Iran itatangaza eneo la baharini lililowekewa vikwazo kuzunguka Mlango-Bahari wa Hormuz katika siku na wiki zijazo.
Eneo lililopendekezwa litaanza karibu na mstari wa vizuizi wa Jeshi la Wanamaji la Marekani, kupanua kupitia Mlango-Bahari, na kuendelea hadi Ghuba ya Uajemi.
Meli yoyote inayotambuliwa kuingia katika eneo lililotengwa kwa nia ya kupitisha Mlango-Bahari itawekwa kwenye orodha ya vikwazo vya Iran.
Hatua hiyo inaweza kuongeza shinikizo kubwa kwa usafirishaji wa kibiashara kupitia Hormuz.
View: https://x.com/irantimes72/status/2096752981182226797?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Marekani mbele ya Dunia imepata aibu kubwaa sana
Sasa ulimwengu ulijua Marekani ni Taifa lenye nguvu kubwaa
Lkn tunachokiona kinatofauti na ukweli wa miaka na miaka
Yani kweli Marekani inapigana na Iranian na Marekani inaishiwa nguvu kiasi kuombo pooo kwa muda
Wanakijq tena wanatwangwa wa wanaomba pooo tena
Yani Iranian inapiga sehemu muhimu kisha wananyuti kumpa nafasi Marekani ijiweke sawa tena wakija upya Iranian inapiga tena sehemu muhimu tu
Sasa Marekani kajikuta kanasa kwenye Mwiba m'gumu mzito usioweza kutatuliwa kwasasa kivyovyote
Si Kijesh
Sio kivikwazo
Tupo mwezi wa 9 tunaenda November ❗️
Tunaenda kwenye anguko la kwanza la Trump 🤠🤠🤠