Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati

Iran yatishia kuzishambulia kwa makombora kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Mashariki ya Kati

Acha kwanza tuone kidogo tushachoka na maneno maneno tunataka vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, msije leta za kibong bongo, maana wapinzani eti wanatamani vita. Mwenye exposure ya nje ya nchi au wale wanaoishi pembezoni mwa Tanzania sehemu hasa za wakimbizi watakuambia vita si jambo jema kabisa. Na vita kama hii ya kitechnolojia ikianza shida yake ni kuathiri vitu vingi, mfano ndege zote za wazungu zinaweza kuwa zinatekwa etc au kama ile ya Malesia ndani ya Ukraine na Russia
 
Bado anatishia tu
Ujumbe kwa picha,
FB_IMG_15784681449527248.jpeg

It's Scars
 
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 'Magnitude' 4.9 limelikumba eneo la kusini mashariki mwa Borazjan nchini Iran karibu na kinu cha nyuklia.

Taarifa hii ni uthibitisho wa taarifa niliyoitoa hapo awali katika post #64.

CONFIRMED: 4.9 magnitude earthquake hits Iran near nuclear power plant. Quake struck early morning 10 km south-east of Borazjan, Iran. [Gulf News]

Bila shaka Marekani wameshadukua mitambo ya vinu vya nyuklia kutokea eneo la Pentagon. Muda si mrefu Iran itajaa vumbi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia watatu (3) wa Uingereza walikuwa miongoni mwa abiria waliokuwemo katika ndege ya Ukraine iliyoanguka.

Ukrainian Foreign Minister Vadym Prystaiko says three British nationals were on board a Boeing 737 plane that crashed shortly after taking off from Tehran and authorities are continuing their investigations. [Sky News]
 
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy ametoa maagizo ya kufanyika kwa uchunguzi juu ya kuanguka kwa ndege hiyo inayotajwa kuyapoteza maisha ya takribani abiria wote waliokuwemo ndani yake.

Hili linakuja ili kufahamu na kupata uthibitisho juu ya chanzo cha kuanguka ndege hiyo ambapo taarifa za awali zikidai kuwa ni matatizo ya kiufundi huku taarifa nyingineza zikidai kuwa ndege hiyo ilishambuliwa.
 
Orodha ya raia waliokufa katika ajali ya kuanguka kwa ndege ya Ukraine Boeing 737.

  • 82 - Iran
  • 63 - Canada
  • 11 - Ukraine
  • 10 - Sweden
  • 4 - Afghanistan
  • 4 - Ujerumani
  • 3 - Uingereza

[Russia Today]
 
Back
Top Bottom