Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
US Sio AFRICA.Pelosi kadata!
Unamzuiaje amirijeshi mkuu kuliamuru jeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
US Sio AFRICA.Pelosi kadata!
Unamzuiaje amirijeshi mkuu kuliamuru jeshi?
Anakiangamiza chama cha Democrat.
Wapige Washington tena mbona marekani hawakumpigia ndani ya Iran .
Dah hata mm nimemkumbuka sana Nejad huyu jamaa angekuwa madarakani sasa hivi Iran na marekani wangekuwa vitani maana akili zake hata Trump akasome.Angekuwa yule Kichaa Prof Ahmed Najad angeweza kufanya hivyo, lakin hawa kina Rouhan wana akili timamu hawawezi kufanya hivyo
Hata Bunge la US lipo kwenye hatua ya kuandaa zuio la Trump kwenda Vitani
Jibu ni moja hapo Iran ikilipiza kisasi ndio vita imeanza imeanza hivyo.Swali langu ni je hao US hawata jibu mashambulizi?
Na je ikiwa watajibu yupi atapata hasara kubwa kati ya Iran na US?
*Ukitaka kufanya jambo razima uangalie faida na hasara zake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu uko vizuri kwa ujasusi unalipoti mambo ambayo hata CAI hawavijui.Inasemekana kuwa makamanda takribani 56 wa IRGC (Islamic Revolutionary Guard Corps) wametiwa nguvuni na taasisi ya masuala kiintelijensia la IRGC tangu Jumatatu ya jana.
Sababu za makamanda hao kuwekwa kizuizini bado hazijafahamika.
U.S. Defense Secretary Esper and U.S. Secretary of State Pompeo have arrived at the White House. [CNN]
There are no casualties reported so far at the Al Asad air base, officials say. The base, one of the largest U.S. facilities in Iraq, houses both Iraqi and U.S. forces. [Los Angeles Times]
Iran Fires Missiles at Base With U.S. Troops in Iraq
![]()
Iran fires missiles at two bases housing U.S. forces in Iraq
Iranian state television said the barrage was Tehran’s “revenge” for the U.S. killing last week of a top Iranian general.www.latimes.com
Kambi ya jeshi la anga (Airbase) ya Al-Asad nchini Iraq inashambuliwa na 'roketi' muda huu.
Roketi takribani 30 zadaiwa kutua katika kambi hiyo ya kijeshi ya anga mpaka sasa.
Kambi hii inahifadhi vikosi vya kijeshi vya Marekani pamoja na Uingereza nchini Iraq.
Taarifa zaidi zitawajia.
Hali ni tete!!!