Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

Umenikumbusha ile harakati ya hezbula walipotupa zaidi ya makombora 1000 kuelekea israel ila makombora yalotua na kuleta madhara ni kama matatu.

Haya mambo yapo kipropaganda pia kiuhalisia.
japo mfumo wa ulinzi wa israel upo vizuri sana na ukiangalia au kukumbuka nchi zote ambazo zmewahi kumshambulia kwa njia ya anga hazijawahi kufanikiwa pakubwa ila
Ila
Wale hamasi walipovamia kwa njia ya ardhini wameleta madhara makubwa ambayo kwao hawakuwahi kutegemea na ni miongon mwa madhara makubwa kuwahi kuwakuta toka israel kuwa taifa.
 
Sahihi
 
Sasa ukijisafisha matope si ndio unachafuka zaidi
 
Sasa ukijisafisha matope si ndio unachafuka zaidi
Hawa watu hauhitaji kuwaelewa, kama mafundisho yso yanaharamisha ulaji wa kitimoto lakini yanalalisha kuiingilia kimwili maiti. Pia yanalalisha kumuingilia kimwili Mnyama ila yatahadjarisha ukimnchinja mnyama uliyemuingilia kimwili nyama yake isiliwe maeneo ya kwenu bali ipelekwe ikaliwe na watu wa mbali na eneo unaloishi, hapo unataraji kwamba utakuja uzielewe akili zao?
 
Mkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semitic
 
Mkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semitic
Bora umewaongezea taarifa, mwanzo mwa huu uzi nimeandika kwamba wale waliopo pale Israel sasa sio waisrael halisi.
Waisrael halisi hadi sasa wapo utumwani jambo la kujiuliza ni watu aina gani mpaka sasa wapo utumwani?
Waliopo Israel sasa ni kabila la Khazarian, ambao ni wanatambulika kama Ashkenazi Jews, wale pale ni kama ukoo wa kishetani wenye mpango wa kumuandalia mazingira mpinga kristo kutawala, na ajenda zao ni kumpinga kristo.
Paledi kubwa ya ushoga hufanyika Tel Aviv Israel n.k
 
We ndio kilaza kabisa. Kwahiyo ukiacha hao waliotokea ulaya hapakuwepo Jews hapo Israel au wanaotokea Ethiopia au nchi za kiarabu au wayahud wa kiiran sio Jews
 
We ndio kilaza kabisa. Kwahiyo ukiacha hao waliotokea ulaya hapakuwepo Jews hapo Israel au wanaotokea Ethiopia au nchi za kiarabu au wayahud wa kiiran sio Jews
Andika hoja na kuacha utoto kwa kauli za kejeli.
Kwanza hamna sehem nimeandika hapakuwepo na watu Israel kama umeona nilipoandika hivyo nioneshe,
Pili narudia kuwaambia kwamba wale waliopo sasa pale Israel sio waisrael halisi ila wale ni wahuni na matapeli kuigiza ni waisrael halisi ili wamuandalie njia mpinga kristo kutawala.
Nakupa homework fatilia taarifa za Khazarian Tribe na Ashkenazi Jews utapata mwanga namna dunia inavyoendeshwa kwa hadaa na propaganda
 
Mkuu ya kweli haya?
 
Mkuu ukiwaongelea wale matapeli wazungu kutoka ulaya kabila la ashkenazi unaitwa anti-semitic
Ashkenazi ni moja ktk koo za Watoto wa Yafethi mtoto wa Ibrahim .. hawezi kuwa Jew
 
Sisi waswahili tunasema Mti wenye matunda....!!
 
We ndio nakupa homework. Nenda ulizia wakati wa utawala wa ottoman au nyakati za Salahuddin kama hapakuwepo na Jews pale. We umeitambua Israel kwasababu ya hao Ashkenazi hujui history basi. Pia kama mpka leo hujui mpinga Kristo ninan kwa mujibu wa biblical rudi darasan. Swali kwako. Wale waisraeli halisia wako wapi?
 
Umeuliza swali zuri kwamba "wale waisrael halisi wako wapi"?
Kabla sijakujibu nakupa pongezi kwa kuacha maneno ya kejeli, hivyo ndio wanaume tuna jadili na kufika muafaka.

Umeongelea kuhusu Ottoman empire (waturuki) hao ni wajuzi tu kukalia Israel kabla uingereza hajawapiga katika vita vya dunia na kupewa hao waisrael feki (Ashkenazi Jews) pia kabla sijajibu swali lako je umefanya home work kwa kupata taarifa zinazowahusu Khazarian Tribe na Ashkenazi Jews, na kama umafatilia taarifa zao umejua?
Hiyo homework ni muhimu ili tubishane kwa hoja.

Nikijibu swali lako kwamba waisrael halisi wako wapi?
Jibu ni kwamba waisrael halisi ni watu weusi kama wewe, inaweza kua ni jambo jipya kwako ila ili uamini lifanyie tafiti kwa kina usilete ubishi bila tafiti katika hili.
Kwa kifupi Yesu mwenyewe alikua mtu mweusi, hao wakina Suleiman, mfalme Daudi unaosoma kwenye vitabu vya dini wote ni watu weusi na wazungu wanajua hili ndio maana wanawawekea masanamu ya kizungu kwenye makanisa kama roman,
Movie za Yesu zinazoonesha Yesu ni mzungu n.k
Ukienda Vatican wao wanaabudu sanamu za Yesu mweusi na Bikira Maria mweusi.
Jambo usilolijua penda kujifunza, usikalili ubishi

Picha nilizoweka chini zinaonesha Pope wa kanisa Roman Catholic akisujudu kwa sanamu la Bikira Maria na Yesu mweusi, hilo jambo hawafanyi kwa bahati mbaya ila wanajua Yesu halisi alikua mweusi, achana na hizo movie za Hollywood zinazoonesha Yesu na Waisrael ni wazungu
 

Attachments

  • Screenshot_20240416-145747~2.png
    794.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240416-145800~2.png
    750.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240416-145810~2.png
    1,006 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240416-145831~2.png
    957.7 KB · Views: 4
Bado hujanijibu swali. Wakat wa ottoman hawakuwepo jews au wakati wa saladin
Mzee mbona unayumba nimeuliza waisraeli halisia wako wapi? Pili Mimi nasafir sana so hizo story unazosema nazijua sana. Nilichokuuliza kingine inamaana Jews waliopo Ethiopia Iran morocco Egypt Yemen ulaya na India sio Jews au. Tatu hujanijibu swali lingine.wakat saladin anaichukua Jerusalem aliwaacha Jews Muslims na Christians wakae kwa aman mpaka wakati wa ottoman empire walikuwepo Jews wa asili je hao watu wako kundi gan kabla hawajaja hao migrate wa eastern Europe. Mimi hizo Khazars Ashkenazi nazijua. Nipe majibu ya maswali yote. Usichague la kujibu
 
Maswali unayouliza ni ya kitoto halafu yanaonesha unauelewa mdogo ila unaigiza ujuaji.
Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…