Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Unakumbuka ahadi za Ahmednijad?Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!?
Siku zinakimbia sana aisee!!!
Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
View attachment 3599472
Hapana, tukumbushe kiongozi.Unakumbuka ahadi za Ahmednijad?
Imejulikana uyo mwamba alikuwa Jasusi wa Mossad na alitumwa kusema vileπUnakumbuka ahadi za Ahmednijad?
Mbona magaidi wa Hezbollah bado wanapigwa tu!! Wakuitishia Israel bado kabisa hajazaliwa!!!Hawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!?
Siku zinakimbia sana aisee!!!
Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
View attachment 3599472
Iran wanamtesa sana Trump!!!
Yeah!ππ kama Tanzania inavyoitesa Marekani...
Wewe mzee, Netanyahu alitangaza anapeleka vikosi Beirut, amesitisha mpango wake!Mbona magaidi wa Hezbollah bado wanapigwa tu!! Wakuitishia Israel bado kabisa hajazaliwa!!!
Iran yeye a endelea tu kubwabwaja maana kazoea kufanya hivyo
Ujinga mtupu unakusumbua Israel Ina Makamanda wake wanaopanga au kuipangia vita sasa wewe Mmatumbi mwenzangu unaumia nini wewe endelea kusikilizia kichapo magaidi wa Hezbollah watakachokipata wala si kulipangia Jeshi la Israel nini cha kufanya!!!Wewe mzee, Netanyahu alitangaza anapeleka vikosi Beirut, amesitisha mpango wake!
Ubishi wa kiimani!Ujinga mtupu unakusumbua Israel Ina Makamanda wake wanaopanga au kuipangia vita sasa wewe Mmatumbi mwenzangu unaumia nini wewe endelea kusikilizia kichapo magaidi wa Hezbollah watakachokipata wala si kulipangia Jeshi la Israel nini cha kufanya!!!
Irana hatishii, ni kwamba atapiga kweli kweliHawa Iran uthubutu wa kumchimba mkwara Netanyahu wanautoa wapi!?
Siku zinakimbia sana aisee!!!
Kuna kipindi Israel na Marekani walikuwa wanatafuta sababu ya kumtandika Iran, ila sasa hivi Iran ndio anatafuta sababu ya kumtandika Israel.
View attachment 3599472
Tatizo lako hata kiingereza hujui na hujui kuwa Marekani na Israel ni Washirika!!! Wanafanya vitu kwa kushirikiana na sijui hili Neno wanapangiwa umelitoa wapi?