Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
 
Baada ya Iran kutangaza kwamba Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa tena, jeshi la Marekani linasema Mlango-Bahari uko wazi kwa meli zote zinazotaka kusafirisha kihalali

Meli ilijaribu kupita na ikagongwa mara moja na ndege isiyo na rubani ya Iran.
 
Iran iendelee tu kuzishambulia nchi za Wanyonge za kiarabu wakati Israel inawasubili warushe hata kipande cho koko tu ndani ya Israel ili waone kilichomfanya kuku asikojoe!!

Iran inashambulia nchi kote Mashariki ya Kati, lakini inaepuka kushambulia Israeli moja kwa moja.

Kwa nini? Kwa sababu inajua jibu litakuwa la haraka na la gharama kubwa ambalo litawafanya wajute maisha yao yote!!
 
Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
Jamaa kajifia na Matatizo yake ya kiafya leo hii Wafuga Midevu na Majini wamekuja na visingizio lukuki na wanadai wao wamemuua!!! Ujinga mtupu unawasumbua!!
***** mwenzako kauli zake😂
Sen. Lindsey Graham (R, S.C.) said the goal of the Iran operation "is to change the threat, not the regime," adding that the U.S. won't pick Iran's next leader.


"When this operation's over, no matter who takes over in Iran, they will not have ballistic missiles to hurt us, Israel, or the region. They will not have the capability to be the largest state sponsor of terrorism," the President Trump ally said
 
Anachofanya Iran yeye anapiga kambi za Marekani ndiyo maana unaona viangozi wao wanaenda kila siku Iran.

Iran, kaishapiga sana Israel😂
 
Endeleeni ku jambajamba tu na kuongea Wafuga Midevu na Majini wenzenu tu Israel iko hapo Waambie Iran warushe hata Kokomo moja tu waone cha moto!!!
 

Attachments

  • 2198933272113048292.mp4
    6.8 MB
  • 4250807528676081668.mp4
    2.8 MB
  • 2338609978020662226.mp4
    1.6 MB
  • IMG_5610.jpeg
    107.3 KB · Views: 16
  • 8429392735835291970.mp4
    4.6 MB
Anachofanya Iran yeye anapiga kambi za Marekani ndiyo maana unaona viangozi wao wanaenda kila siku Iran.

Iran, kaishapiga sana Israel😂
Iran alishasema Israel ikiipiga Hezbollah basi nayo itaisha built Israel cha ajabu Hezbollah wanapigwa na Iran hata hawezi hata kuipiga Israel anapiga wanyonge wake tu waarabu waache ujinga wa shambulio Israel waone kilichomuua Gaidi Ayatollah Ali Khamenei na jopo lake!!
 



View: https://www.instagram.com/reel/DZbuSTVoX-C/?igsh=cjY1MmtsMmduMWs1
 

Kuna vita ya waarabu wenyewe kwa wenyewe inanukia. Sijui watakuwa wanauana kwa jina la nani? Myahudi nyoko sana...kashawazidi maarifa anataka washikame makoo kwa faida yake 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Ila vita ikianza, sisi tutakutuma wewe utuwakilishe. Utaenda na jambia lako ulilofungia ndoa😂😂😂😂 😂

Mapanga shaa shaa hakuna mchezo
 


Uongo mtupu unakusumbua Mzee wa Uharo Msikilize Trump akiongea ili akili zikurudie!!!
 

Attachments

  • telegram-cloud-document-1-5091678648461690405.mp4
    2.7 MB

Iranian wapo mbali sana kitechnology ukweli Marekani inazidi kupata aibu siku baada ya siku👈
 

Mzee tunaongelea Iranian au
Waraabu tena!!!

Mwamba mwenye kupasuana na Marekani pamoja na Israel pamoja na Waarabu wote kufikia kutafuta kurusha taulo Baba yao Trump uyo ni❗️ Iranian tu mwamba wa Mashariki ya kati✍️
 
Mzee tunaongelea Iranian au
Waraabu tena!!!

Mwamba mwenye kupasuana na Marekani pamoja na Israel pamoja na Waarabu wote kufikia kutafuta kurusha taulo Baba yao Trump uyo ni❗️ Iranian tu mwamba wa Mashariki ya kati✍️

Iran anawapiga waarabu kama hana akili nzuri. Watamshughulikia ujue.

Ila pia tupeleke mwakilishi wetu kule. Hii ya kusimuliana tokea kwenye mapango ya Amboni haina tija
 
Iranian hajawai kuogopa kupigana na Mataifa zaidi ya 10 + Marekani na Israel !!!!

Mwisho niwao ndio wataomba pooo !!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…