Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

Kumbuka pia Ni Iran iliyoamuru wayahudi wote wauwawe. Enzi za Malkia Ester. Na waliwahi kuandika waraka hairuhusiwi kujenga chochote israel enzi hizo (Yuda) ikiwa ni magofu.
Hapa hujawa mtunduizi. Unaleta kitu ambacho mleta mada alikwisha andika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…