Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

Acheni kuandika vitu msivyovijua, hiyo Israel iliyopo sasa pale mashariki ya kati sio Israel iliyokuwepo hapo kale ilioandikwa katika vitabu vya dini kama Biblia na Quran.
Israel iliyopo sasa ni sinagogi la shetani au khazarian Tribe.
Hao wanaojiita waisrael waliopo mashariki ya kati ni mazayuni yanayoandaa mazingira ya mpinga kristo wakishirikiana uingereza(6), marekani(6) na hao mazayuni(6) wenyewe waliopo sasa hapo mashariki ya kati.
Tafuta historia ya khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utaelewa hasa chanzo chao na mission zao hapa duniani.
Mineno mitupu kama dela la malaya
 
Unaandika vitu usivyovifahamu dogo. Unakaa sana vijiweni kusikiliza porojo.
Ninyi watoto mnaropoka tu, kwanza unaanzaje kuita mtu dogo na haujawai muona?
Andika wewe unavyovifahamu kuhusu hao mashetani wa mashariki ya kati wanaojiita israel ili tujue ukweli unaofahamu wewe..!!
 
Acheni kuandika vitu msivyovijua, hiyo Israel iliyopo sasa pale mashariki ya kati sio Israel iliyokuwepo hapo kale ilioandikwa katika vitabu vya dini kama Biblia na Quran.
Israel iliyopo sasa ni sinagogi la shetani au khazarian Tribe.
Hao wanaojiita waisrael waliopo mashariki ya kati ni mazayuni yanayoandaa mazingira ya mpinga kristo wakishirikiana uingereza(6), marekani(6) na hao mazayuni(6) wenyewe waliopo sasa hapo mashariki ya kati.
Tafuta historia ya khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utaelewa hasa chanzo chao na mission zao hapa duniani.
Wewe ndiye umeandika unachokijua? Watu wapo hapo miaka nenda rudi halafu anakuja mtu kutoka Kazulamimba eti waliokuwepo hapo siyo wenyewe.
Wapalestina, Lebanon, Jordan , Syria, Egypt amba ndiyo majorsni zao wanaoishi pale miaka kwa maelfu hauzikuti hizi story za eti wale siyo Original, story hizi utakutana nazo kwa watu wa Afrika Mashariki tu.
 
Ninyi watoto mnaropoka tu, kwanza unaanzaje kuita mtu dogo na haujawai muona?
Andika wewe unavyovifahamu kuhusu hao mashetani wa mashariki ya kati wanaojiita israel ili tujue ukweli unaofahamu wewe..!!

Dogo ukikaa umeshika remote na miguu umeweka kwenye stool unaona umemaliza maisha hapo kwa shemejiyo.
 
Wewe ndiye umeandika unachokijua? Watu wapo hapo miaka nenda rudi halafu anakuja mtu kutoka Kazulamimba eti waliokuwepo hapo siyo wenyewe.
Wapalestina, Lebanon, Jordan , Syria, Egypt amba ndiyo majorsni zao wanaoishi pale miaka kwa maelfu hauzikuti hizi story za eti wale siyo Original, story hizi utakutana nazo kwa watu wa Afrika Mashariki tu.
Tatizo lako unakalili vitu bila kuelewa,
Kwanza fatilia chanzo cha vita ya siku sita (six days war) kati ya hao wanaojiita waisrael na nchi za kiarabu utapata jibu la kwanini nakwambia hao sio waisrael halisi.
Pia fatilia kabila linaitwa Khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utapata jibu kwamba kwanini waliopo pale mashariki ya kati sio waisrael halisi
 
Shida yako unajaribu kuchambua siasa za kimataifa kwa kutumia kitabu cha kale. Mbaya zaidi icho kitabu wenzako hata kukiamini hawakiamini. Izo kombora za iran kutokua na madhara ni kitu ambacho kimeshatolewa ufafanuzi. Iran wenyewe hawakutaka izo kombora zilete madhara makubwa ili israel isipate sababu ya kujibu tena mashambulizi yani iran ilitaka vita iishie hapa. Kila mmoja awe kampiga mwenzie kofi 1( israel kupiga ubalozi wa iran na iran kalipiza kwa kurusha makombora kwa israel)

Mh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari..

So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
 
Kumbuka pia Ni Iran iliyoamuru wayahudi wote wauwawe. Enzi za Malkia Ester. Na waliwahi kuandika waraka hairuhusiwi kujenga chochote israel enzi hizo (Yuda) ikiwa ni magofu.
Hv kwann hamjiulizi kila mtu anawachukia wa israel?hittler amewaua na iran nae aliamuru wauwawe kwa mujibe wako lakini badala ya kutafuta sababu mnalaumu wanaotaka kuwaua hata ww ukiona kila mtu anakuchukia jichunguze tabia yako haiwezekani watu wote wakuchukie ww tena bila sbababu
 
Mh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari..

So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
Hayo makombors hakuna alyeyaona kati ya mimi na wewe zaidi ya zile movie za video zilizorushwa wala hazioneshi kama zinatoka irani na kama zinaenda Israeli hakuna anayeweza kusema
 
Mh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari..

So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
Hawa jamaa akili zao huwa wanajua wenyewe Karakana wanakozipitishia.
Ngoja wasubiri wenzao wanaporusha Makombora wawaonyeshe huwa inatakiwa iweje.
Ila kama kuna imani au kuna kitu wanakiamini hawa jamaa, basi sharti lao kubwa ni kujakikisha hautumii akili zako katika hali na wakati wowote ule.
Ndiyo maana wameagizwa kuwa, ukienda kujisaidia haja hata ndogo ukikosa maji basi josafishe hata kwa mchanga au matope na wao wanatii.
 
Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli.

Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja?

Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani.

Nikurudishe nyuma kidogo.

Mambo mema ambayo Irani (Waajemi) waliwatendea Wayahudi hapo zamani za kale.

1. Wayahudi walipokuwa wametekwa ndani ya Babeli chini ya Nebkadineza na baadae Mwanaye Belshaza walipata nafuu ya Utumwa kwa Mfalme Koreshi Mwajemi kuiangusha Babeli.

2. Baada ya Koreshi alishika madaraka Mfalme wa Uajemi King Darius( Dario) huyu Mwamba aliandika nyaraka Ikulu akaifadhi ikieleza kuwa baada ya kipindi cha miaka fulani wayahudi waachiwe warudi kwao Yesrusalem kuujenga mji wao uliobomorewa na Nebkadneza miaka 600BC.

3. Tukio lingine ni lile la Mfalme Dario kuwaua Mawaziri na Baraza loote la maliwali alipogundua kuwa walimdanganya kwamba Daniel alikuwa Mhaini asiyetii sheria za Uajemi ambazo zilikuwa Infaliable( yaani hazitenguki). Maliwali walikula kibano cha kufa mtu wao na watoto wao na wake zao wakatupwa kwenye shimbo la Simba zikawasasambua asibaki hata mmoja. Wakati huo Daniel akiwa ndiye Waziri Mkuu Uajemi( imagine Mkimbizi tu)

4. Baada ya Mfalme Dario aliingia Ahasuero, huyu Mwamba alikuta nakala ya Barua iliyoandikwa na kuagiza Wayahudi waruhusiwe kurudi kwao na akatekeleza. Ahasuero akampa barua ya Ruhusa Ezra akiwa na wenzake akina Yoshua, Hagai Nabii, Modekai, Delaya na Zerubabeli wakaenda kuanza ujenzi. Kitu kikubwa ktk Ruhusa hii ni kwamba Ahasuero aliagiza maliwali waliokuwa pande za Siria na Jordani na ng'ambo ya Mto(West Bank) wahakikishe Waisraeli hawasumbuliwi. Soma Kitabu cha Ezra, 1,2 hadi sura ya 6. Mfalme anaagiza ikiwa watapungukia basi wakuu wa mikoa inayozunguka israeli wahakikishe wanachukua sehemu ya Kodi wawahudumie wayahudi wasipate tabu.

5. Kule Jordan wakajitokeza wabishi akina Sanbalati, Tobia, Geshem Mwarabu kutaka kuleta bugudha na kejeli wakadhibitiwa na Waajemi.

6. Baada ya Ahasuero alifata Mfalme Atashasta kipindi cha Nabii Nehemia, mwendo ukawa ule ule. Katika mwaka wa 20 wa kutawala kwake Atashasta Kamanda wa Jeshi na Intelijensia Hamani akazinyaka taarifa kwamba Kuna Wayahudi hawataki kuitii serikali na mamlaka ya Uajemi( kosa la uhaini). Waliotuhumiwa ni akina Modekai na wayahudi woote(wakimbizi). Kwa kujipendekeza Kamanda Hamani akapanga kuwaua wayahudi wote akianza kumtundika Juu ya Mti Modekai ili washenzi wengine wajifunze. Lahaulaa! Kibao kikageuka Hamani akatundikwa Yeye na Wayahudi hawakufanywa kitu. Walaka uliotolewa kwa maliwali wote na wakuu wa mikoa ukafutwa na wayahudi wasibudhudhiwe.

7. Basi Nehemia na kina Zerubabeli wakafunga msafara wa pili( second importation) wa kurudi kwao wakapewa ulinzi na pesa kutoka kwa Mfalme wa Uajemi.
Kwa hiyo kwa nyakati zote za uhai wa Israeli na Uajemi hawa watu wamekuwa ndugu. Sio undugu wa kikabila bali wa kiroho.

Unaposikia Kuna Mizinga na drone za kibabe 300 zimepiga na hakuna madhara yoyote yaliyotokea usishangae ktk Ulimwengu huu wa Propaganda.
Aisee, hizi hadithi za kusadikika bado mnaziamini tu!?
 
Shida yako unajaribu kuchambua siasa za kimataifa kwa kutumia kitabu cha kale. Mbaya zaidi icho kitabu wenzako hata kukiamini hawakiamini. Izo kombora za iran kutokua na madhara ni kitu ambacho kimeshatolewa ufafanuzi. Iran wenyewe hawakutaka izo kombora zilete madhara makubwa ili israel isipate sababu ya kujibu tena mashambulizi yani iran ilitaka vita iishie hapa. Kila mmoja awe kampiga mwenzie kofi 1( israel kupiga ubalozi wa iran na iran kalipiza kwa kurusha makombora kwa israel)
Hao wasioamini hicho kitabu ni watu gani? Kama unawazungumzia Ban Israel basi umepotoshwa. Biblia uijuayo wewe yoote ni Biblia ya kiyahudi isipokuwa Agano jipya (linalozungumzia maisha ya Yesu Kristo tangu kuzaliwa, kufa, kufufuka, kupaa na baada ya kupaa)
 
Msichok8elewa nimkuwa Iran kafikishabujumbe.

Missiles za engine za honda xilikua ni decoy tu za kuwatia hasara mazayuni, missile zilizotakiwa zipige zimepiga na hakuna aliyeweza kuzizuwia.
Zimepiga wapi? Weka ushahidi hapa.
 
Back
Top Bottom