Kuna watu wanamahaba na wazayuni utafikir nini sijui...ndo maana Hitla alitaka kuwamaliza wote...hao ni chanzo Cha migogoro mingi Diniani.Mimi binafsi,sipendi vita.Mungu mwenyewe hapendi vita.Vita hivi,vimekuja kwa kusudi maalumu.Sasa naona Halmagedoni inaenda kutimia.Yesu kristo yupo njiani.Msishabikie vita.Wenzenu wanakufa nyie mnafurahia.Maandiko ya manabii,yanatimia..🤔😭Ni Shock ila sio kivile waeza kuta wese liliisha au alikwepa missile nyingi kwa wakati mmoja ila tutajua maana uongo huwa mwingi... Akishuka chini atakimbia kimbia mwisho atadakwa tu..
Na hii imekuwa same kama ile Series ya Teheran nadhai ilikuwa Season 2 Pilot alidakwa ila Mosad wakamtorosha baadae Hospitalini
Ushajua kenge ni nani sasa Wairan wamewadanganya waislam wenzao hahaha nawambia Muislam anatakiwa amuamini Mkristo tu Muislam mwenzie anamdanganya... Sasa hilo projectile remain huko Syria limeanguka wewe unadai ni tank la Mafuta la F-16 Hivi unajua uhodari wa pilot wa Israel au akili umeletewa kwenye bakuri la Tende kama Mtume wenu alivyoletewa sinia la Hekima na busara kutoka kwa Jibril akamfanyia upasuaji akamuwekea kifuani hahaha.We kenge hilo ni tank la mafuta la ndege za F16 huwa nakuambia wewe huna unalo jua lolote ni propoganda nyingi tu.
Wenzio wana akili wanalindana hadi angani.. hata yange yange wakipita angani huwezi mtungua hata mmoja... alafu Iran hawana akili midomo kaya tu pashkunaWameangusha ndio huwezi peleka msururu wa ndege 200 zisipigwe kuna mpaka clip ya pilot yuko angani ameeject.
Wapi imetunguliwa? labda na manati ya Ayatollah, so ulichojadili chote kwa nguvu zako hadi misuli ya shingo ikakutoka Israel wamekuonesha kuwa ulikuwa unapoteza nguvu zako za ubishi bureF-35 inapigwa tu, ni bidhaa ghali iliyopewa sifa kibao ili inunulike huku Israel ikizitumia kufanya marketing...
Hili suala la F-35 halinistui, tulishajadili humu, F-35 si kitu hata radars za Tanzania za mwaka 1947 zinaiona, stealh is scam.. ni lugha za kibiashara tu..
Haishangazi S-300 kuitungua F-35..
F-35 ni takataka, hizo ndege wanaogopa hata kuziingiza kwenye battle inavyopaswa tofauti na wanavyojaza misifa kibao, hio ndege ikibutuliwa ni aibu kubwa sana, na soko la hisa litashuka sana, na pia hakuna mtu atataka kuzinunua, hata Iran zilikuwa zinaibia ibia huku F15 na F16 ndizo zilikuwa mbele kupambana...Wapi imetunguliwa? labda na manati ya Ayatollah, so ulichojadili chote kwa nguvu zako hadi misuli ya shingo ikakutoka Israel wamekuonesha kuwa ulikuwa unapoteza nguvu zako za ubishi bure
Mwambie anunue Air Defense zingine and then aanze tea kurutubisha Uranium kiwango zaidi cha matumizi ya kiraia.F-35 ni takataka, hizo ndege wanaogopa hata kuziingiza kwenye battle inavyopaswa tofauti na wanavyojaza misifa kibao, hio ndege ikibutuliwa ni aibu kubwa sana, na soko la hisa litashuka sana, na pia hakuna mtu atataka kuzinunua, hata Iran zilikuwa zinaibia ibia huku F15 na F16 ndizo zilikuwa mbele kupambana...
F-35 inakaa Morogoro inarusha guided missiles kwenda Dar Es Salaam, hakuna F-35 zilikuwa zinasogea maeneo zilipo air defenses...
Israell ilifanya ugaidi kwanza wa kulipua air defenses za iran kwa kutumia drones ambazo ziliingizwa miezi kabla... pasipo hilo hata B-2 wanapaza sauti ni stealth lakini isingekatiza...
iliwaambia hapa stealth ni scam, stealth ni lugha ya kibiashara... stealth ipo kwa nchi zisizo na air defenses za uhakika..