Wewe mlokole mavi, umeikimbia ile mada yako nyingine na kuanzia upupu mwingineShirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
View attachment 3582538
Muanzisha mada upo Israel mji upi?
Huwa anasema yupo Israel, sasa sielewi sijui ni mji upi, na hata picha hata moja hakuwahi kuonyesha hapa jinsi hali inavyoendelea huko Israel.
Umeona picha ya avatar?Huwa anasema yupo Israel, sasa sielewi sijui ni mji upi, na hata picha hata moja hakuwahi kuonyesha hapa jinsi hali inavyoendelea huko Israel.
Unajua kusoma? Au kiingereza kinakupiga chenga? Waombe wafuga midevu na majini wenzako wakusaidie!!=Wewe mlokole mavi, umeikimbia ile mada yako nyingine na kuanzia upupu mwingine
Mwangalie bwana wenu anaomba msaada kufungua hormuz
View attachment 3582707
Kwani tupo hapa kuonyeshana kila mmoja yuko wapi?Huwa anasema yupo Israel, sasa sielewi sijui ni mji upi, na hata picha hata moja hakuwahi kuonyesha hapa jinsi hali inavyoendelea huko Israel.
Unaleta porojo Trump utakua mwendawazimuShirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
View attachment 3582538
Shirika la ndege la Spirit la nchini Marekani limefilisika rasmi kutokana na kushindwa kumudu gharama za mafutaShirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
View attachment 3582538
Makobazi ya Ushirombo yanapita kimyakimya
Blocked iliyo bahari kuu sawa na wewe uliye funga barabara ukiwa dodoma mjini lakini bus linaenda Mombasa it is good for nothing, zaidi ya meli 8 za Iran zimepita mchana kweupe hakuna lolote, wanaoumia ni hao shoga zako wa ulaya ambao wao wanategemea Hormuz iliyodhibitiwa na Iran kupitisha meli zao mlango ukiwa umefungwa kabisaShirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
View attachment 3582538
Acha kudanganya watu Hormuz imefungwa na hakipiti kitu bila idhini ya marekani!!!Blocked iliyo bahari kuu sawa na wewe uliye funga barabara ukiwa dodoma mjini lakini bus linaenda Mombasa it is good for nothing, zaidi ya meli 8 za Iran zimepita mchana kweupe hakuna lolote, wanaoumia ni hao shoga zako wa ulaya ambao wao wanategemea Hormuz iliyodhibitiwa na Iran kupitisha meli zao mlango ukiwa umefungwa kabisa
Matango pori.Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani.
Hii inakuja baaba ya mzingiro wa mlango bahari wa Hormuz kuanza kuumiza uchumi wa Iran!!
View attachment 3582538