Iran imezitahadharisha Marekani, Ufaransa na Uingereza kwamba atashambulia kambi zao za kijeshi pamoja na meli zao iwapo zitatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel.
Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itaisaidia Israel kujilinda, huku vuongozi mbalimbqli wa Marekani wamenukuliwa katika vyombo vya habari wakisema kuwa vikosi vya Marekani tayari vimeisaidia Israel kuangusha makombora na ndege zisizo na rubani (drones) za Iran kabla ya kufika Israel.
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, pia alisema Ijumaa kwamba nchi yake iko tayari kusaidia kuilinda Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran.
Serikali ya Uingereza kwa upande wake imesema kwamba haijatoa msaada wowote wa kijeshi kwa Israel.
===================
Iran has warned the US, UK and France that their military bases and ships will be targeted if they help block the Iranian missile and drone retaliation for Israel’s attack, threatening to widen an already bloody war over Tehran’s nuclear programme.
Donald Trump has said the US will help defend Israel , and American officials have been quoted in news reports saying that US forces have already helped shoot down Iranian drones and missiles as they approached Israel. France’s president, Emmanuel Macron, also said on Friday that his country would help defend Israel against Iranian reprisals.
The UK government has said its forces had not provided any military assistance to Israel as the prime minister, Keir Starmer, has emphasised the need for de-escalation.
Tehran is seeking to deter western support for Israel’s defence at a time most of the missiles and drones it fires at Israel are being intercepted before they reach their targets.
However, following through on the threat, delivered on Saturday through state media, would be an enormous gamble for Iran, drawing western forces into the conflict when it is already reeling under the force of sustained Israeli bombing.
Source: The Guardian