Iranian Elections: Ahmedinejad's Victory and The Aftermath!

0615091541_M_061509_protests2.jpg

June 15: Hundreds of thousands of supporters of leading opposition presidential candidate, Mir Hossein Mousavi

Mkuu smatta, na hawa wanatoka wapi USA au UK ?

Watu waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil. 30. hawa ni asilimia ngapi ya mil. 30?
Kama Mousavi ana vidhibiti vya kuibiwa kura aviweke bayana, so far malalamiko yake yanabase kwenye maneno matupu.
Kumbuka hata New Hampshire Obama alitegemewa kushinda lakini matokeo yakawa kinyume kabisa. Idadi ya kura ndio muamuzi wa mwisho.

Tukumbuke pia kuwa Mousavi alijitangaza mshindi kabla hata vituo vya kupiga kura havijafungwa!
 
Kuiba au kutoiba kura apart.

Ahmedinejad is a despot, na hizi habari za kufunga text message, websites na kumkamata mpinzani wake ndizo kabisa zinatufanya hata sisi ambao tulitaka kumpa benefit of doubt tumuone mwizi.

Halafu hajui hata kuiba, wenzake kina Salmin waliiba 50.1 % kwa 49.9 %, yeye anataka ufundi wa kupigiza 60+ %.
 
Ushahidi wa yeye kuiba kura uko wapi? Mpaka sasa mimi sijauona zaidi ya maneno ya walioshindwa na wasiompenda....
 
Watu waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil. 30. hawa ni asilimia ngapi ya mil. 30?
Kama Mousavi ana vidhibiti vya kuibiwa kura aviweke bayana, so far malalamiko yake yanabase kwenye maneno matupu.
Kumbuka hata New Hampshire Obama alitegemewa kushinda lakini matokeo yakawa kinyume kabisa. Idadi ya kura ndio muamuzi wa mwisho.

Tukumbuke pia kuwa Mousavi alijitangaza mshindi kabla hata vituo vya kupiga kura havijafungwa!

Sio ndio hapo babu...eti kaiba kura...okay, waweke basi ushahidi wa kuibwa hizo kura.
 
Watu waliojitokeza kupiga kura walikuwa mil. 30. hawa ni asilimia ngapi ya mil. 30?
Kama Mousavi ana vidhibiti vya kuibiwa kura aviweke bayana, so far malalamiko yake yanabase kwenye maneno matupu.
Kumbuka hata New Hampshire Obama alitegemewa kushinda lakini matokeo yakawa kinyume kabisa. Idadi ya kura ndio muamuzi wa mwisho.

Tukumbuke pia kuwa Mousavi alijitangaza mshindi kabla hata vituo vya kupiga kura havijafungwa!
Hivi wale wanao muunga mkono Rais wa sasa Ahmedinejad, nao wakiamua kuingia mitaani kumuunga mkono chaguo lao kutakalika?

Na huyo Mousavi alipojitangaza mshindi hajui kuwa angesababisha balaa kubwa zaidi kwa kujitangaza kwake mshindi kabla ya matokeo rasmi. Huyu ndiye wa kulaumiwa maana ndiye aliye lianzisha, sasa anashindwa pa kutokea.
 
Mkuu X-PASTER,

Kwa taarifa yako, wafuasi wa Ahmedinejad tayari washaamwagika mitaani
kuunga mkono ushindi wao.Nothing of great significance happened.

Kurudia hizi kura, my gut feeling is that ishh doesn't add up in the whole
drama of things. Acha nikupe mfano:

Hizi ni kura za watu karibu millioni 40 na kinachonishangaza ni kwamba
it took two hours for them to announce results aftert he last polling
station was closed.Hebu nambie, kura za kuandikwa kwenye ballot
papers and all its modalities, zimechukua this quick to be counted.
Its highly unlikely!

Kisha Mosaouvi anawezaje akashindwa jimbo la kwao that easily?
With all the 'reform wind' blowing in Iran?Yaani ni ngumu hata
kumuelimisha mtu wa mtaani this concept.Something doesn't
smell right here.

Kisha the fact that there were no independent monitors to monitor
this whole process calls into doubt the whole execrcise.Its only
prudent to have independent verifiers of such a process so as not
to call it into doubt.

Mkuu hebu tizama the crowds that are coming out in protest of this
so called victory..this should point to you that hata kama Ahmedinejad
ameshinda, its not by the figures they are trying to potray.Huyu
mpinzani had a big following and it should be acknowledged.

That said, I do not support America's efforts of trying to influence
middle East politics lakini where there is injustice, we better call it.
Hapa hawa ma-Ayatollah have influenced this whole thing and that
is the truth.We know that they control the Govt or the powers that
be in Iran and people are getting progressively tired of this order of
things. Pretty soon watasema wamechoka and to that end we shall
stand by them.

Regards.
 
Ab let me respectfully answer to your thread as follows:

1.The longer the counting of the votes take the more suspision of wrongdoing occurs. Kura ziki chelewa kuhesabiwa wana sema wizi kura ziki hesabiwa haraka napo wana dai wizi. Hauoni that is a lose-lose situation? The quick count could be because the counting process didn't actually start when the polls closed but the counting started earlier. This means by the time polls closed counting had already begun.

2.Mtu kushindwa jimboni mwake siyo kitu cha kushangaza. Kumbuka watu wanaoenda kwenye political rallies siyo wote wanaenda kwenye polling booth. A disadvantage of "home" is that you are expected to win so most of your supporters don't even bother to go and vote expecting a land slide.

3.You talk about the crowds and also say that even if he won those number of people prove he hasn't won by the margin they claim. Mosaouvi won by about 33% of the votes. What is 33% of 40 million people? It is 13200000 or approximately 13 million. You want to tell me 13 million of his supporters can't produce that crowed? And also you should know there are people who find any excuse to cause trouble. It is not necessary that all those people you see in the crowed are Mosaouvi supporters or even voters.

4.In Iran the Ayatollah is the Supreme leader. Whether we like it or not he has all legal powers. If he decides on Ahmadinejad it is within his judistriction to do so. Whether people like the rule or not but it is the rule and until their constitution is changed it will remain so.

I have just decided to try and look at this from another point of view. I respect your views and admit all that you have said are a possibility but all I have said is also a possibility. In the end lets let Iran deal with it's own affairs.
 
Last edited:
Ab let me respectfully answer to your thread as follows:

1.The longer the counting of the votes take the more suspision of wrongdoing occurs. Kura ziki chelewa kuhesabiwa wana sema wizi kura ziki hesabiwa haraka napo wana dai wizi. Hauoni that is a lose-lose situation? The quick count could be because the counting process didn't actually start when the polls closed but the counting started earlier. This means by the time polls closed counting had already begun.

2.Mtu kushindwa jimboni mwake siyo kitu cha kushangaza. Kumbuka watu wanaoenda kwenye political rallies siyo wote wanaenda kwenye polling booth. A disadvantage of "home" is that you are expected to win so most of your supporters don't even bother to go and vote expecting a land slide.

3.You talk about the crowds and also say that even if he won those number of people prove he hasn't won by the margin they claim. Mosaouvi won by about 33% of the votes. What is 33% of 40 million people? It is 13200000 or approximatelt 13 million. You want to tell me 13 million of his supporters can't produce that crowed? And also you should know there are people who find any excuse to cause trouble. It is not necessary that all thoughs people you see in the crowed are Mosaouvi supporters or even voters.

4.In Iran the Ayatollah is the Supreme leader. Whether we like it or not he has all legal powers. If he decides on Ahmadinejad it is within his judistriction to do so. Whether people like the rule or not but it is the rule and until their constitution is changed it will remain so.

I have just decided to try and look at this from another point of view. I respect your views and admit all that you have said are a possibility but all I have said is also a possibility. In the end lets let Iran deal with it's own affairs.

Mwana F, how did they come up with results in 3-4 hours, after hand counting of the ballots, after almost 40mil voted? I don't think it's possible hata kama walianza kuhesabu mapema.

And mousawi couldn't even win his ethinic group????????

WIZI MTUPU!
 
Mwana F, how did they come up with results in 3-4 hours, after hand counting of the ballots, after almost 40mil voted? I don't think it's possible hata kama walianza kuhesabu mapema.

WIZI MTUPU!

You know siyo kila nchi wana utaratibu mbovu wa kuhesabu kura kama sisi. Niambieni kwanza wahesabu kura walikuwa wangapi? Then tufanye proportionality.You can's just say it is impossible.
 
That election just wasn't fair.

And we better learn from them.
 
Naona hapa kuna kuchanganya mambo,
swala la majibu kutolewa mapema halimaanishi kuwa mshindi ameiba kura, ofcourse Ahmedinijah anaweza pia akaanza kulalamika kuwa kuhesabu huko haraka kumempunguzia kiasi cha ushindi wake! Kitu pekee kinachoweza kuonyesha wizi wa kura ni vithibiti vya waliosimamia zoezi hilo.
Pia isisahaulike kuwa ni makosa kutumia katiba ya Tanzania, USA, UK au kokote kule wakati tunachambua uchaguzi wa Iran. Tutumie katiba ya Iran. Je, katiba inasemaje? well its simple, Ayatollah ndio mwamuzi wa mwisho. Je, Ayatollah kasemaje? Kama tunapinga swala la Ayatollah kuwa mwamuzi wa mwisho, basi huo ni mjadala mwingine kabisa wa kikatiba.

Nadhani wote tuliofuatilia uchaguzi wa Iran tutakubaliana kuwa western media haikuwa fair kwa Ahmednijah, angalia hata kichwa cha habarai cha thread hii '' Ahmednijah claims victory'', hii sio ukweli hata kidogo. Ahmednijah hajaclaim victory ila amekuwa announced as VICTOR by legal bodies. Aliyeclaim victory ni Mousavi, tena kabla watu hawajamaliza kupiga kura!Obama alivyoshinda urais CNN hawakusema Obama claims victory. walisema AMERICA HAS SPOKEN! kwanini hapa tusiseme IRAN HAS SPOKEN?
 
Katika kuthibitisha jinsi western media isivyo fair tuendelee kufuatilia jinsi Rais wa Irana atakavyokuwa reported. Wote tunakumbuka kuwa Bush alishinda katika disputed election mwaka 2000, lakini baada ya hapo hakuna media iliyokuwa inamripoti kuwa uchaguzi wake ulikuwa disputed kila siku. Hata siku Bush alivyomkabidhi ofisi Rais anayemfuatia hakukuwa na malezo yoyote kuhusu uchaguzi wa mwaka 2000.
Nafanya utabiri,
Western Media kwa kipindi chote cha miaka minne ya Ahmedinijah mpaka siku ambayo anamuachia ofisi Rais atakayemfuata watakuwa wakihubiri kuwa uchaguzi huu ulifuatiwa na maandamano etc. Habari hii tunayoisikia sasa tujiandae kusikia kila mara jina la Ahmedinijah litakapitajwa. The reason is clear, how do I get my people hate that guy?
 
Mbona mwaka 2000 Algore hakushinda kwao ?. hivi unaweza kweli kudispute kwamba kuna possibility ya mtu kushindwa jimboni au katika mkoa atokako?
 
Maandamano ni sehemu ya demokrasia. Kuna kuandamana kuonyesha furaha ya ushindi au kuonyesha kutokufurahishwa na matokeo . Huwezi kuzuia moja kati ya hayo kutokea mara baada ya matokeo.Hongera wananchi wa Iran kwa kuchagua kiongozi wao.
 
Katika kuthibitisha jinsi western media isivyo fair tuendelee kufuatilia jinsi Rais wa Irana atakavyokuwa reported. Wote tunakumbuka kuwa Bush alishinda katika disputed election mwaka 2000, lakini baada ya hapo hakuna media iliyokuwa inamripoti kuwa uchaguzi wake ulikuwa disputed kila siku. Hata siku Bush alivyomkabidhi ofisi Rais anayemfuatia hakukuwa na malezo yoyote kuhusu uchaguzi wa mwaka 2000.
Nafanya utabiri,
Western Media kwa kipindi chote cha miaka minne ya Ahmedinijah mpaka siku ambayo anamuachia ofisi Rais atakayemfuata watakuwa wakihubiri kuwa uchaguzi huu ulifuatiwa na maandamano etc. Habari hii tunayoisikia sasa tujiandae kusikia kila mara jina la Ahmedinijah litakapitajwa. The reason is clear, how do I get my people hate that guy?

To make it short and simple......WESTERN MEDIA IS VERY BIASED AND A GOOD EXAMPLE IS HOW THEY REPORT ON AFRICA.
 
Mimi I feel embarrassed when fellow African's support the biased reporting of the Western media. Hivi hawaoni how they portray Africa? How can we be in favor of reporting which is biased to our own mother land? Na hao hao wakiona kitu kibaya kiki ripotiwa kuhussu sisi wata lalamika ila wakifanyiwa wenzetu tunaona poa tu.
 
Last edited:
Asali ni tamu sana, ukishaonja huwezi kuacha...........
 
Mimi nitawaambia jmbo moja, Rais aliye chaguliwa kwa kura nyingi, kama si kwa kishindo (sisiem vashen...i'm Joking) Mr. Ahmedinijah, kuna kazi alikuwa ameianza, kazi ambayo hao Mayatollah wameikubali, na sasa inabidi hiyo kazi aimalizie.

Kwa hali hiyo basi, piga uwa Jamaa (Ahmedinijah) inabidi aendelee na madaraka mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom