Hivi wale wanao muunga mkono Rais wa sasa Ahmedinejad, nao wakiamua kuingia mitaani kumuunga mkono chaguo lao kutakalika?
Na huyo Mousavi alipojitangaza mshindi hajui kuwa angesababisha balaa kubwa zaidi kwa kujitangaza kwake mshindi kabla ya matokeo rasmi. Huyu ndiye wa kulaumiwa maana ndiye aliye lianzisha, sasa anashindwa pa kutokea.
Mkuu
X-PASTER,
Kwa taarifa yako, wafuasi wa Ahmedinejad tayari washaamwagika mitaani
kuunga mkono ushindi wao.Nothing of great significance happened.
Kurudia hizi kura, my gut feeling is that ishh doesn't add up in the whole
drama of things. Acha nikupe mfano:
Hizi ni kura za watu karibu millioni 40 na kinachonishangaza ni kwamba
it took two hours for them to announce results aftert he last polling
station was closed.Hebu nambie, kura za kuandikwa kwenye ballot
papers and all its modalities, zimechukua this quick to be counted.
Its highly unlikely!
Kisha Mosaouvi anawezaje akashindwa jimbo la kwao that easily?
With all the 'reform wind' blowing in Iran?Yaani ni ngumu hata
kumuelimisha mtu wa mtaani this concept.Something doesn't
smell right here.
Kisha the fact that there were no independent monitors to monitor
this whole process calls into doubt the whole execrcise.Its only
prudent to have independent verifiers of such a process so as not
to call it into doubt.
Mkuu hebu tizama the crowds that are coming out in protest of this
so called victory..this should point to you that hata kama Ahmedinejad
ameshinda, its not by the figures they are trying to potray.Huyu
mpinzani had a big following and it should be acknowledged.
That said, I do not support America's efforts of trying to influence
middle East politics lakini where there is injustice, we better call it.
Hapa hawa ma-Ayatollah have influenced this whole thing and that
is the truth.We know that they control the Govt or the powers that
be in Iran and people are getting progressively tired of this order of
things. Pretty soon watasema wamechoka and to that end we shall
stand by them.
Regards.