Hatari sana kaenda kwa Putin, anawambia Ulaya wasinunue mafuta Urusi kisha yeye anaenda kununua mafuta Urusi😂Trump kanasa kwenye Tundu Bovu
Akili yake kwasasa inawaza Nov 3
Ndiomana wametafuta Suluhu ya halaka na Russia!!! Republicans wanajitafuta kwa shida sana!!
Naona bwana wenu Trump katema bungo😂Mzee wa Uharo angalia iran anavyochapika!!!!
Hatari sana kaenda kwa Putin, anawambia Ulaya wasinunue mafuta Urusi kisha yeye anaenda kununua mafuta Urusi😂
Hahahaha Mafuta ya Hormuz ndiyo yatashusha bei duniani.Tutashukuru Mafuta yashuke !!!
Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!🚨🇺🇸🇮🇷 Bunge la Marekani limepokea ripoti ya uharibifu uliosababishwa na vita dhidi ya Iran, na takwimu zake ni za kutisha...
Ndege 81 za kijeshi za Marekani zimeharibiwa au kuharibika vibaya, zikiwa na thamani ya dola bilioni 3.3.
Hizi ni pamoja na zaidi ya ndege zisizo na rubani (drones) aina ya MQ-9 Reaper, ndege ya kivita aina ya F-35, na ndege ya upelelezi aina ya E-3 Sentry, miongoni mwa nyingine.
Na hiyo ni kwa upande wa ndege pekee.
Vita hivyo tayari vimegharimu angalau dola bilioni 45, bila kujumuisha uharibifu wa kambi za kijeshi za Marekani kote Mashariki ya Kati.
Sasa Bunge linahoji iwapo Pentagon imeweka wazi hasara zote, huku likionya kuwa baadhi ya ndege zenye thamani kubwa zaidi za Marekani zinazeeka, ni adimu, na ni vigumu sana kuzibadilisha au kupata nyingine badala yake.
Vita hivi vimeigharimu Marekani mengi zaidi ya fedha taslimu tu...
Vimeathiri UTAYARI wa kijeshi, na gharama ya athari hiyo itadaiwa wakati ujao ambapo Marekani itahitaji kwenda kupigana vita mahali pengine...
Chanzo: CNN / Waandishi: Mhedi, Michael
HABARI MPYA: 🇮🇷 Meli ya tatu ya kubeba mafuta imegonga mgodi wa majini katika Lango la Bahari la Hormuz leo.Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!
Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!
BREAKING: Iran inaelekea kulazimisha Google, Meta, Microsoft na Amazon kupata vibali vya kupita, kupitia ukaguzi wa kiufundi na kulipa ada za uhuru kwa nyaya za mtandao za chini ya bahari zinazopita katika maji yake ya eneo katika Mlango wa Hormuz, kulingana na Tasnim.Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!
🚨 HABARI MPYA: 🇸🇦🇺🇸 SAUDI ARABIA YATOA ONYO KWA MAREKANI: " TUTAIANGAMIZA 'PETRO-DOLLAR' KABLA YA SAA SITA USIKU!"Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!
Msemaji wa jeshi la Iran, Mohammad Akraminia, amesema kufunguliwa tena kwa Mlango-bahari wa Hormuz kunategemea kuondoka kwa vikosi vya Marekani katika eneo hilo, akionya kuwa endapo vitaendelea kuwepo, Iran itaviondoa kwa nguvu.Endelea kujifariji kuficha kipigo anachokipata Iran kutoka majeshi ya Israel na Marekani na kufungwa completely na America naval force!!
Ndoto za MwendawazimMsemaji wa jeshi la Iran, Mohammad Akraminia, amesema kufunguliwa tena kwa Mlango-bahari wa Hormuz kunategemea kuondoka kwa vikosi vya Marekani katika eneo hilo, akionya kuwa endapo vitaendelea kuwepo, Iran itaviondoa kwa nguvu.
Katika ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa X, Akraminia alisema kuondoka kwa Marekani kungefungua njia ya kuimarishwa kwa usalama wa kikanda na kurejesha utulivu katika usafiri wa baharini pamoja na biashara ya kimataifa.
"Ikiwa Marekani itaondoka katika eneo hili, Mlango-bahari wa Hormuz utafunguliwa, usalama wa pamoja utaimarishwa kwa ushiriki wa mataifa ya eneo hili, na uchumi wa dunia utafaidika. Ikiwa haitaondoka, tutaifukuza," alisema.
Akraminia pia aliishutumu Marekani kwa kuchangia hali ya ukosefu wa usalama katika eneo la mashariki mwa Hormuz na kuwataka waendeshaji wa meli kutumia njia maalumu iliyotengwa na vikosi vya Iran, akidai kuwa ndiyo njia salama zaidi kwa sasa.
Kauli hizo zinatolewa wakati mashambulizi dhidi ya meli za kibiashara ndani na karibu na Mlango-bahari wa Hormuz yakiongezeka, hali iliyosababisha kupungua kwa shughuli za usafirishaji katika mojawapo ya njia muhimu zaidi za biashara duniani.
Takwimu za kampuni ya ufuatiliaji wa meli ya Kepler zinaonyesha kuwa mwishoni mwa wiki iliyopita meli tano pekee za mizigo zilipita katika njia hiyo siku ya Jumamosi, huku hakuna meli iliyorekodiwa kupita siku iliyofuata. Wiki moja kabla, meli 31 zilikuwa zimepita eneo hilo.
Wakati huo huo, Marekani inaendelea kuimarisha shinikizo dhidi ya sekta ya mafuta ya Iran. Ripoti ya Reuters, ikinukuu kampuni ya takwimu za nishati ya Vortexa, ilisema usafirishaji wa mafuta ghafi ya Iran kwa njia ya bahari ulifikia sifuri mwezi Oktoba wakati taarifa hiyo ilipochapishwa.
Awali, viongozi wa Iran walieleza kuwa kufunguliwa tena kwa Mlango-bahari wa Hormuz kunategemea kutimizwa kwa masharti ya Tehran katika juhudi za kumaliza mvutano wake na Marekani.
Mlango-bahari wa Hormuz ni mojawapo ya njia muhimu zaidi duniani kwa usafirishaji wa nishati, ukipitisha takribani asilimia 20 ya biashara ya mafuta na gesi asilia iliyoyeyushwa duniani, jambo linaloufanya kuwa kitovu muhimu cha biashara ya kimataifa.
🚨🇫🇷🇮🇷 Macron alaumu ghasia... kwa kumtupia lawama Trump??Ndoto za Mwendawazim