Iranian Elections: Ahmedinejad's Victory and The Aftermath!


Asante mkuu kwa info. Sidhani kama Obama atatuma majeshi huko kwa sababu kuna watu watasema Marekani ilikuwa ina tafuta to excuse ya kuingia. Obama atasubiri mpaka ajue kuwa whatever actions he takes itakuwa na support ya wengu around the world. Ila I also don't think Marekani ina takiwa kuingilia maswala ya nchi nyingine. Kama ikibidi nchi zingine ziingilie then ifanyike kupitia U.N.
 

Wewe weka popote tu. I'm not ashamed of a pink bowl haha.
 

Jamani, majeshi tena yanaandaliwa??....

Oh, gosh....hii ishakuwa noma...thank God Mccain sio President, angeanzisha noma nyingine asivo fikiria vizuri kabla ya kutenda. But, I think Obama will stay aside for a while kama alivosema, He might even wait to see kama nchi nyingine wataingilia kwanza, I think he'll be more diplomatic hata kama watamsema sana
 
Hivi mmegundua kuwa hakuna nchi yoyote ya mashariki ya kati iiliyotoa tamko lolote kuhusiana na hali ya Iran?

Ofisi za balozi za nchi nyingi za magharibi(ukiondoa Canada) zimefungua milango kwa majeruhi ili wapate huduma ya kwanza.

Tamko ambalo serikali ya Obama itatoa sana sana litakuwa ni kulaani utumiaji wa nguvu kwenye kuvunja maandamano hakuna kingine watakachofanya wazi wazi.
 
Nimetoka gym....and I'm tired. Bring me something to eat

Jamani, unaona nina mwanafalsafa huku? na alivo demanding, nikiinuka kidogo tu anasema ananimiss...lol!

where is k.
 

Yeah hawawezi kufanya chochote. Ayatollah keshampa stamp of approval Akhhhhmadinejad....that's it and that's that.
 
Jamani, unaona nina mwanafalsafa huku? na alivo demanding, nikiinuka kidogo tu anasema ananimiss...lol!

where is k.

Mwache aangalie news bana...mwekee CNN International...mpe na pocorn (au bado tu hazijaiva?)
 
From the Briefing room
 

Interesting point... where is Middle East countries?? wako kimyaaaa...
 
Interesting point... where is Middle East countries?? wako kimyaaaa...

Kuna mawili,

I.Hawataki regime change in Iran kwa sababu itasukuma wananchi wa nchi nyingine in the region to do the same kudai mabadiliko kwenye nchi zao.

II. Hawawezi kuisupport Iran.

Ambivalence itakuwa inawapelekesha sana.
 
Fanya boys night out. Au itakua soo?

Wewe?, boyz night out ya nani, I think we're going out for dinner tonight??,umeshasahau ivo...si nimekwambia toka juzi I feel like Thai food..

Mh!, wanaume!, usahau annivesary, birthdays, na sasa hii...kazi ipo!

I aint feel like cooking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…