Angefanikiwa huyo gaidi kuidondosha hiyo ndege mngesjangilia sana Wafuga Midevu na Majini kote duniani!!!Hahahahah😂
Fundi bomba ghafla kawa pilot.
Hakika kwenye ukweli uongo hujitenga
🤣Trump juu ya uchizi wake hio story ya fundi bomba kugeuka pilot imegoma kusajili kichwani kwake
Wewe punguani sana Mzee wa Uharo unalishwa uharo na Netanyahu eti fundi bomba kageuka pilot😂Angefanikiwa huyo gaidi kuidondosha hiyo ndege mngesjangilia sana Wafuga Midevu na Majini kote duniani!!!
Thanks God njama hizo zimedhibitiwa na Gaidi huyo katiwa mbaroni sasa mmeanza kubwabwaja na fundi bomba!! Simply tu kazuia uhuni uliotaka kutekelezwa na Gaidi dhidi ya Wayahudi!!
Kwa kifupi huo ulikuwa mkono wa Mungu!!! Na uelewe Israel ni Taifa teule Mungu lazima tu alitetee tu ili Wafuga Midevu na Majini muone ukuu wake!!
Mzee wa Uharo Israel ni taifa teule hivyo Mungu anaweza kutumia hata funding bomba kuokoa wayahudi kutoka katika mikono ya Magaidi!!Wewe punguani sana Mzee wa Uharo unalishwa uharo na Netanyahu eti fundi bomba kageuka pilot😂
Anataka kutafuta sababu ya kuhairisha uchaguzi.
Hawa laanatullah umefika wakati sasa wanajuta kuwa wayahudi.Mzee wa Uharo Israel ni taifa teule hivyo Mungu anaweza kutumia hata funding bomba kuokoa wayahudi kutoka katika mikono ya Magaidi!!
Kwa taarifa yako tu Wayahudi wengi wanataka Mwamba Netanyahu ashindwe uchaguzi ujao ili tu ampishe kiboko ya Waarabu Waziri wa Usalama wa Israel Gvir ili aweze kukamilisha mpango wake wa kuwafyekelea mbali Magaidi wa kiarabu!!
Waliolaaniwa ni Waarabu wanaopigana wao kwa wao na wana Uchumi mzuri lakini wameukalia!!Hawa laanatullah umefika wakati sasa wanajuta kuwa wayahudi.
Mfano UK, Ufaransa, na nchi zingune za Ulaya walikuwa wanakumbatiwa na serikali lakinu baada ya kuona ummah wote wako na Wapalestina ghafla wamegeuziwa kibao.
Siasa ni laana ya ajabu sana.kila mtu analinda kura zake bila kujali😂
Mzee wa Uharo.Waliolaaniwa ni Waarabu wanaopigana wao kwa wao na wana Uchumi mzuri lakini wameukalia!!
Israel ni Taifa teule nchi ndogo sana na watu Milioni 10 tu lakini inawahenyesha wafuga midevu na majini kote Mashariki ya kati na Uajemi na hawafurukuti na wakifurukuta wanapigwa kipigo cha mbwa-koko!!
Hadi leo hii magaidi wa Hamas na Hezbollah wanajutia kitendo cha mauaji waliyoyafanya Oct 07,2023 huko Israel maana wamepoteza viongozi wao karibu wote Akina Yahya Sinwar na mamia kama si maelfu ya magaidi wenzake na Gaidi Hassan Nasrallah na maelfu ya magaidi wenzake huko Lebanon,bila kumsahau Gaidi namba moja Ayatollah Ali Khamenei na maelfu ya magaidi wenzake huko Iran.
Mtanyooka tu sasa Israel haicheki na nyani na Iran wanajua ndiyo maana huwezi kuwaona Iran wanashambulia Israe maana wanajua kilichomtoa kanga manyoya!!Mzee wa Uharo.
🔹 Brigedia Jenerali Akraminia: Vifaa vipya vya kujihami na kushambulia, vikiwemo makombora na ndege zisizo na rubani, vilizalishwa kila siku wakati wa Vita vya Ramadhani vilivyolazimishwa dhidi ya nchi hiyo, na uzalishaji wake unaendelea hadi leo.
🔹 Hivi sasa, vikosi vya jeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vina akiba kubwa ya vifaa hivi.
View: https://x.com/sprinterpress/status/2107356863482216959?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mzee wa Uharo Israel is Booming maana ni taifa Teule!!Hawa laanatullah umefika wakati sasa wanajuta kuwa wayahudi.
Mfano UK, Ufaransa, na nchi zingune za Ulaya walikuwa wanakumbatiwa na serikali lakinu baada ya kuona ummah wote wako na Wapalestina ghafla wamegeuziwa kibao.
Siasa ni laana ya ajabu sana.kila mtu analinda kura zake bila kujali😂
Taifa teule leo mwaka wa 4 pamoja na kusaidiwa na Ulaya na Marekani limeshindwa kuwamaliza Hamas.Mzee wa Uharo Israel is Booming maana ni taifa Teule!!
Hama na Hezbollah pamoja na kusaidiwa na Iran wameshindwa kuifuta Israel kwenye Uso wa dunia!! Karibu uongozi wote wa Hamas umefyekelewa mbali akiwemo Yahya Sinwar na Haniyeh!!Taifa teule leo mwaka wa 4 pamoja na kusaidiwa na Ulaya na Marekani limeshindwa kuwamaliza Hamas.
Hao watoto 20,000 walikuwa wanafanya nini huko mstari wa mbele wa mapigano na magaidi?Wewe punguani kweli taifa teule limeuwa watoto 20.000.
Mwezi Mei, Huduma ya Utafiti ya Bunge la Marekani (Congressional Research Service) ilikiri kuwa Jeshi la Iran lilikuwa limeangusha ndege 42 za kijeshi za Marekani. Sasa: 81.Hama na Hezbollah pamoja na kusaidiwa na Iran wameshindwa kuifuta Israel kwenye Uso wa dunia!! Karibu uongozi wote wa Hamas umefyekelewa mbali akiwemo Yahya Sinwar na Haniyeh!!
Hao watoto 20,000 walikuwa wanafanya nini huko mstari wa mbele wa mapigano na magaidi?
Au Magaidi wa Hamas walikuwa wanawafanya kuwa kinga?
Endeleeni kujifariji tu lakini pale Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!Mwezi Mei, Huduma ya Utafiti ya Bunge la Marekani (Congressional Research Service) ilikiri kuwa Jeshi la Iran lilikuwa limeangusha ndege 42 za kijeshi za Marekani. Sasa: 81.
Idadi halisi ni kubwa zaidi.
Ushahidi? CENTCOM haimruhusu Seneta aliyeko madarakani kukagua kambi ambazo inadai kuwa ziko salama.
Unaweza kuwadanganya watu wote kwa muda fulani..
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2108095324573048963?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
HABARI MPYA: Maafisa wa Iran wanasema hivi karibuni wataweka wazi rekodi za sauti za ujumbe kadhaa ambao Donald Trump aliwaachia; katika jumbe hizo, anawasihi, anawatishia, anajaribu kuwahonga, na hatimaye anawaomba kwa uchungu wafungue Mlango-bahari wa Hormuz ili bei ya mafuta ishuke kabla ya Wamarekani kupiga kura tarehe 3 Novemba.Endeleeni kujifariji tu lakini pale Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
🚨🇺🇸🇮🇷 Bunge la Marekani limepokea ripoti ya uharibifu uliosababishwa na vita dhidi ya Iran, na takwimu zake ni za kutisha...Endeleeni kujifariji tu lakini pale Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!