Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Sasa ndio umejibu nn❗️ weka yako tujue usiongee kama mlevi wa mataptap!!
Ndiyo maana kila siku huwa nasema aliye waroga Wafuga Midevu na Majini alishakufa ndiyo maana akili zao hazina akili!!
 
Jana Saudia Arabia, kaingia mkataba na Uturuki na Pakstan wa ulinzi baada ya kuona Marekani hawana lolote kila siku wanachezea kichapo hamna msaada wowote, nguvu zote zinaenda kumlinda Israel na yeye anapigwa😂

Hii Mikataba bure kabisa wala haitaweza kumpa Amani yoyote!!

Saudi Arabia ni nayeye ni Mvamizi pale Yemen na Bahrain nk.

Hakuna mkataba wakukulinda kuendelea kushikilia maeneo au rasilimali za wengine!!

Saudi Arabia. nikama anatapatapa sitashangaa kumuona
pia akitafuta mkataba na wa ulinzi na Iranian 🤠✍️
 
Kwa uharo unaoutoa Bila shaka yeyote wewe ni Mfuga Midevu na Majini!!!

Mimi sijasema dala million 3 mimi nimesema iran ilitangaza kutoza meli kwa dola million 2 hiyo million 3 naona Majini yako yamepanda yakakuambia dala million 3.

Mjinga kama wewe link itakusaidia kweli?
Weka link sasa
 
Mzee wa Uharo Ama kweli Misikitini mnadanganyana sana!!
Mzee wa Uharo mambo ya Msikititi yameingiaje mambo ya dini peleka jukwaa la dini.

The plan would impose fees of up to 7% of cargo value on commercial vessels that pass through the strait. It would also fine ships 20% of cargo if they violate Iran's conditions.

Imeisha hiyo….
 
Kwa uharo unaoutoa Bila shaka yeyote wewe ni Mfuga Midevu na Majini!!!

Mimi sijasema dala million 3 mimi nimesema iran ilitangaza kutoza meli kwa dola million 2 hiyo million 3 naona Majini yako yamepanda yakakuambia dala million 3.

Mjinga kama wewe link itakusaidia kweli?
JF siyo sehemu ya porojo weka link.
 
Weka link sasa
Sema kwanza mimi nilisema dola million 3 kama ulivyoandika ukisema kweli nitakuwekea hiyo link
Hahahah Mzee wa Uharo hawezi kuweka link😂

Akiweka najitoa JF😂
Bora umetoa hukumu mwenyewe jitoe kuanzia sasa
hivi Mbwa wewe!! Link hiyo hapo!!
 
Huko Marekani mambo yanazidi kubadilika Wayahudi wameshindwa tena pamoja ya kutumia mamilioni ya dola kumuweka mgombea wao jimbo la Michagan.
 
Msemaji wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Brigedia Jenerali Hossein Mohebbi:

"Kufunguliwa tena kwa Lango la Hormuz kunategemea mifumo na masharti maalum ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, na hakuhusiani na mazungumzo kati ya Iran na Oman.

Kwetu sisi, Lango la Hormuz si njia ya maji ya kiuchumi tu, bali pia ni kipengele muhimu cha nguvu ya kijiografia na kimkakati ya Iran.

Kufunguliwa kwa Lango la Hormuz kunategemea kukubalika kikamilifu kwa masharti ya Iran na Marekani na kuachana kwake na kuingiliwa katika mazungumzo ya kikanda; na ikiwa Marekani itakubali masharti ya Iran, Lango la Hormuz hakika litafunguliwa."

View: https://x.com/thecradlemedia/status/2086033094218310089?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Huko Marekani mambo yanazidi kubadilika Wayahudi wameshindwa tena pamoja ya kutumia mamilioni ya dola kumuweka mgombea wao jimbo la Michagan.

Wazayuni kwasasa wanategemea mfumo wa Serikali kulinda Ushawishi wao👈

Tumeona maandamano kwenye Universities pale Marekani na namna wamekandamizwa Wanachuo na Mapolisi wa miji👈

Ni wazi Wananchi wa Marekani kwasasa wamechoshwa kabisa baada kujua ukweli kuusu Palestine na Uvamizi wa Israel 👈

Uko nyuma ulimwengu ulikuwa kwenye kifungo cha media
Vyombo vya Habari vikubwa vyote. Vilikuwa chini ya propaganda za Israel 👈

Ulimwengu ulikuwa
umedanganywa mno na kweli wakaamini Wapalestina ndio tatizo na ni wachokozi wenye lengo baya la kawauwa Wazayuni👈

Ulimwengu kupitia propaganda izo Wakatendd dhambi wakawaita Wapalestina kwenye nafsi zao kuwa ni Magaidi❌️

leo machozi yanawatoka baada ya kujua ukweli wote👈

kumbe ilikuwa propaganda tu wenye kukandamizwa ni wa Palestine tena kinyama kabisa 👈

Propaganda ilifanyakazi sana kuficha ukweli 👈

Aljazeera imefanikiwa kuvunja uwongo wote wa na propaganda zao zote kuusu Palestine✅️

Ukweli waandishi wa Aljazeera wameuwawa wengi sana lkn wamesimama imara kuendelea kusema kweli kufuta uwongo kwenye vichwa vya watu wa Ulimwengu👈

Kwa hakika wamejitolea kila kitu kinachotokea kwa Wapalestina wamekubali kufa kwenye kweli ya kweli kuusu Palestine✅️

wameziweka wazi Sheria nyingi zinazotungwa ndani ya Israel zinazo ushangaza ulimwengu👈

Kwamba watoto wa Palestine wanaweza kufungwa kwa kosa la kustaajabisha kabisa kosa lake kumwangalia tu polisi wa Israel au mwanajeshi👈

La ulimwengu umekuja kujua kumbe ipo Sheria maalum kwamba MPalestine akifa kwenye Lupango za Israel bado maiti yake itashikiliwa mpaka kumaliza kifungo
chake☠️☠️👈

Wengi walikuwa hawajui namna jamii ya Palestine inatendewa tofauti na Sheria yoyote kokote kwengine!!

Sheria inatungwa kuwausu jamii moja tu ya watu ‼️
Yani inatungwa Sheria kwaajili ya jamii ile tu sio wote ndani ya nchi moja 👈

ni wazi Sheria za kibaguzi!!!

Kuwekwa wazi Sababu za vijana wa Palestine kuwekwa Lupango yani Sheria zilizotumika kuwekwa
ndani👈

tena watoto wadogo wengine chini ya miaka 10 kumeushtua Ulimwengu wote 👈

kwaiyo Wazayuni walijiona wana maguvu baada ya Trump kutumia maguvu kukandamiza sauti za watu kwenye Universities zao

Sasa vijana walewale wa vyuo pale Marekani wapo nyuma ya mshikamano na yoyote wanaemuona uyu atapinga Uzayuni wanampigia kampeni
mitandaoni ya kufa mtu👈

Wanaopiga izo kampeni za kuupinga Uzayuni wengi Wazungu!! wenyewe kazi kipimo cha utu!! upele umepata mkunaji asa👈

Kwaiyo Uchaguzi huu unaenda kuwafagia pro Zayuni
wa Kutosha👈

sio kupitia uteuzi wa ndani ya vyama vyao tu👈

Mwamko unaenda mpaka Uchaguzi wa November watasimama nao kumshinda yoyote
akionekana
Mataga wa mzayuni!!

Wazayuni kweli watatumia pesa nyingi 👈

lkn wanzao watatumia nguvu ndogo sana kuwasambaratisha kwao Sapoti ya kupinga Uzayuni
itawabeba sana👈

Sioni ajabu wagombea kuja
kushtuka na kukataa kusapotiwa na Zayuni👈

mana watajiona wapo kwenye kundi la kushindwa✍️
 
Huu UHARO ulioutoa unalingana na akili zako na za Wafuga Midevu na Majini wenzako kila siku mnawaza Uharo tu!!
 
Kiwango cha pesa kilichotumika kujaribu kumzuia El-Sayed kilikuwa cha ajabu. Kinyang'anyiro hicho kiliingiza zaidi ya dola milioni 60 katika matumizi ya kampeni — nyingi kutoka kwa makundi yanayounga mkono Israeli, yakiongozwa na Kamati ya Masuala ya Umma ya Israeli ya Marekani (AIPAC), ambayo ilimwaga zaidi ya dola milioni 30 kumuunga mkono Stevens.

Kwa mujibu wa akaunti kadhaa, kilikuwa kipindi cha uchaguzi cha Seneti cha gharama kubwa zaidi kuwahi kutokea nchini humo.

Pesa nyingi za nje zilifadhili wimbi la matangazo ya mashambulizi.

Hata hivyo, mkakati huo unaonekana kuwa haukuwa na matokeo mazuri. Wapiga kura waliohojiwa na Bridge Michigan walielezea matumizi mengi kama upotevu, na mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Waarabu wa Marekani isiyoegemea upande wowote, Maya Berry, alisema Michiganders walikataa tu kukubali kampeni ya matangazo ambayo iliepuka sera na badala yake kuifundisha, kwa maneno yake, mwanamume Mwislamu wa Marekani Mwarabu anayeitwa Abdul.

Aliita matokeo hayo wakati muhimu na akasema alifurahi sana kwa nchi nzima kuona kwamba Michigan haitayumbishwa nayo.
 
Marekani Imebakisha Siku 43 Kupoteza Mafuta

Kulingana na data kutoka Benki ya Uwekezaji ya Marekani, Hifadhi ya Mafuta ya Kimkakati ya Amerika imefikia kiwango chake cha chini kabisa tangu 1983.

Hifadhi hii kwa sasa ni sawa na siku 43 za matumizi ya mafuta ghafi kwa nchi, na ikiwa hakuna mafuta mapya yanayofika Amerika, nchi hiyo itakabiliwa na uhaba wa mafuta.

View: https://x.com/dailyirannews/status/2086005231771394093?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom