RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Yemen ni Moja, kama ilivo Lebanon Moja na kama ilivo Venezuela Moja.Yemen sio moja acha ubishi wa kitoto
Siyo Moja kivipiYemen sio moja acha ubishi wa kitoto
Nafaham hoja unazo lakini ni zauongo, kumwambia mtu mzima eti Iraq, Yemen, Syria na Lebanon chanzo Cha umasikini wao ni IRAN mkuu nenda kajipange upya. Tunajua anaeharibu Amani ya dunia hii ni nani hata wewe unamfahamu lakini huwezi andika ukweli kwa sababu unamahaba nae. Yeye kila migogoro lazima awepo hakosekani.Inabidi nitulie nije niandikie Why baada ya Ottoman kuanguka na vita za middle east zilizopo sasa zikaanza rasmi... I see wapi Watu wengi hamuangalii sababu ya Nchi za Mashariki zinapigana kila siku...
Hata Iran isipopigwa na Marekani itapigana yenyewe kwa yenyewe ni suala la muda
Yaani wenyewe wamekaa tu wanapigwa,we akili zako zinashida mahaliHuwa natamani sana kibaraka wa Israel na marekani Saud Arabia na mwenzake Jordan wapigwe na Iran mpaka wachakazwe.
What most people don't know is that the House of Saudi and the modern day ruling royal family are Jews- they are descendants of Jews who fought early Muslims tribes. And their conflict with Iran can be traced back to 7th century in the battles between Muslim and Jewish tribes.Kwa bahati mbaya sana viongozi wa nchi nyingi za Waarabu ni wale tunaowaita wanafiki na wamewekwa kwenye mamlaka yao na USA ikisapotiwa na Israel. Yani hapo Jordan, Saudi, Misri, UAE etc zote viongozi wao ni vibaraka wa USA na Israel na ndio maana huoni hata wakikemea dhuluma ya Israel dhidi ya Palestina.
Hawa viongozi wao wanachojali ni maslahi yao tu hawajali chochote wala hawapo hapo kuwatetea wanaoonewa, infact wenyewe wanawaonea wananchi wao na katika hizo nchi hakuna demokrasia na hakuna uchaguzi. Lakini kamwe huwezi kusikia USA au UN wanasema hao viongozi kuwa ni madikteta. Kwa dunia ya leo Dikteta ni kiongozi ambaye hataki kufata masharti ya USA mfano Saddam na Gadafi au Mugabe lakini wanaotii kamwe sio madikteta.
Hawa viongozi waliowekwa na USA na Israel wanahakikisha wanalinda maslahi ya waliowaweka vinginevyo wanapinduliwa, na wote wanalindwa na USA na Israel. Na hawataweza kwenda kinyume na makubaliano yao na mabwana zao otherwise watakuwa eliminated. Hawa wameuza ubinadamu wao kwa mali na vyeo
Kwa hivyo ni ngumu sana hawa viongozi kubadilika labda kama yatatokea mageuzi kwenye nchi zao waondolewe madarakani. Na sisi tunaombea hilo na ninaamini ipo siku wataondoka na kupatikana viongozi wema na hapo ndio utakuwa mwisho wa Israhell.
Tunasema ukawahi kupokea barakaKwani wavaa "vipedo" hapa mnasemaje?
Unadhani wote wajinga humu Iran ilotoka kwenye mapinduzi ikiwa bado changa ingeweza kuweka puppet wapi acha kudanganya watu vita ya Iran na Iraq ilikua sababu Iraq kwa msaada wa shoga zake Marekan nk wawaondoe kina Ayatollah wawaregeshe vibaraka kina shah licha ya kutumia silaha za sumu walizopewa na Marekani dhidi ya Iran bado Iraq wakafyekwaIraq na Iran wamepigana Miaka zaidi ya 8 sababu, Iran ilikuwa inataka kupindua Serikali ya Kisunni aweke Puppets wake
Vita ya 2003 ni sababu tofauti sana na anachotaka Iran kwenye mataifa ya Kiarabu
🤣🤣🤣🤣Tusubiri maoni kutoka kwa walokole wa uswahilini wanaosali kwenye yale makanisa mabati na viti vya baa, maana wale huwaelezi kitu kuhusu taifa teule
Unalazimisha mawazo yako yaonekane sahihi.Kaka huna point bado. If attack ya iran ingekuwa ina damage kihadi hiko leo saudi angekeua haganayi kitu bila iran kuruhusu, or wasingekuwa ecomic power house, billions of dollar is nothing kama saudi ame revover in short period of time
Once again attack ya iran ilikuwa na damage ndogo sana. Na kwa sasa hawatoweza kabisa
Du; unasomaga habari kweli mkuu?Kila siku zilipuliwa una uhakika? Saudi waliacha kuzalisha mafuta? Waliyumba kiuchumi?
No the truth is iran hawez fanya lolote la kuumiza majirani. Ata chimba biti for nothing
Embu acha uongo we kijana.Iraq na Iran wamepigana Miaka zaidi ya 8 sababu, Iran ilikuwa inataka kupindua Serikali ya Kisunni aweke Puppets wake
Vita ya 2003 ni sababu tofauti sana na anachotaka Iran kwenye mataifa ya Kiarabu
Kama USA asingeivamia Iraq basi Iraq isingeharibika hivi ilivyo.Iran.
Iran anazibadilisha kuwa Vassals
Yemeni yote inamkubali Houthi.Yemen sio Moja
View attachment 3120160
Hii ni Taarifa ya Al-Jazeeraa kuhusu Houthi na Yemen.
Yemen inaserikali inayotambulika Dunia nzima na kuna Kundi la waasi wa Kabila la Kishia kinaitwa Houthi ambao wanapokea Silaha nyingi sana kutoka Iran
Hawa wanapita utake usitakeIran imetoa ONYO kuwa nchi yeyote ya kiarabu itakayosaidia Israel na marekani kuishambulia basi itakumbana na matatizo makubwa.
Iran imechukua msimamo mkali dhidi ya majirani zake baada ya kutoa onyo kali kuhusu ushirikiano wowote na Israel kwa ajili ya operesheni za kijeshi.
Msimamo huu mkali ni sehemu ya mkakati wa Iran kuzuia nchi za kiarabu kushirikiana Israel. Maafisa wa Iran wamesisitiza umuhimu wa "umoja wa kikanda" kukabiliana na kile wanachokiona kama tishio kutoka Israel, huku wakieleza pia umuhimu wa kudumisha utulivu huko Mashariki ya Kati
Soma pia: Israel kuishambulia Iran leo usiku, Marekani yaja juu
Onyo hilo halihusishi tu matumizi ya anga, lakini pia Iran inafuatilia kwa karibu uwezekano wa ushirikiano wa vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko katika eneo la Gulf
Kwa mujibu wa vyanzo vya kidiplomasia, msimamo wa Iran uliwekwa wazi wakati wa mkutano wa hivi karibuni huko Doha.
Ujumbe ulikuwa wazi: taifa lolote la Gulf States litakaloruhusu anga yake au vituo vyake vya kijeshi kutumika kwa operesheni dhidi ya Iran litakabiliwa na kisasi.
Tehran inachukulia vitendo hivyo kama uamuzi wa pamoja wa mataifa yote ya Gulf, jambo ambalo linaweza kupanua wigo wa majibu yake.
Kazi kwako Saudi Arabia na vibaraka wengine wa marekani hapo Middle East .
Lini😂Hawa wanapita utake usitake
Wanajua wao kaa kula tende shushia na kachori kabisa. Mzayuni hanaga kazi ndoto na hapigi tu kiboya anafanya calculation zake. Equation zikibalance utaelewa. Kula tende na maziwa ya ngamia ikiwezekana uende ukawahi na ww mabikra 72Lini😂
Ni mara ngapi western forces wametumia hizo base kuishambulia Iran?Hamna kitu watafanya, kwa miaka mingapi sasa western forces wamekuwa wakitumia ardhi za majirani zake? Tena wana base? Wameziadhibu hizo nchi kwa lolote?
Mapinduzi ya Iran yalifanyika mwaka gani kweli? Na hiyo vita ya miaka 8 ilipiganwa from mwaka gani to mwaka gani? Rejea historia yako vizuriEmbu acha uongo we kijana.
Vita ya Iraq-Iran war ni Saddam kutaka kuimega Iran kama alivyotaka kuimega Bahrain kama sijakosea.
Hiyo Iran 1988 ndio kwanza ilikua imetoka kufanya mapinduzi,huo wakati wa kutaka kuweka puppet badala ya ku reform serikali unatoka wapi!??
2002/2003 nadhani unafahamu sababu za USA kuivamia Iraq,na USA ilifanya war crimes ndani ya Iraq na Jullian Assange alitoa ripoti hadi wakampachika kesi ya uhaini.
Iran revolution happened 1979.Mapinduzi ya Iran yalifanyika mwaka gani kweli? Na hiyo vita ya miaka 8 ilipiganwa from mwaka gani to mwaka gani? Rejea historia yako vizuri
Multiple timesNi mara ngapi western forces wametumia hizo base kuishambulia Iran?
Silazimish ila ni fact tu, tambo nyingi bad track recordUnalazimisha mawazo yako yaonekane sahihi.
Kama damage ya Saudia ingekua ndogo basi Saudia asingeomba majadiliano na kuondoa jeshi Yemeni.
Hasara alizotiwa na Houthi ndio zimemfanya yeye aondoe jeshi lake Yemeni na kusitisha kumsapoti Mansour.
Haijalishi Saudia ina uchumi gani kwasasa ila ukubali usikubali ilitiwa hasara.
*Iran uwezo huo bado anao kupitia Houthi hiyo hiyo,hivi unadhani kuifunga baab al mandib hakujaiathiri Saudia na Egypt!?
Kumeiathiri sana tu,mbona hukusikia wakiongea na kunyanyua mdomo!?
Narudia tena bro,Iran ina uwezo wa kufanya kile ilichosema.