Iran yawa nchi ya kwanza kuangusha ndege isiyoonekana katika rada ya aina ya F-35

Mbona vinalipukia angani huko huko Nimeona Moja imepiga road with very small impact yaani Nguvu za Ballistic za Iran ni kujazwa fuel tank kubwa.. and exprossion ndogo wtf haziwezi hata kuangusha jengo zaidi ya kupiga mabanda ya kuku
Wizara ya ulinzi ya kiryat imechakazwa mara mbili butuliwa kisawasawa hypersonic missile sio za kitoto hizo zimesafiri km 2000.
 
Kiukweli zile missiles kutoka Iran zimeshuka pale Tel Aviv kwa nguvu zote.. ngoja tuone nini kinaendelea
Media zao wamekiri devastation hawajawahi kuiona kama hii naona muisrael nae kalipiza tena mida hii na yeye kapiga head quarter ya jeshi Tehran usiku wa leo noma sana kwa raia wa pande zote.
 
F-35 haitakiwi kuonekana kwenye radar huo ndio uwezo wake mkubwa.

Pili kama Iran wana surface to air missle ya kufukia F-35 ikiwa Israel; jiulize Russia na China watakuwa na nini.

Jibu tutalipata soon kama wamepiga kweli au la.

Kwa hiyo shock kama F-35 Israel lazima asitishe attack.
 
Media zao wamekiri devastation hawajawahi kuiona kama hii naona muisrael nae kalipiza tena mida hii na yeye kapiga head quarter ya jeshi Tehran usiku wa leo noma sana kwa raia wa pande zote.
Nasikia sijui kiongozi wa Iran tayari kawa marehemu, hii vita kama itaendelea kwa angalau wiki.. italeta madhara makubwa kwa mataifa yote mawili
 
Nasikia sijui kiongozi wa Iran tayari kawa marehemu, hii vita kama itaendelea kwa angalau wiki.. italeta madhara makubwa kwa mataifa yote mawili
Wamepiga mtaa anaoishi ofcourse ni nyumba ya zamani wakati wa vita kiongozi anaenda kwenye bunker sio nyumbani mtaani.
 
Wizara ya ulinzi ya kiryat imechakazwa mara mbili butuliwa kisawasawa hypersonic missile sio za kitoto hizo zimesafiri km 2000.
Eh kwahiyo ndio ushamaliza kunifahamisha khah..
 
F-35 haitakiwi kuonekana kwenye radar huo ndio uwezo wake mkubwa.
Sawa kutoonekana ni wakati ikiwa kwenye mossion ya mbali ila ukishaingia anga la Teheran utazunguka zunguka tu na iran zao wanarusha missile mingi sana kwa wakati mmoja so ukikoswa ni bahati yako tu
Pili kama Iran wana surface to air missle ya kufukia F-35 ikiwa Israel; jiulize Russia na China watakuwa na nini.
China wana nini kwani? maana zao ni kucopy from others tu hakuna mgunduzi yeyote kule and Russia si ndio anahangaika tu kule Ukraine mwaka wa Nne huu, what are you talking about Meeeen
Jibu tutalipata soon kama wamepiga kweli au la.

Kwa hiyo shock kama F-35 Israel lazima asitishe attack.
Hamna Shock Israel yeye huwa anapata Shock ndege zikirejea salama maana hata wao huwa hawaamini na kushangaa tu
 
F-35 inapigwa tu, ni bidhaa ghali iliyopewa sifa kibao ili inunulike huku Israel ikizitumia kufanya marketing...

Hili suala la F-35 halinistui, tulishajadili humu, F-35 si kitu hata radars za Tanzania za mwaka 1947 zinaiona, stealh is scam.. ni lugha za kibiashara tu..

Haishangazi S-300 kuitungua F-35..
 
Una uhakika Russia na China hawapo nyuma ya Iran hadi muda huu, au ndiyo zile ramli chonganishi juu ya uwezo wa Ukraine dhidi ya Russia kumbe UK, France na USA wapo nyuma yake?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Precision ya kutupia missile 2000km in 8 minutes na kupiga sawasawa target sio kitu cha kitoto
Target ipi weka tuone maana Iran kaamua kuua raia tu town yenye populaton kubwa na sio Military Site... ndio shabaha hiyo? and hizo zinaitwa Ballistic missile hilo kosa linaweza cost vita isiyo na adabu na Israel alitoa onyo kuwa atapiga vinu vya mafuta kwa kosa hilo ambalo ndio lina thamani sawa
 
Unalalama wakati ndege zimetembea karibu miaka 10 zikiwa busy hadi zimefikia muda wa kuretire What are you talking about?
 
Unalalama wakati ndege zimetembea karibu miaka 10 zikiwa busy hadi zimefikia muda wa kuretire What are you talking about?
Hizo ndege ni utapeli mtupu na ziakosolewa vikali..

huwezi hata siku moja ku-design ndege ambayo itakuwa na uwezo wa kufanya mambo yote, ndege iwe na uwezo wa kufanya close air support, ndege ifanye air to air missions, ndege ya kurusha bombs, iwe stealth wakati huo huo ifanye electronic warfare..

Hizo ndege si ni stealth kwanini haziingiii anga la Iran kama zote zikashambulie, matokeo yake wanaishia Iraq na kuachiaguided missiles?

F-16 ya 1970s hadi leo zipo zinatumika, F-35 ya juzi eti leo zina retire.
 
Kama zilikuwa na makosa ila zipo kwenye game for ten years basi tuseme Pilot wa Israel wanazitengenezea soko tu kwa uhodari wao ndio unavyodhania si ndio?
 
Hiyo ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!! Hebu tuwekee hiyo picha ya hiyo ndege iliyodunguliwa!!

Mnajipa sifa ambazo hamstahili kabisa kuwa nazo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…