tunakusubiri." "Meli zozote za kivita zinazothubutu kukaribia Mlango-Bahari zitatumwa mara moja chini ya bahari."🔥👏

Trump ametoa tangazo hilo. Sasa hebu tuone jinsi atakavyorudi nyuma haraka. 🤡😂

View: https://x.com/24_70xu/status/2084488673220010099?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom