Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Angefanikiwa huyo gaidi kuidondosha hiyo ndege mngesjangilia sana Wafuga Midevu na Majini kote duniani!!!Hahahahah😂
Fundi bomba ghafla kawa pilot.
Hakika kwenye ukweli uongo hujitenga
🤣Trump juu ya uchizi wake hio story ya fundi bomba kugeuka pilot imegoma kusajili kichwani kwake
Thanks God njama hizo zimedhibitiwa na Gaidi huyo katiwa mbaroni sasa mmeanza kubwabwaja na fundi bomba!! Simply tu kazuia uhuni uliotaka kutekelezwa na Gaidi dhidi ya Wayahudi!!
Kwa kifupi huo ulikuwa mkono wa Mungu!!! Na uelewe Israel ni Taifa teule Mungu lazima tu alitetee tu ili Wafuga Midevu na Majini muone ukuu wake!!