Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Iran yashambulia mataifa matano ya Ghuba, yaifungia Hormuz baada ya mabomu ya Marekani

Kuwait na Bahrain lazima wajue kwamba kila wakati Marekani inaposhambulia Iran kutoka maeneo ya Kuwait na Bahrain, majibu kutoka Iran yatakuwa hivi.


‎Ndiyo, tunashambulia kambi na hatuwalengi watu.
‎#بني_عوو
‎#اقالهتنفيذيهالاتحاد


View: https://x.com/hassanxxs7/status/2078100563582190017?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw


Chapachapa Majeshi ya Walokole wezi wa rasilimali zetu Ulimwenguni

Natamani ningekuwa chumba cha vitufe Shubamit 💪

Beberu sio kwa Iranian 👈

Beberu kwao ni kitooe tu tunaweka ndimu pilipili chumvi tunatafuna chap chap
 

Attachments

  • 1775527986747.jpg
    1775527986747.jpg
    417.4 KB · Views: 7
  • IMG-20260326-WA0001.jpg
    IMG-20260326-WA0001.jpg
    29.6 KB · Views: 8
  • 1774978362327.jpg
    1774978362327.jpg
    111.9 KB · Views: 7
🇯🇴🇮🇷 Shambulio jipya kutoka Iran limeripotiwa kugonga kambi ya Marekani huko Jordan

Imekuja saa chache baada ya shambulio lao la usiku mmoja kwenye Kambi ya Ndege ya Muwaffaq Salti ya Jordan kushuhudia vizuizi vya Patriot vikishindwa kuzuia makombora kuigonga

Kambi hiyo ya ndege ni kituo kikuu cha ulinzi kwa Jeshi la Anga la Marekani katika eneo hilo

Chanzo: Mtazamaji wa Mashariki ya Kati / Mwandishi: Ian


View: https://x.com/marionawfal/status/2078444672490570066?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
🇰🇼🇮🇷 Iran sasa inaburuza usambazaji wa umeme na maji wa Ghuba katika vita.

Chanzo cha kijeshi cha Iran kinasema Tehran imezindua kampeni ya awamu inayolenga miundombinu ya nishati ya kikanda, ikionya kwamba vituo vyote vya umeme na mitambo ya kuondoa chumvi chumvi huko Kuwait sasa viko kwenye orodha yake ya walengwa isipokuwa mashambulizi ya Marekani yatakoma.

Tayari wamegonga kiwanda cha umeme na kuondoa chumvi chumvi huko Kuwait leo, ongezeko kubwa la kulenga vikosi vya Marekani katika nchi za Ghuba.

Kuwait inategemea karibu kabisa mitambo ya kuondoa chumvi chumvi, ambayo inachukua takriban 90% ya maji yake ya kunywa.

Chanzo: Mtazamaji wa Mashariki ya Kati / Mwandishi: Ian

x.com/AnalytiChaos/s…
 
Marekani anasema anataka kulipwa pesa nyingi sababu anawalinda nchi za ghuba, sasa Iran anajipigia tu😂
 
🚨 WOW! Al Jazeera inathibitisha kwamba Iran ilitekeleza kwa ustadi shambulio la kulipiza kisasi kwa mitambo mikubwa ya umeme na kuondoa chumvi kwenye Kuwait.

Nusu ya elimu wa maji wa Kuwait umetoweka kabisa! Huu ndio ukweli wa kutisha wa vita vya Trump.

Washirika wa Kiarabu wanalipa gharama kubwa!


View: https://x.com/FurkanGozukara/status/2078295810274382206/video/1?s=46


Wakati wa Iran–Iraq War (1980–1988), Kuwait pamoja na Gulf kingdoms nyingune zilimpa support sana Saddam Hussein, billions of dollars kupitia loans na financial aid ili aendelee kupigana dhidi ya Iran. Kuwait peke yake ilitoa fedha nyingi kwa sababu waliiona Iran kama bigger strategic threat kwa usalama na utawala wao.

Lakini vita vilipoisha, Iraq ilikuwa imefilisika na kuchoka kiuchumi. Badala ya kusamehe hizo loans, Kuwait ilidai zilipwe kila senti. Kwa mtazamo wa Iraq, walihisi walikuwa wamepigana vita ambayo pia ilikuwa inawalinda majirani wao wa Gulf dhidi ya Iran, hivyo walitarajia angalau debt forgiveness.

Mbali na hilo, Iraq iliishutumu Kuwait kwa oil overproduction, jambo lililoshusha bei ya mafuta duniani na kuendelea kuiumiza uchumi wa Iraq uliokuwa tayari umeathirika na vita. Pia kulikuwa na madai kwamba Kuwait ilikuwa ikifanya slant drilling (directional drilling) na kuvuna mafuta kutoka kwenye oil fields za Iraq karibu na mpaka.

Saddam Hussein alitumia hoja hizi zote madeni, kushuka kwa bei ya mafuta, na madai ya kuibiwa mafuta kama justification yake kuu ya kuivamia Kuwait mwaka 1990

Wakati Saddam Hussein walipovamia Kuwait 1990 wananchi wengi wa Q8 wakiongozwa na Al Sabah Royal family walikimbilia KSA na Iran kukwepa majeshi ya Iraq na waliishi kwenye nyumba za waIran na kupokelewa kama ndugu
Baada ya uvamizi na kuchomwa oil fields za Kuwait, Engineers wa Iran ndiyo waliokwenda kuzima moto huko kwa siku 40 mfululizo na kufanya repairs za miundombinu iliyoharibika
Na sasa misafara ya wa Q8 wanaingia KSA kukimbia uhaba wa umeme na maji
Iran wameishi kwa shida hizo na vikwazo miaka 47, hao waarabu wa Gulf hawajui kukosa maji wala umeme na hasa kipindi hiki cha summer kali

In other words, Iran is threatening a lifeline it barely needs, against nations that are highly dependent on it.

Leo Kuwait anakubali kutumika na Murica kupiga Iran, acha apate adabu kwanza na atakuwa mfano kwa wenzake Iraq wakianza kudai kuchukua eneo lao

Hiyo vita ikiisha ramani inachorwa upya na kila nchi za hao royal families kuanzia Qatar, Bahrain, Imarati, Kuwait zinarudi kwa wenyewe Iran, KSA na Iraq na Yehudi naye anaendelea na project yake ya ukoloni, Uzayuni mKuu

Mitaani wananchi wa nchi za Gulf wana support Iran kuwachapa hao allies wa Murika na Yehudi na wamewachoka viongozi puppet wa Murika na kushindwa kutetea Palestina
Wananchi pia wanalalamika transformation ya nchi zao kuwa logistical service stations kwa majeshi ya Uncle Sam ambayo wanatumia kupiga Iran lakini wanashindwa kuzilinda na retaliation ya Waajemi
Ulinzi wa Murika ni failure, foreign bases have become a security burden, not a safety valve
Sasa zinapigwa base za Uncle Sam kitakochofuata ni royal palaces za kina Al Saudi, Al Thani, Al Sabah, Khalifa, Al Nahyan na ndugu zake wa Imarati kina Maktoum, Nuaimi, Mualla, Qasimi, etc ndipo watakapokimbia bila kanzu na vilemba
 
Kusafiri sasa hivi dakika yeyote unaambiwa uwanja wa ndege umefungwa hakuna namna Dunia imekua ya hovyo sana kwa sababu ya hivi vita visivyokua na kichwa wala miguu..
 
Back
Top Bottom