Shambulio la Iran LILIPIGA Ndege Nyingi za Marekani Jana UsikuSio mchezo Iranian inaweza kufanya chochote
Kwasasa
Ulimwengu umepigwa na
butwaa vip Iranian imewezaje kufikia yote aya chini ya Vikwazo vikali kabisaa Kuwai kuwekewa Taifa lolote ❗️❗️
Kambi za Marekani uko Jordan zimepelekewa MOTO sio wa kitoto 💥💥💥 Iranian wamechafukwa🤠
🇺🇸 Trump anaahidi kutoa dola 5,000 kwa kila mtu mzima wa Marekani iwapo chama cha Republican (GOP) kitadumisha udhibiti wa Baraza la Wawakilishi na Seneti mwezi huu wa Novemba...Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Endelea kuweweseka!!!🇺🇸 Trump anaahidi kutoa dola 5,000 kwa kila mtu mzima wa Marekani iwapo chama cha Republican (GOP) kitadumisha udhibiti wa Baraza la Wawakilishi na Seneti mwezi huu wa Novemba...
Lakini hebu tuangalie rekodi yake ya hivi karibuni:
-Hundi za kichocheo cha uchumi za dola 5,000 kupitia "gawio la DOGE"
(hazikutolewa kamwe)
-Hundi za kichocheo cha uchumi za dola 2,000 kupitia "gawio la ushuru wa forodha"
(hazikutolewa kamwe)
-Hundi za zaidi ya dola 1,000 kutokana na akiba ya ruzuku za ACA
(hazikutolewa kamwe)
-"Gawio la Trump" la dola 5,000 iwapo Republican watashinda uchaguzi wa katikati ya muhula
(tutaona kitakachotokea)
Chanzo: @TabzLIVE kwenye TG / Mwandishi: Michael
View: https://x.com/marionawfal/status/2098011357673038207?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🇺🇸 Trump anaahidi kutoa dola 5,000 kwa kila mtu mzima wa Marekani iwapo chama cha Republican (GOP) kitadumisha udhibiti wa Baraza la Wawakilishi na Seneti mwezi huu wa Novemba...
Lakini hebu tuangalie rekodi yake ya hivi karibuni:
-Hundi za kichocheo cha uchumi za dola 5,000 kupitia "gawio la DOGE"
(hazikutolewa kamwe)
-Hundi za kichocheo cha uchumi za dola 2,000 kupitia "gawio la ushuru wa forodha"
(hazikutolewa kamwe)
-Hundi za zaidi ya dola 1,000 kutokana na akiba ya ruzuku za ACA
(hazikutolewa kamwe)
-"Gawio la Trump" la dola 5,000 iwapo Republican watashinda uchaguzi wa katikati ya muhula
(tutaona kitakachotokea)
Chanzo: @TabzLIVE kwenye TG / Mwandishi: Michael
View: https://x.com/marionawfal/status/2098011357673038207?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
😂😂😂Endelea kuweweseka!!!
😂😂😂
🇺🇸 Trump is promising $5K to every American adult if the GOP retains the House and the Senate this November...
But let's look at his recent track record:
-$5,000 stimulus checks via a “DOGE dividend”
(never issued)
-$2,000 stimulus checks via a “tariff dividend”
(never issued)
-$1,000+ checks from ACA subsidies savings
(never issued)
-$5,000 “Trump dividend” if Republicans win the midterms
(guess we'll see)
Source: @TabzLIVE on TG / Writer: Michael
Washauri wa Ikulu ya Marekani (White House) wanaonya kuwa vita vya Trump dhidi ya Iran vinaweza kuendelea hata baada ya muda wake wa urais kumalizikaTrump tapeli kama Tapeli mwengine yoyote 👈
hofu yake kuja kutaka kuondoshwa na Bunge lao kama mwaka ule 🤔🤔
Iran na wairan ndiyo wanaoumia zaidi!!Washauri wa Ikulu ya Marekani (White House) wanaonya kuwa vita vya Trump dhidi ya Iran vinaweza kuendelea hata baada ya muda wake wa urais kumalizika
——
Washauri wakuu wa Ikulu ya Marekani, akiwemo Makamu wa Rais JD Vance na Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, wamemwonya faraghani Rais Donald Trump kwamba vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vinaweza kuendelea katika kipindi chote kilichosalia cha urais wake; taarifa hii ilitolewa na gazeti la Wall Street Journal siku ya Jumatano, likinukuu maafisa wa Marekani.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Vance, Rubio na maafisa wengine wamemwonya Trump kuwa Iran inaweza kuendelea kupinga shinikizo la kiuchumi na kijeshi la Marekani, jambo linaloweza kurefusha muda wa vita hivyo hadi kuvuka tarehe ya kuapishwa kwa rais mpya mwezi Januari 2029.
"Rais Trump ameangamiza uwezo wa kijeshi wa Iran na anadhoofisha kile kilichosalia cha uchumi wake mbovu kwa kutumia mzingiro wa nguvu zaidi wa majini katika historia ya dunia pamoja na vikwazo vikali sana," msemaji wa Ikulu ya Marekani aliliambia gazeti hilo akijibu swali kuhusu suala hilo. "Ni Rais Trump pekee anayejua nini atafanya na lini."
US consumer prices jumped in August as reported by the U.S. Department of Labor, driven heavily by surging fuel costsIran na wairan ndiyo wanaoumia zaidi!!