matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Waislam wa Tanzaniq ni kweli hawabaguani. Ila waarabu na waajemi wanabaguana ndio maana wanapigwa mkwara hata kwenda kuhijiWaislam hatubauani kwa kabila wala rangi.
Hayo matatizo yenu ya kanisani sisi hatuna.
Mineno mitupu kama dela la malayaAcheni kuandika vitu msivyovijua, hiyo Israel iliyopo sasa pale mashariki ya kati sio Israel iliyokuwepo hapo kale ilioandikwa katika vitabu vya dini kama Biblia na Quran.
Israel iliyopo sasa ni sinagogi la shetani au khazarian Tribe.
Hao wanaojiita waisrael waliopo mashariki ya kati ni mazayuni yanayoandaa mazingira ya mpinga kristo wakishirikiana uingereza(6), marekani(6) na hao mazayuni(6) wenyewe waliopo sasa hapo mashariki ya kati.
Tafuta historia ya khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utaelewa hasa chanzo chao na mission zao hapa duniani.
Ukweli mnaujua kwamba ninyi ni mashetani na mnalaana ndio maana vinywa vyenu vina maneno machafu kama shimo la choo.Mineno mitupu kama dela la malaya
Mbona hawakufutwa?Hakukuwa na urafiki. Iran ilikuwa ni watawala na Wayahudi walikuwa ni watumwa na vibarua wao tu ambao kwa kauli moja wanaweza kufutwa wote
Ninyi watoto mnaropoka tu, kwanza unaanzaje kuita mtu dogo na haujawai muona?Unaandika vitu usivyovifahamu dogo. Unakaa sana vijiweni kusikiliza porojo.
Wewe ndiye umeandika unachokijua? Watu wapo hapo miaka nenda rudi halafu anakuja mtu kutoka Kazulamimba eti waliokuwepo hapo siyo wenyewe.Acheni kuandika vitu msivyovijua, hiyo Israel iliyopo sasa pale mashariki ya kati sio Israel iliyokuwepo hapo kale ilioandikwa katika vitabu vya dini kama Biblia na Quran.
Israel iliyopo sasa ni sinagogi la shetani au khazarian Tribe.
Hao wanaojiita waisrael waliopo mashariki ya kati ni mazayuni yanayoandaa mazingira ya mpinga kristo wakishirikiana uingereza(6), marekani(6) na hao mazayuni(6) wenyewe waliopo sasa hapo mashariki ya kati.
Tafuta historia ya khazarian Tribe (Ashkenazi Jews) utaelewa hasa chanzo chao na mission zao hapa duniani.
Ninyi watoto mnaropoka tu, kwanza unaanzaje kuita mtu dogo na haujawai muona?
Andika wewe unavyovifahamu kuhusu hao mashetani wa mashariki ya kati wanaojiita israel ili tujue ukweli unaofahamu wewe..!!
Tatizo lako unakalili vitu bila kuelewa,Wewe ndiye umeandika unachokijua? Watu wapo hapo miaka nenda rudi halafu anakuja mtu kutoka Kazulamimba eti waliokuwepo hapo siyo wenyewe.
Wapalestina, Lebanon, Jordan , Syria, Egypt amba ndiyo majorsni zao wanaoishi pale miaka kwa maelfu hauzikuti hizi story za eti wale siyo Original, story hizi utakutana nazo kwa watu wa Afrika Mashariki tu.
Hiyo ndio hoja Yako?Dogo ukikaa umeshika remote na miguu umeweka kwenye stool unaona umemaliza maisha hapo kwa shemejiyo.
Waliomba na kufunga bila kula siku tatu. Mungu akawasaidia. Ila waliendelea kuwa watumwa na mabrkitatu wa wairanMbona hawakufutwa?
Dogo umejifunza neno stupid. Basi imekuwa nongwa. Subiri nimwambie dada yako.Hiyo ndio hoja Yako?
Stupid
Shida yako unajaribu kuchambua siasa za kimataifa kwa kutumia kitabu cha kale. Mbaya zaidi icho kitabu wenzako hata kukiamini hawakiamini. Izo kombora za iran kutokua na madhara ni kitu ambacho kimeshatolewa ufafanuzi. Iran wenyewe hawakutaka izo kombora zilete madhara makubwa ili israel isipate sababu ya kujibu tena mashambulizi yani iran ilitaka vita iishie hapa. Kila mmoja awe kampiga mwenzie kofi 1( israel kupiga ubalozi wa iran na iran kalipiza kwa kurusha makombora kwa israel)
Hv kwann hamjiulizi kila mtu anawachukia wa israel?hittler amewaua na iran nae aliamuru wauwawe kwa mujibe wako lakini badala ya kutafuta sababu mnalaumu wanaotaka kuwaua hata ww ukiona kila mtu anakuchukia jichunguze tabia yako haiwezekani watu wote wakuchukie ww tena bila sbababuKumbuka pia Ni Iran iliyoamuru wayahudi wote wauwawe. Enzi za Malkia Ester. Na waliwahi kuandika waraka hairuhusiwi kujenga chochote israel enzi hizo (Yuda) ikiwa ni magofu.
HahaaDogo umejifunza neno stupid. Basi imekuwa nongwa. Subiri nimwambie dada yako.
Hayo makombors hakuna alyeyaona kati ya mimi na wewe zaidi ya zile movie za video zilizorushwa wala hazioneshi kama zinatoka irani na kama zinaenda Israeli hakuna anayeweza kusemaMh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari..
So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
Hawa jamaa akili zao huwa wanajua wenyewe Karakana wanakozipitishia.Mh unarusha kombora 300 from all angle halafu unasema hutak yalete madhara basi si yangerushwa baharin maana wote tunajua kuwa mazoez ya makombora yanarushwaga baharini kuepuka athari..
So hayo makombora yasingekuwa inteecepted yasingeleta madhara sio?...
Aisee, hizi hadithi za kusadikika bado mnaziamini tu!?Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli.
Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja?
Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani.
Nikurudishe nyuma kidogo.
Mambo mema ambayo Irani (Waajemi) waliwatendea Wayahudi hapo zamani za kale.
1. Wayahudi walipokuwa wametekwa ndani ya Babeli chini ya Nebkadineza na baadae Mwanaye Belshaza walipata nafuu ya Utumwa kwa Mfalme Koreshi Mwajemi kuiangusha Babeli.
2. Baada ya Koreshi alishika madaraka Mfalme wa Uajemi King Darius( Dario) huyu Mwamba aliandika nyaraka Ikulu akaifadhi ikieleza kuwa baada ya kipindi cha miaka fulani wayahudi waachiwe warudi kwao Yesrusalem kuujenga mji wao uliobomorewa na Nebkadneza miaka 600BC.
3. Tukio lingine ni lile la Mfalme Dario kuwaua Mawaziri na Baraza loote la maliwali alipogundua kuwa walimdanganya kwamba Daniel alikuwa Mhaini asiyetii sheria za Uajemi ambazo zilikuwa Infaliable( yaani hazitenguki). Maliwali walikula kibano cha kufa mtu wao na watoto wao na wake zao wakatupwa kwenye shimbo la Simba zikawasasambua asibaki hata mmoja. Wakati huo Daniel akiwa ndiye Waziri Mkuu Uajemi( imagine Mkimbizi tu)
4. Baada ya Mfalme Dario aliingia Ahasuero, huyu Mwamba alikuta nakala ya Barua iliyoandikwa na kuagiza Wayahudi waruhusiwe kurudi kwao na akatekeleza. Ahasuero akampa barua ya Ruhusa Ezra akiwa na wenzake akina Yoshua, Hagai Nabii, Modekai, Delaya na Zerubabeli wakaenda kuanza ujenzi. Kitu kikubwa ktk Ruhusa hii ni kwamba Ahasuero aliagiza maliwali waliokuwa pande za Siria na Jordani na ng'ambo ya Mto(West Bank) wahakikishe Waisraeli hawasumbuliwi. Soma Kitabu cha Ezra, 1,2 hadi sura ya 6. Mfalme anaagiza ikiwa watapungukia basi wakuu wa mikoa inayozunguka israeli wahakikishe wanachukua sehemu ya Kodi wawahudumie wayahudi wasipate tabu.
5. Kule Jordan wakajitokeza wabishi akina Sanbalati, Tobia, Geshem Mwarabu kutaka kuleta bugudha na kejeli wakadhibitiwa na Waajemi.
6. Baada ya Ahasuero alifata Mfalme Atashasta kipindi cha Nabii Nehemia, mwendo ukawa ule ule. Katika mwaka wa 20 wa kutawala kwake Atashasta Kamanda wa Jeshi na Intelijensia Hamani akazinyaka taarifa kwamba Kuna Wayahudi hawataki kuitii serikali na mamlaka ya Uajemi( kosa la uhaini). Waliotuhumiwa ni akina Modekai na wayahudi woote(wakimbizi). Kwa kujipendekeza Kamanda Hamani akapanga kuwaua wayahudi wote akianza kumtundika Juu ya Mti Modekai ili washenzi wengine wajifunze. Lahaulaa! Kibao kikageuka Hamani akatundikwa Yeye na Wayahudi hawakufanywa kitu. Walaka uliotolewa kwa maliwali wote na wakuu wa mikoa ukafutwa na wayahudi wasibudhudhiwe.
7. Basi Nehemia na kina Zerubabeli wakafunga msafara wa pili( second importation) wa kurudi kwao wakapewa ulinzi na pesa kutoka kwa Mfalme wa Uajemi.
Kwa hiyo kwa nyakati zote za uhai wa Israeli na Uajemi hawa watu wamekuwa ndugu. Sio undugu wa kikabila bali wa kiroho.
Unaposikia Kuna Mizinga na drone za kibabe 300 zimepiga na hakuna madhara yoyote yaliyotokea usishangae ktk Ulimwengu huu wa Propaganda.
Hao wasioamini hicho kitabu ni watu gani? Kama unawazungumzia Ban Israel basi umepotoshwa. Biblia uijuayo wewe yoote ni Biblia ya kiyahudi isipokuwa Agano jipya (linalozungumzia maisha ya Yesu Kristo tangu kuzaliwa, kufa, kufufuka, kupaa na baada ya kupaa)Shida yako unajaribu kuchambua siasa za kimataifa kwa kutumia kitabu cha kale. Mbaya zaidi icho kitabu wenzako hata kukiamini hawakiamini. Izo kombora za iran kutokua na madhara ni kitu ambacho kimeshatolewa ufafanuzi. Iran wenyewe hawakutaka izo kombora zilete madhara makubwa ili israel isipate sababu ya kujibu tena mashambulizi yani iran ilitaka vita iishie hapa. Kila mmoja awe kampiga mwenzie kofi 1( israel kupiga ubalozi wa iran na iran kalipiza kwa kurusha makombora kwa israel)
Zimepiga wapi? Weka ushahidi hapa.Msichok8elewa nimkuwa Iran kafikishabujumbe.
Missiles za engine za honda xilikua ni decoy tu za kuwatia hasara mazayuni, missile zilizotakiwa zipige zimepiga na hakuna aliyeweza kuzizuwia.