FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Huna upeo wa kuelewa hata uwekewe nini.Zimepiga wapi? Weka ushahidi hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna upeo wa kuelewa hata uwekewe nini.Zimepiga wapi? Weka ushahidi hapa.
HahahaAisee, hizi hadithi za kusadikika bado mnaziamini tu!?
SahihiHao wasioamini hicho kitabu ni watu gani? Kama unawazungumzia Ban Israel basi umepotoshwa. Biblia uijuayo wewe yoote ni Biblia ya kiyahudi isipokuwa Agano jipya (linalozungumzia maisha ya Yesu Kristo tangu kuzaliwa, kufa, kufufuka, kupaa na baada ya kupaa)
Sasa ukijisafisha matope si ndio unachafuka zaidiHawa jamaa akili zao huwa wanajua wenyewe Karakana wanakozipitishia.
Ngoja wasubiri wenzao wanaporusha Makombora wawaonyeshe huwa inatakiwa iweje.
Ila kama kuna imani au kuna kitu wanakiamini hawa jamaa, basi sharti lao kubwa ni kujakikisha hautumii akili zako katika hali na wakati wowote ule.
Ndiyo maana wameagizwa kuwa, ukienda kujisaidia haja hata ndogo ukikosa maji basi josafishe hata kwa mchanga au matope na wao wanatii.
Hawa watu hauhitaji kuwaelewa, kama mafundisho yso yanaharamisha ulaji wa kitimoto lakini yanalalisha kuiingilia kimwili maiti. Pia yanalalisha kumuingilia kimwili Mnyama ila yatahadjarisha ukimnchinja mnyama uliyemuingilia kimwili nyama yake isiliwe maeneo ya kwenu bali ipelekwe ikaliwe na watu wa mbali na eneo unaloishi, hapo unataraji kwamba utakuja uzielewe akili zao?Sasa ukijisafisha matope si ndio unachafuka zaidi
Mkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semiticHv kwann hamjiulizi kila mtu anawachukia wa israel?hittler amewaua na iran nae aliamuru wauwawe kwa mujibe wako lakini badala ya kutafuta sababu mnalaumu wanaotaka kuwaua hata ww ukiona kila mtu anakuchukia jichunguze tabia yako haiwezekani watu wote wakuchukie ww tena bila sbababu
Bora umewaongezea taarifa, mwanzo mwa huu uzi nimeandika kwamba wale waliopo pale Israel sasa sio waisrael halisi.Mkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semitic
We ndio kilaza kabisa. Kwahiyo ukiacha hao waliotokea ulaya hapakuwepo Jews hapo Israel au wanaotokea Ethiopia au nchi za kiarabu au wayahud wa kiiran sio JewsAcheni kuandika vitu msivyovijua, hiyo Israel iliyopo sasa pale mashariki ya kati sio Israel iliyokuwepo hapo kale ilioandikwa katika vitabu vya dini kama Biblia na Quran.
Israel iliyopo sasa ni sinagogi la shetani au khazarian Tribe.
Hao wanaojiita waisrael waliopo mashariki ya kati ni mazayuni yanayoandaa mazingira ya mpinga kristo wakishirikiana uingereza(6), marekani(6) na hao mazayuni(6) wenyewe waliopo sasa hapo mashariki ya kati.
Tafuta historia ya khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utaelewa hasa chanzo chao na mission zao hapa duniani.
Andika hoja na kuacha utoto kwa kauli za kejeli.We ndio kilaza kabisa. Kwahiyo ukiacha hao waliotokea ulaya hapakuwepo Jews hapo Israel au wanaotokea Ethiopia au nchi za kiarabu au wayahud wa kiiran sio Jews
Mkuu ya kweli haya?Hawa watu hauhitaji kuwaelewa, kama mafundisho yso yanaharamisha ulaji wa kitimoto lakini yanalalisha kuiingilia kimwili maiti. Pia yanalalisha kumuingilia kimwili Mnyama ila yatahadjarisha ukimnchinja mnyama uliyemuingilia kimwili nyama yake isiliwe maeneo ya kwenu bali ipelekwe ikaliwe na watu wa mbali na eneo unaloishi, hapo unataraji kwamba utakuja uzielewe akili zao?
Ashkenazi ni moja ktk koo za Watoto wa Yafethi mtoto wa Ibrahim .. hawezi kuwa JewMkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semitic
Sisi waswahili tunasema Mti wenye matunda....!!Hv kwann hamjiulizi kila mtu anawachukia wa israel?hittler amewaua na iran nae aliamuru wauwawe kwa mujibe wako lakini badala ya kutafuta sababu mnalaumu wanaotaka kuwaua hata ww ukiona kila mtu anakuchukia jichunguze tabia yako haiwezekani watu wote wakuchukie ww tena bila sbababu
We ndio nakupa homework. Nenda ulizia wakati wa utawala wa ottoman au nyakati za Salahuddin kama hapakuwepo na Jews pale. We umeitambua Israel kwasababu ya hao Ashkenazi hujui history basi. Pia kama mpka leo hujui mpinga Kristo ninan kwa mujibu wa biblical rudi darasan. Swali kwako. Wale waisraeli halisia wako wapi?Andika hoja na kuacha utoto kwa kauli za kejeli.
Kwanza hamna sehem nimeandika hapakuwepo na watu Israel kama umeona nilipoandika hivyo nioneshe,
Pili narudia kuwaambia kwamba wale waliopo sasa pale Israel sio waisrael halisi ila wale ni wahuni na matapeli kuigiza ni waisrael halisi ili wamuandalie njia mpinga kristo kutawala.
Nakupa homework fatilia taarifa za Khazarian Tribe na Ashkenazi Jews utapata mwanga namna dunia inavyoendeshwa kwa hadaa na propaganda
Hayo ni ya kweli kabisa mkuu. Nitakutafutia maandikoMkuu ya kweli haya?
Umeuliza swali zuri kwamba "wale waisrael halisi wako wapi"?We ndio nakupa homework. Nenda ulizia wakati wa utawala wa ottoman au nyakati za Salahuddin kama hapakuwepo na Jews pale. We umeitambua Israel kwasababu ya hao Ashkenazi hujui history basi. Pia kama mpka leo hujui mpinga Kristo ninan kwa mujibu wa biblical rudi darasan. Swali kwako. Wale waisraeli halisia wako wapi?
Bado hujanijibu swali. Wakat wa ottoman hawakuwepo jews au wakati wa saladinUmeuliza swali zuri kwamba "wale waisrael halisi wako wapi"?
Kabla sijakujibu nakupa pongezi kwa kuacha maneno ya kejeli, hivyo ndio wanaume tuna jadili na kufika muafaka.
Umeongelea kuhusu Ottoman empire (waturuki) hao ni wajuzi tu kukalia Israel kabla uingereza hajawapiga katika vita vya dunia na kupewa hao waisrael feki (Ashkenazi Jews) pia kabla sijajibu swali lako je umefanya home work kwa kupata taarifa zinazowahusu Khazarian Tribe na Ashkenazi Jews, na kama umafatilia taarifa zao umejua?
Hiyo homework ni muhimu ili tubishane kwa hoja.
Nikijibu swali lako kwamba waisrael halisi wako wapi?
Jibu ni kwamba waisrael halisi ni watu weusi kama wewe, inaweza kua ni jambo jipya kwako ila ili uamini lifanyie tafiti kwa kina usilete ubishi bila tafiti katika hili.
Kwa kifupi Yesu mwenyewe alikua mtu mweusi, hao wakina Suleiman, mfalme Daudi unaosoma kwenye vitabu vya dini wote ni watu weusi na wazungu wanajua hili ndio maana wanawawekea masanamu ya kizungu kwenye makanisa kama roman,
Movie za Yesu zinazoonesha Yesu ni mzungu n.k
Ukienda Vatican wao wanaabudu sanamu za Yesu mweusi na Bikira Maria mweusi.
Jambo usilolijua penda kujifunza, usikalili ubishi
Picha nilizoweka chini zinaonesha Pope wa kanisa Roman Catholic akisujudu kwa sanamu la Bikira Maria na Yesu mweusi, hilo jambo hawafanyi kwa bahati mbaya ila wanajua Yesu halisi alikua mweusi, achana na hizo movie za Hollywood zinazoonesha Yesu na Waisrael ni wazungu
Mzee mbona unayumba nimeuliza waisraeli halisia wako wapi? Pili Mimi nasafir sana so hizo story unazosema nazijua sana. Nilichokuuliza kingine inamaana Jews waliopo Ethiopia Iran morocco Egypt Yemen ulaya na India sio Jews au. Tatu hujanijibu swali lingine.wakat saladin anaichukua Jerusalem aliwaacha Jews Muslims na Christians wakae kwa aman mpaka wakati wa ottoman empire walikuwepo Jews wa asili je hao watu wako kundi gan kabla hawajaja hao migrate wa eastern Europe. Mimi hizo Khazars Ashkenazi nazijua. Nipe majibu ya maswali yote. Usichague la kujibuUmeuliza swali zuri kwamba "wale waisrael halisi wako wapi"?
Kabla sijakujibu nakupa pongezi kwa kuacha maneno ya kejeli, hivyo ndio wanaume tuna jadili na kufika muafaka.
Umeongelea kuhusu Ottoman empire (waturuki) hao ni wajuzi tu kukalia Israel kabla uingereza hajawapiga katika vita vya dunia na kupewa hao waisrael feki (Ashkenazi Jews) pia kabla sijajibu swali lako je umefanya home work kwa kupata taarifa zinazowahusu Khazarian Tribe na Ashkenazi Jews, na kama umafatilia taarifa zao umejua?
Hiyo homework ni muhimu ili tubishane kwa hoja.
Nikijibu swali lako kwamba waisrael halisi wako wapi?
Jibu ni kwamba waisrael halisi ni watu weusi kama wewe, inaweza kua ni jambo jipya kwako ila ili uamini lifanyie tafiti kwa kina usilete ubishi bila tafiti katika hili.
Kwa kifupi Yesu mwenyewe alikua mtu mweusi, hao wakina Suleiman, mfalme Daudi unaosoma kwenye vitabu vya dini wote ni watu weusi na wazungu wanajua hili ndio maana wanawawekea masanamu ya kizungu kwenye makanisa kama roman,
Movie za Yesu zinazoonesha Yesu ni mzungu n.k
Ukienda Vatican wao wanaabudu sanamu za Yesu mweusi na Bikira Maria mweusi.
Jambo usilolijua penda kujifunza, usikalili ubishi
Picha nilizoweka chini zinaonesha Pope wa kanisa Roman Catholic akisujudu kwa sanamu la Bikira Maria na Yesu mweusi, hilo jambo hawafanyi kwa bahati mbaya ila wanajua Yesu halisi alikua mweusi, achana na hizo movie za Hollywood zinazoonesha Yesu na Waisrael ni wazungu
Maswali unayouliza ni ya kitoto halafu yanaonesha unauelewa mdogo ila unaigiza ujuaji.Bado hujanijibu swali. Wakat wa ottoman hawakuwepo jews au wakati wa saladin
Mzee mbona unayumba nimeuliza waisraeli halisia wako wapi? Pili Mimi nasafir sana so hizo story unazosema nazijua sana. Nilichokuuliza kingine inamaana Jews waliopo Ethiopia Iran morocco Egypt Yemen ulaya na India sio Jews au. Tatu hujanijibu swali lingine.wakat saladin anaichukua Jerusalem aliwaacha Jews Muslims na Christians wakae kwa aman mpaka wakati wa ottoman empire walikuwepo Jews wa asili je hao watu wako kundi gan kabla hawajaja hao migrate wa eastern Europe. Mimi hizo Khazars Ashkenazi nazijua. Nipe majibu ya maswali yote. Usichague la kujibu