Iran yawatia nguvuni maafisa usalama na wa jeshi zaidi ya 20 kwa usaliti.

Inaripotiwa mamlaka za Iran zimewatia nguvuni maafisa zaidi ya 20 wa idara za ujasusi, usalama na jeshi wa nchi hiyo pamoja na wasaidizi wao wengi kufuatia tukio la hivi karibuni la kuuwawa kwa kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh ndani ya ardhi yake alipofika kuhudhuria uapisho wa rais mteule wa Iran.

Japo Israel imewahi kufanya mauaji mbalimbali ya raia wa Iran wenye maslahi makubwa na taifa hilo mfano wanasayansi wafanyakazi wa miradi ya nuclear ya Iran na washauri mbalimbali wa kijeshi, tukio la hivi karibuni la kuuwawa kwa Haniyeh katika ardhi yake limewapa aibu kubwa zaidi kiasi cha baadhi ya watu kudai Israel hata ikitaka kumuondoa Ayatollah ni suala la kuamua wakati na mahali tu.

Bado ni gumzo kubwa jinsi gani Mossad ya Israel iliweza kumfikia na kumuua Haniyeh akiwa chini ya ulinzi mkali wa Islamic Revolutionary Guard Corps(IRGC). Kuna nadharia mbalimbali zikiwemo drone ndogo iliyorushwa kwa karibu au bomu lililotegeshwa chumbani kwake mapema kwa msaada wa agents wa Mossad ndani ya Idara za usalama za Iran.
Wameanza kulana wenyewe. Mazayuni wamekaa pale kwenye mawindo mapya
 
Kila mara napokutana na habar hii bas nawaza ile movie ya HOMELAND jinsi CIA walivyom eliminate chief of IRGC na kum recruit officer mwingime kwenye hiyo position kama mtu wao. Noma sana.
Halaf yule chief wa CIA katika hiyo movie alikua Myahudi.

Na kwenye movie hiyo hiyo rais wa Iran aliuawa kwenye HELCOPTER kwa mechanical fault akiwa na rais wa Us.

Seriously wazungu huwa wanachora raman na kuiweka hadharan kabisaa sis tuki enjoy kama movie kumbe wao wana deliver message
 
Ustaazi unajifariji tu ila kusema ukweli kile kipigo kimemvua nguo ayatollah pamoja na vibaraka wake.

Na hii si mara ya kwanza kwa myahudi kutoa vipigo vya kumchanganya adui.
Kumbuka operation Entebbe ilivyomuacha uchi nduli Idd Amin
Hawaamini macho yao. Mazayuni wahuni sana. YAANI wanamtesa ayatola kwa kuua Watu wa karibu mwisho apate kiharusi dah.
 
Toka mwanzo ilikuwa wazi kabisa, double agents ndio wamefanikisha zoezi.

Kimsingi ndani ya jeshi na usalama wa Iran kuna mamluki.
 
Taratibu Za Usalama Ngumu Ukizidiwa Mambo Fulani Basi Unaanza Upya
Hapo Changamoto Kuna Mifumo Imelegea
 
Ustaazi unajifariji tu ila kusema ukweli kile kipigo kimemvua nguo ayatollah pamoja na vibaraka wake.

Na hii si mara ya kwanza kwa myahudi kutoa vipigo vya kumchanganya adui.
Kumbuka operation Entebbe ilivyomuacha uchi nduli Idd Amin
Yaani Iran ivuliwe nguo kwa kuuawa mkuu wa Hamas kwenye ardhi yake ila Israel haikuvuliwa nguo na kuuawa kwa waziri mkuu wake tena na muhuni mmoja tu wa mtaani ?ww kweli ni matako.

Ww kwa akili yako China haina uwezo wa kuwasaka viongozi wa Taiwan na kuwateketeza?
Au kwa akili yako unadhani Urusi haina uwezo wa kuwasaka na kuwateketeza wanasiasa wa Ukraine?
Au una dhani Iran haina uwezo wa kuisaka familia ya Netanyau na kuiteketeza ikizi gatiwa kuwa watoto wa Netanyau huwa wana shinda kwenye maklabu wakila bata na malaya huko Marekani na Ulaya ?
Ukijiuliza hayo maswari na ukapata majibu kama una akili timamu utanielewa ninacho naanisha.
 
Yesi

Ayatolla amevuliwa nguo! Mgeni kibaraka wake ameuliwa sebuleni kwake na mpaka sasa hawajui nini kilitokea. Ni bomu la kutegwa ndani ama ni shambulizi la drone.
Wamebaki na mhaho.
 
Yaani Iran ivuliwe nguo kwa kuuawa mkuu wa Hamas kwenye ardhi yake ila Israel haikuvuliwa nguo na kuuawa kwa waziri mkuu wake tena na muhuni mmoja tu wa mtaani ?ww kweli ni matako.

Ww kwa akili yako China haina uwezo wa kuwasaka viongozi wa Taiwan na kuwateketeza?
Au kwa akili yako unadhani Urusi haina uwezo wa kuwasaka na kuwateketeza wanasiasa wa Ukraine?
Au una dhani Iran haina uwezo wa kuisaka familia ya Netanyau na kuiteketeza ikizi gatiwa kuwa watoto wa Netanyau huwa wana shinda kwenye maklabu wakila bata na malaya huko Marekani na Ulaya ?
Ukijiuliza hayo maswari na ukapata majibu kama una akili timamu utanielewa ninacho naanisha.
Wewe umechanganyikwa haswa, unaandika utumbo tu hapa.
 
Back
Top Bottom