Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Iran imeweka njia ingine ya kupita meli ziendazo nchi za mbali na kuwapa uwezo IRGC kuziona meli hizo na kutoza ushuru kwa kila meli.
Hadi meli kadhaa tiyari zimelipia tozo hiyo ya kupita kwenye mfereji wa Hormuz na kila meli italipa dola milioni 2.4
Picha na AP
Ukiangalia katika picha hapo juu, njia ya kawaida yenye mstari mwekundu imefungwa na Iran na sasa wameanzisha njia mpya yenye mstari wa kijani inopita karibu kabisa na mitambo ya IRGC ambapo kapteni wa meli akikiuka amri au kutolipa tozo basi meli italipuliwa na kuzama.
Kibanda hicho au kwa jina la Tehran Tollbooth kipo juu ya kisiwa cheupe kiitwacho Larak kilichopo pembezoni mwa mstari wa kijani kama konavyooneka kwenye picha na meli zitapita kwenye maji ya Iran au Iranian Waters chini ya uangalizi wa IRGC.
Haya habari ndo hiyo.