Sawa shukran kwa kunirekebisha.Muajemi ndo sahihi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa shukran kwa kunirekebisha.Muajemi ndo sahihi mkuu
Naona kijana unaota, hao wazungu wako, Obama na Taliban wameifundisha dunia namna ya kuwashinda, sasa hivi hawana ujanja tena, wanayumia ubabe wa kizamani.wazungu huanza kutengeneza mapicha kama haya hili muda unapofika mtu ale kisago cha usawa wake , hata Gadaf walimpamba hv hv na Sadam pia walimpamba hv hv ila baadae akaja tema bungo , ndan ya Iran kuna mvutano mkali kati wale wafuasi wa msimamo mkali wa kiislam na wale wanaopenda utawala wa kimokrasia usio na mlengo wa kidini , sasa ni swala la muda tu Iran anazid jiweka mbele kabisa ya macho ya watu kuwa yeye ndo mwamba
Nimeona hapa JF somewhere kuwa wamezamisha meli moja ya Kimarekani.Natamani Houthis wangezamisha meli moja ya kivita ya marekani.
Aiseee Meli inazamishwaje ..?? Tupe Elimu kidogo hapaNimeona hapa JF somewhere kuwa wamezamisha meli moja ya Kimarekani.
Yaani na wewe unaandika mambo ya kusadikika!Nimeona hapa JF somewhere kuwa wamezamisha meli moja ya Kimarekani.
mkuu MURUSI hongera sana hahahIlan kuna Democrasia ya kutosha, hakuna Ufarume
Wakumdhibiti nani sasaBila kumdhibiti Ayatola Direct migogoro ya Mashariki ya Kati haitakaa iishe.
[emoji1787][emoji3][emoji1787]Kama ni kweli Iran punde itakuwa kama Iraq
ni zaidi ya miaka 40 walijaribu kuiteketeza Iran .Kama ni kweli Iran punde itakuwa kama Iraq
Unaota.Kama ni kweli Iran punde itakuwa kama Iraq
Kwamba kwa uelewa wako kule afghanistan kulikuwa na vita kati ya taliban na usa halafu usa akashindwa akakimbia.....bangi mnaisingizia tuNaona kijana unaota, hao wazungu wako, Obama na Taliban wameifundisha dunia namna ya kuwashinda, sasa hivi hawana ujanja tena, wanayumia ubabe wa kizamani.
Watu wanawarushia chambo cha drone ya dollar 50oo wao wanatumia missile ya dollar million 1 au zaidi kuipiga.
Kuiwacha hawawezi, wakiiwacha ikiwadonyoa moto unawaka kweli.
Dunia ya leo siyo ya miaka 30 nyuma.
Nadhani unaota, angalia usije lowesha godoro!Naona kijana unaota, hao wazungu wako, Obama na Taliban wameifundisha dunia namna ya kuwashinda, sasa hivi hawana ujanja tena, wanayumia ubabe wa kizamani.
Watu wanawarushia chambo cha drone ya dollar 50oo wao wanatumia missile ya dollar million 1 au zaidi kuipiga.
Kuiwacha hawawezi, wakiiwacha ikiwadonyoa moto unawaka kweli.
Dunia ya leo siyo ya miaka 30 nyuma.
Hilo mbona dunia nzima inalijuwa labda kasoro wewe tu. Jionee wapiganaji wa Wamarekani wanasemaje:Kwamba kwa uelewa wako kule afghanistan kulikuwa na vita kati ya taliban na usa halafu usa akashindwa akakimbia.....bangi mnaisingizia tu
Ayatollah kaichukua Iran 1978,hapakua na migogoro kabla ya hapoBila kumdhibiti Ayatola Direct migogoro ya Mashariki ya Kati haitakaa iishe.
Kulikua na Vita kati ya nani na nani!?Kwamba kwa uelewa wako kule afghanistan kulikuwa na vita kati ya taliban na usa halafu usa akashindwa akakimbia.....bangi mnaisingizia tu
Shambulio la jana lilikuwa ni warning kwa Wahouthi waache kushambulia Meli za Mafuta na Mizigo.Americant na Uingereza hawa wanaodai kumaliza nguvu za houthi kwa shambulii la jana moja
Tutajijua wenyewe tutakavyoishi ila israhell maadam anaua watu ghaza sahau meli kupita na kutoka ama kuingia israhellShambulio la jana lilikuwa ni warning kwa Wahouthi waache kushambulia Meli za Mafuta na Mizigo.
Kumbuka mfumuko wa bei ulikuwa umeanza kushuka baada ya Covid19 na RussoUkraina sasa hawa watafuna mirungi wanataka sisi watu wa kawaida tuishi vipi?
Yaani Americant kuna watu akiwazingua tu nawao wanamzingua tena ile zingu zingu yaanjKiboko ya mmarekani Kwa upande wa vita ni Mrusi lakini kiboko ya mmarekani kwenye mambo ya kishenzi kama kutekana, kutekeana Mali kama meli ...