Iran yaumizwa na Total-Blockade ya Marekani yaomba mazungumzo!!

Acha kudanganya watu Hormuz imefungwa na hakipiti kitu bila idhini ya marekani!!!
Hormuz ipo chini ya IRGC, US wapo mbali ya maji ya Iran wametega huko kama US wangekuwa hapo sasa moto ungekuwa unawaka ww huelew chochote
 
Kujidanganya kijinga
 
Back
Top Bottom