antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Sawa,Iran na Iraq na Syria wapo kitu kimoja na ndio njia aliyotumia.
Iran na Saudi Arabia kwa sasa wamerudisha uhusiano uliokuwa umelega lega kwa zaidi ya miaka 20 na ubalozi umerejeshwa kwa nchi zote 2Iran wana chuki sana na Saudi Arabia
Maneno mengi hapo ana mlenga saud tu
Ndio kashatoa ONYO sasa atakaejaribu na yeye kitamramba.Sawa,
Israel, Jordan na Saudi Arabia ni kitu kimoja pia, so Ayatollah atulie
Tahadhari ni muhimu kwa vibaraka watakaokubali kutumika. Yasije yakawakuta mamboIsrael anapiga mahesabu yake vizuri tu lazima mtu aseme
Iran wanatumia anga la Kimataifa. Hawatumii anga la nchi yoyote. Ni kama anavyofanya Houth.Yaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Thubutu, debe tupu..Ndio kashatoa ONYO sasa atakaejaribu na yeye kitamramba.
Hiyo dini ni kiboko ya ubongo kabsa.....hairuhusu kabsa mtu kutumia akili ndo maana mapumbavu mengine yanajitoa mhanga yanauwa watu wasio na hatia ili yaende peponi kusherekea na AllahYaani wao Iran watumie anga za wengine kurusha makombora kwenda Israel, ila Israel isitumie hizo hizo anga kulipiza? Upuuzi huo
Taarifa zilitoka mkuu katika vyombo vya habari tofauti na hasara ilitangazwa.Kila siku zilipuliwa una uhakika? Saudi waliacha kuzalisha mafuta? Waliyumba kiuchumi?
No the truth is iran hawez fanya lolote la kuumiza majirani. Ata chimba biti for nothing
Kituo kinachofuata baada ya Beirut ni Tehran
Iran ni Washia wanalengo za kuzifanya nchi zote za Middle East maskini na failed states Kama Yemen, Syria, Iraq na LebanonIran wana chuki sana na Saudi Arabia
Maneno mengi hapo ana mlenga saud tu
Israel kimyaa. Kafyata mkia kama mbwa koko wa tandale. ππHapo ndio mwisho wa Israel na mwenyewe anajua hilo. Si umeona mpaka sasa kimya tangu apigwe kipigo kitakatifu tarehe 1 oktoba.
Iran anajua kuwa kwenye vita na USA Shah watarudi madarakaniTaarifa zilitoka mkuu katika vyombo vya habari tofauti na hasara ilitangazwa.
Sawa Saudi Arabia hakuacha kuzalisha mafuta,ila ikubalike hasara ya billions of dollars ilipatikanika.
Na hayo mashambulizi ndio yaliyochagiza Saudi Arabia kuondoa vikosi vyake Yemeni na kukubali kukaa mezani kumaliza uhasama na Houthi.
*Unakizungumziaje kinachoendelea Baab Al mandib!?
Je Iran ikiamua kufanya hivyo na strait of Hormuz!?
Usilete general implication mkuu.
Kila mtu ameona kinachojiri red sea kwa washirika wanaomsaidia Israel.
HahahahaWana kazi,huku USA anataka atumie anga lao,kule Iran atakudunda ukiruhusu USA kutumia anga lako
You're talking shit palIt's time all Sunni Arab states united against their common enemy, the Shia terrorist state and the head of the π @khamenei_ir IRGC regime to help Israel get the job done to dismantle and replace the regime to enable peace to prevail in the middle east...