We jamaa ni mbishiSawa kutoonekana ni wakati ikiwa kwenye mossion ya mbali ila ukishaingia anga la Teheran utazunguka zunguka tu na iran zao wanarusha missile mingi sana kwa wakati mmoja so ukikoswa ni bahati yako tu
China wana nini kwani? maana zao ni kucopy from others tu hakuna mgunduszi yeyote kule and Russia si ndio anahangaika tu kule Ukraine mwaka wa Nne huu, what are you talking about Meeeen
Hamna Shock Israel yeye huwa anapata Shock ndege zikirejea salama maana hata wao huwa hawaamini na kushangaa tu
hahaha jipe moyo, mlisahau kuwasha THAAD ? au imerudi US ?Ukishaona moto hewani ujue hiyo imekuwa intercepted mkuu. Missile huwa huwezi ona moto hewani utaona moto/mlipuko on impact
Zimuua nani? Wenzenu wamewataja vigogo waliowaua
Zimuua nani? Wenzenu wamewataja vigogo waliowaua
No Reforms No ElectionWazee comment za NRNE ndio zimeisha au mnamalizana na Israel na Iran kwanza?
Soma hii comment yangu 2021 ilikuwa, haya tulishajadili na wadau humu miaka tu.. Je, Iran inaweza kugeuza Aircraft Carrier za USA kuwa Shipwreck?Kama zilikuwa na makosa ila zipo kwenye game for ten years basi tuseme Pilot wa Israel wanazitengenezea soko tu kwa uhodari wao ndio unavyodhania si ndio?
Aisee!