Mlisema mnatoza dola million 2 kila meli mmegeuka tena? Hata hivyo mtanyooka tu mbele ya Blockade ya Marekani!!!Iran imetangaza kutoza ushuru wa 7% kwa meli zote za kibiashara zinazopita katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
Hii inatarajiwa kuzalisha takriban dola milioni 385 kwa siku kwa Iran, au zaidi ya dola bilioni 100 kwa mwaka, kulingana na kiasi cha meli za kabla ya vita.
View: https://x.com/sprinterpress/status/2085683093382250669?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Naomba source nikajisimee kuhusu dola milioni 2 kwa meliMlisema mnatoza dola million 2 kila meli mmegeuka tena? Hata hivyo mtanyooka tu mbele ya Blockade ya Marekani!!!
Mzee wa Uharo Ama kweli Misikitini mnadanganyana sana!!Jenerali Mkuu wa Trump Atafuta Kibali cha Kujikwamua Kifo cha Vita vya Iran
Jenerali Dan Caine, Mwenyekiti wa Wakuu wa Pamoja, amewaambia washauri wengine wa Trump kwamba Marekani inahitaji njia ya kutoka kwa sababu nguvu za anga PEKEE haziwezi kushinda, vyanzo vitatu viliiambia CNN. Anaonya kwamba kila chaguo la kushambulia lina hatari ya kuangushwa, na akiba ya silaha sasa "IKO CHINI SANA."
Miezi sita baadaye, jenerali mkuu wa Trump mwenyewe hawezi kupata njia ya kushinda vita alivyofurahi kuanzisha.
View: https://x.com/ryanrozbiani/status/2085848780948357131?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tatizo kwako ni bundle la 500 haliwezi kukupa habari za kutosha waulize Wafuga Midevu na majini wenzako wanajua!!Naomba source nikajisimee kuhusu dola milioni 2 kwa meli
Ingekuwa vyema kama ungeweka hiyo link.Tatizo kwako ni bundle la 500 haliwezi kukupa habari za kutosha waulize Wafuga Midevu na majini wenzako wanajua!!
Acha ujinga kwani hapa tunashindana?Ingekuwa vyema kama ungeweka hiyo link.
Pia mimi sio mfuga ndevu kobazi wala mlokole wala mkristo asiye jitambua unitoe huko kabisa
Hii kwa uchache ni matumizi yangu ya data nje ya wi-fi. Weka ya kwako tuone.View attachment 3645989View attachment 3645990
Nakupa facts siendi kimihemuko. Umesema bando la 500 nimekupa ushahidi. Umesema 2milion dollar kwa meli weka fact/chanzo hapa ili nikasome.Acha ujinga kwani hapa tunashindana?
Safari nyingi tumia akili zako vizuri Google ukikosa taarifa unazozitaka ndipo uje kuuliza na siyo kutuonyesha ujinga wako hapa!!!
Jana Saudia Arabia, kaingia mkataba na Uturuki na Pakstan wa ulinzi baada ya kuona Marekani hawana lolote kila siku wanachezea kichapo hamna msaada wowote, nguvu zote zinaenda kumlinda Israel na yeye anapigwa😂Wamekwama kupitia Vita kwasasa Marekani kimuonekano❗️
kashuka hadhi pakubwa!!!
Kina Japan Korea kusini Taiwan wajifunze kutokea Iranian 👈
kwasasa watatute Amani ya mazungumzo kabla ya kuchelewa✍️
Acha ujinga kwani hapa tunashindana?
Safari nyingi tumia akili zako vizuri Google ukikosa taarifa unazozitaka ndipo uje kuuliza na siyo kutuonyesha ujinga wako hapa!!!
Hahahaha yeye kabakia na blockade😂Brother Depu ndio kwa Aibu kapotea kwa muda kusikilizia kama upepo unavumaje😇😇
Uyu nae Echolima1 kwasasa nikama anasombwa na Maji❗️
kila tawi anajaribu kushika mara kwenye Siasa mara Ukraine Sitashangaa kumkuta kwenye Michezo🤠
Iranian sio watu wazuri bhana ni zaidi ya wahuni uwajuao✍️
Jana Saudia Arabia, kaingia mkataba na Uturuki na Pakstan wa ulinzi baada ya kuona Marekani hawana lolote kila siku wanachezea kichapo hamna msaada wowote, nguvu zote zinaenda kumlinda Israel na yeye anapigwa😂
Kwa uharo unaoutoa Bila shaka yeyote wewe ni Mfuga Midevu na Majini!!!Nakupa facts siendi kimihemuko. Umesema bando la 500 nimekupa ushahidi. Umesema 3milion dollar kwa meli weka fact/chanzo hapa ili nikasome.
Calm down