🇺🇸 Marekani: "Kila moja ya ndege zetu za kivita za B-2 hugharimu dola bilioni 2. Hupaa kutoka Missouri, huangusha mabomu ya tani 30 ya kuvunja bunker, na kurudi bila kugundulika."Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Iran waoga sana kwa nini wasiishambulie Israel? Wanaogopa nini? Wanaonea nchi dhaifu za kiarabu!!!🚨 Onyo la Walinzi wa Mapinduzi wa Iran:
Ikiwa Marekani itashambulia Iran, viwanja vya ndege vya Dubai na Abu Dhabi, bandari za Riyadh na Jeddah, Fujairah na Jebel Ali, pamoja na bandari zote nchini Saudi Arabia, Bahrain, Kuwait, Jordan, na Qatar lazima ziondolewe mara moja. 🔥🚀🇮🇷🇺🇸💥
View: https://x.com/tvir_x/status/2083952516820017172?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hahaha Yahudi mweusi kavurungwa😀Iran waoga sana kwa nini wasiishambulie Israel? Wanaogopa nini? Wanaonea nchi dhaifu za kiarabu!!!
Iran kwa nini anakaogopa ka nchi kidogo ka Israel? Kama kweli Mwanaume Arushe tu hata Kokomo ndani ya Israel alone kulichomfanya Gaidi Ayatollah Ali Khamenei afe Kibuyu!!!!!
Hapatoki kitu huko bila idhini ya Marekani au Mzee wa Uharo hujui kuwa huko kuna Blockade ya Marekani?Hahaha Yahudi mweusi kavurungwa😀
Iran katandika wote Israel, Saudia Arabia, Qatar, Baharan, Kuwait, Jordan, UAE,😀
Bashaa wako Netanyahu kila siku safari za Marekani kaishaonana na Trump mara 8 toke vita vianze😀
Vipi Hormuz imefunguliwa😅
Iran waoga sana kwa nini wasiishambulie Israel? Wanaogopa nini? Wanaonea nchi dhaifu za kiarabu!!!
Iran kwa nini anakaogopa ka nchi kidogo ka Israel? Kama kweli Mwanaume Arushe tu hata Kokomo ndani ya Israel alone kulichomfanya Gaidi Ayatollah Ali Khamenei afe Kibuyu!!!!!
Mzee wa Uharo lengo la vita la Marekani ni Blockade😀Hapatoki kitu huko bila idhini ya Marekani au Mzee wa Uharo hujui kuwa huko kuna Blockade ya Marekani?
Mzee wa uharo kavurungwa hajui hata anachokitetea😀Israel imechapika sana kwenye ile Vita ya kuzi kati👈
kwasasa wenyewe Israel wamegoma kujiunga kwenye kampeni ya kurusha makombora Iranian!!👈
Labda Echolima1 tueleze kwanini Israel wakati huu imegomea kuitwanga Iranian 👈
tofauti na uko Lebanon na Gaza kunanini anakiogopa
kwa Iranian 🤠✍️
Mzee wa Uharo😀Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Blockade iko palepale iran ndiyo anakosa biashara!!Mzee wa Uharo lengo la vita la Marekani ni Blockade😀
Iran YAKATAA Pendekezo la Marekani la Kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz, Pakistan Yakana Madai ya Trump ya Mazungumzo
Kulingana na chanzo cha Iran kilichonukuliwa na mtandao wa Al-Mayadeen, Marekani, katika pendekezo lake la hivi karibuni kwa Iran, ilitoa motisha kuhusu kuendelea kufungwa kwa njia ya kusini ya Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kwa kujibu, Iran imesema kwamba haitakubali kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz hadi mwisho kamili wa vita.
Vyanzo nchini Pakistan, sawa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu, vilikana uwezekano wowote wa kuendelea na duru mpya ya mazungumzo.
Ujumbe kama huo, kuhusu mada zote mbili, ulitolewa na msemaji wa FM wa Iran leo.
View: https://x.com/ryanrozbiani/status/2084277541825544606?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Waambie iran wakatae hayo mazungumzo waone kipondo cha mbwa-koko!!Mzee wa Uharo😀
Trump Adai Iran Imeomba Mazungumzo Na Sasa Wanazungumza Wakiungwa Mkono na Saudi Arabia, UAE na Qatar
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2084342843229835704?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw