Iran yatoa onyo kwa nchi za kiarabu zitakazoisaidia Israel kwa namna yoyote dhidi yake

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Waziri wa mambo ya nje wa Iran amezionya nchi za kiarabu zitakazojitia kiherehere kuisiaidia Israel kufanya ugaidi dhidi yake.

Bila kuzitaja majina bila shaka Waziri huyo anamaanisha nchi kama Jordan ambazo hata kwenye shambulio la jana ilijifanya kimbelembele kujaribu kutungua makomora ya Irani yaliyokuwa yanaelekea Israel. Hii inafuatia pia kushiriki kwa nchi hiyo kwenye kutungua drone na makombora ya Iran mwezi April mwaka huu.

Nchi za kiarabu kama Saudia zinaogopa kuwa Iran kama ikishambuliwa basi na yenyewe inao uwezo wa kuvitia visima vyao vya mafuta moto katika mtindo wa ukimwaga mboga namwaga ugali,

Nchi za Kiarabu zimekuwa zikiisaidia Iran kukwepa blockade iliyowekwa na wahouthi kwenye bahari ya sham ambapo nchi hizo zimekuwa zikipeleka ahitaji muhimu kwa barabara kwenda Israel.

Soma Pia: Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

------------------------------------------------------------------------------------------------

Iran will respond strongly to any country that takes action in support of the Zionist regime following the Iranian retaliation against the regime, Foreign Minister Abbas Araghchi says.

“We will respond strongly to any third party that enters [the conflict] in support of the Zionist regime. And if the Zionist regime decides to respond, our second response will be even harsher,” he said on Wednesday.

“Anyone who provides their space to their enemies is considered suspicious by us.”

The Iranian minister congratulated the brave and bold actions of the armed forces and their appropriate response to the Zionist regime’s barbarism, describing the operation as an act of self-defense.

“Iran only exercised its right to self-defense; a right that exists for all countries under Article 51 of the United Nations Charter. Our actions were purely defensive and in response to the terrorist actions of the Zionist regime.”

The Iranian minister said available footage shows Iran has achieved its objectives in the operation, which solely targeted military sites.

“The action taken last night and the available images clearly show that we achieved our objectives, which were entirely military. We did not target any civilian objectives, which is part of our principles and values.”

K

Nchi za Kiarabu zimekuwa zikiisaidia Iran kukwepa blockade iliyowekwa na wahouthi kwenye bahari ya sham ambapo nchi hizo zimekuwa zikipeleka ahitaji muhimu kwa barabara kwenda Israel

------------------------------------------------------------------------------------------------

Iran will respond strongly to any country that takes action in support of the Zionist regime following the Iranian retaliation against the regime, Foreign Minister Abbas Araghchi says.

“We will respond strongly to any third party that enters [the conflict] in support of the Zionist regime. And if the Zionist regime decides to respond, our second response will be even harsher,” he said on Wednesday.

“Anyone who provides their space to their enemies is considered suspicious by us.”

The Iranian minister congratulated the brave and bold actions of the armed forces and their appropriate response to the Zionist regime’s barbarism, describing the operation as an act of self-defense.

“Iran only exercised its right to self-defense; a right that exists for all countries under Article 51 of the United Nations Charter. Our actions were purely defensive and in response to the terrorist actions of the Zionist regime.”

The Iranian minister said available footage shows Iran has achieved its objectives in the operation, which solely targeted military sites.

“The action taken last night and the available images clearly show that we achieved our objectives, which were entirely military. We did not target any civilian objectives, which is part of our principles and values.”

Kauli ya kiume kabisa
 
Kumbe kuna nchi za kiarabu zipo tayari kusaidia Israel!!
 
Eh kumbe kuna nchi za kiarabu zinaisaidia Israel 😂 Waarabu wanafiki sana 😂
Ulikua hujui mkuu!?
Hakuna watu wanafiki na machawa kama waarabu.
Hata kuanguka kwa Ottoman empire ni usaliti wa waarabu.
Waarabu wanafiki mbwaaaa.
Jifikirie hapo mashariki ya kati kuna nchi kibao za kitajiri zenye pesa kushindana na hao wazungu ila kwanini waarabu wengine kama Lebanon masikini!?
Undumi la kuwili ndio unawamaliza.
 
Umeongea Kwa hisia Kali Sana mkuu
 
Back
Top Bottom