Hayo ni maToy tuu mbona Iran kapiga hizo base na wameshindwa kutungua hayo makombora?US forces and air-defense missile batteries across the Middle East were placed on high alert overnight Monday to possibly shoot down Iranian drones as intelligence mounted about a threat of an imminent attack against US targets, two US officials tell CNN.
Hahahahah boss umeona?Angekuwa yule Kichaa Prof Ahmed Najad angeweza kufanya hivyo, lakin hawa kina Rouhan wana akili timamu hawawezi kufanya hivyo
Hata Bunge la US lipo kwenye hatua ya kuandaa zuio la Trump kwenda Vitani
Hahahahah boss umeona?
Kwahio unatesekakama unyonge kaka nao ww 2Trunk hatanii, amedhamiria kuisambaratisha vibaya Iran, Iran ijiandae kupokea kichapo kingine kizito muda mchache ujao.
Wakati mwingine ukichokozwa ni bora ukatulia kimya, ukijifanya mwamba ya kujibu mapigo utamalizwa.
Aiseee!Warushe upesi jamani ili Wairani wa kwa Mtogole ili baada ya swala ya Ijumaa waanze kuandamana mpaka Ubalozi wa Marekani kulaani majibu ya Marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app