Iran yawa nchi ya kwanza kuangusha ndege isiyoonekana katika rada ya aina ya F-35

Hiyo ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wenu!!!! Hebu tuwekee hiyo picha ya hiyo ndege iliyodunguliwa!!

Mnajipa sifa ambazo hamstahili kabisa kuwa nazo!!!
"Mgonjwa kapata afueni!"
Ulitoweka ghafla kiongozi ulipatwa na mshtuko wa moyo nini!? Punde tu nilitaka kukuulizia kama umesalimika!.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-14-13-08-33-958.jpg
    413.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_2025-06-14-17-11-41-077.jpg
    292.8 KB · Views: 19
  • IMG_20250614_150006.jpg
    286.6 KB · Views: 25
  • Screenshot_2025-06-14-13-04-02-950.jpg
    353.9 KB · Views: 26
  • Screenshot_2025-06-14-17-23-10-601.jpg
    264.4 KB · Views: 30
Inabidi wamtie machinje hadharani ili waamini
 
Haisaidii huo ni aina ya udhaifu same mistake aliyofanya Pakistan kwa India eti aliacha kutungua Drone kisa atagundulka wapi Mitambo ya kuzuia ilipo hahaha
Kati ya Pakistan na India nani kaonekana dhaifu?
 
Wekeni picha maana tumeambiwa zilirudi zote 😁😁
 
Iran hana ubavu wa kudungua F-35 hata kidogo. Uongo uongo tu ndiyo uliotawala kwa Waarabu na waajemi sijui kwa sababu dini yao moja!! Wanatuletea picha fake wanafikiri wote humu ni wajinga kama wao!!!
 

Attachments

  • IMG_3270.jpeg
    524.7 KB · Views: 28
  • IMG_3271.jpeg
    146.2 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…