Wewe kweli mzee wa Uharo habari za Iran zinatoka kwa Charles Gorrivan😂Sema kwanza mimi nilisema dola million 3 kama ulivyoandika ukisema kweli nitakuwekea hiyo link
Bora umetoa hukumu mwenyewe jitoe kuanzia sasa
hivi Mbwa wewe!! Link hiyo hapo!!
Shipowners Say Hormuz Tolls Would Lead to More Charges Elsewhere
Eight of the world's largest shipping industry associations urged the United Nations and International Maritime Organization to oppose any compulsorywww.insurancejournal.com
😂😂😂Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Umepandisha hayo Majini yako?Wewe kweli mzee wa Uharo habari za Iran zinatoka kwa Charles Gorrivan😂
🇮🇷 Iran peke yake ilimaliza enzi ya nguvu kubwa ya Marekani. 🔥👏Umepandisha hayo Majini yako?
🇮🇷 Iran inaweka wazi kuwa Mlango-Bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa hadi Marekani itakapoondoa kizuizi chake cha majini, bila kujali mazungumzo ya Oman yatafanyika vipi.Umepandisha hayo Majini yako?
Iran yatangaza kuwa Mlango-Bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa hadi 2029, mwisho wa muhula wa Trump, isipokuwa Trump akubali madai yote ya Iran, kulingana na chanzo kikuu cha Iran na Majid Shakeri, mshauri wa Spika wa Bunge Ghalibaf.Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Blockade ya kiranja wa funia ipo palepale mpaka mnyooke!!Iran yatangaza kuwa Mlango-Bahari wa Hormuz utaendelea kufungwa hadi 2029, mwisho wa muhula wa Trump, isipokuwa Trump akubali madai yote ya Iran, kulingana na chanzo kikuu cha Iran na Majid Shakeri, mshauri wa Spika wa Bunge Ghalibaf.
Madai ya Iran katika hati ya kujisalimisha ya Marekani hayajabadilika, fidia ya dola bilioni 300, kutolewa kwa hadi dola bilioni 100 katika mali zilizozuiliwa, kuondolewa kwa vikwazo vyote, kuondolewa kwa wanajeshi wa Marekani katika eneo lote, kukomeshwa kwa kizuizi cha majini, na kukubali ada za usafiri kwa kila meli.
Blockade ya kiranja wa funia ipo palepale mpaka mnyooke!!